Saikolojia na mafunzo ya polisi ni tatizo

MGOGO27

JF-Expert Member
Jan 5, 2016
459
217
Habari za mapumziko ya mwisho wa juma ndugu zangu?mimi ni mzima namshukuru Mungu

Moja kwa moja kwenye wazo langu na ufafanuzi wake,mimi fani yangu ni Mwalimu ndo kitu nilichosoma(shahada ya elimu na saikolojia),japo sifundishi nafanyakazi zangu nyingine kwasasa

Nimefatilia SIASA ZA TANZANIA NA AFRIKA kwa ujumla,baadhi ya nchi ikiwemo Tanzania kuna matatizo ya kiutawala,matumizi mabaya ya vyombo vya dola,ukandamizaji wa demokrasia,ubadhirifu n.k,lakini naomba nizungumzie utumiaji mbaya wa vyombo vya dola hususa ni JESHI LA POLISI na naomba tusaidiane kutafuta tatizo ni nini mpaka POLISI wamekuwa wakatiri kiasi hiki?

12e0af244093e0809352ea6e29800910.jpg

Mimi mtazamo wangu wakuu ni huu na sio lazima ikawa sawa kwa kila mtu

Kule CCP sijui utaratibu unaotumika kuwagawa vitengo hawa polisi lakini nadhani miongoni mwa WAKUFUNZI wa hawa polisi ana matatizo ya kisaikolojia ndo maana anazalisha vijana wakatili,wavunja sheria kwa makusudi na anajua iko siku wananchi watachoka na hii nchi itawashinda watawala

Huyu mkufunzi ambaye zao lake ndo hawa vijana wanaopiga watu,kuvunja sheria na ubabe usio na mantiki yoyote namwona tena kwa jicho jingine,inawezekana akawa hana ELIMU YA KUTOSHA YA SAIKOLOJIA kwaajili ya kiwaandaa vijana wa kutuliza fujo,kukabiliana na waharifu n.k

Huyu mkufunzi ambaye zao lake ndo hawa vijana wa jeshi la polisi pia namwona kama ni KADA wa chama cha mapinduzi na yupo kule kwa kazi maalum na anajua anafanya mini

POLISI WA NCHI ZETU ZINAZOENDELEA BADO WANAMBINU ZA ZAMANI ZA POLISI WA KIKOLONI HAWANA MBINU SHIRIKISHI(MPANGO WA KANDO)

Naomba kuwasilisha

Hao akina nani wa TZ hii vichwa bomu sana, wakistaafu sasa ndo utawaonea huruma kitaa, akili yao sijui hua wanawaza nn. Wakiambiwa kuna wezi thubutu hawatokei ila wakiambia kuna maandamano sehem fulani siku fulani hua wanatamani siku hiyo ifike mapema wapewe posho za 20,000 ila hawaelewi watu wanadai kwa ajili ya maslahi yao pamoja na mitoto yao iliyolundikana kwenye vikota vyao.nakumbuka kuna jamaa mmoja alisema kma mwanae akiwa na hyo kazi basi kitu cha kwanza atakachokifanya nikimumaliza kwanza atangulie kwa bwana anahisi akili yake itapumbazwa na atakuja hata kuzingua mwenyewe mzazi wake.
 
Mkuuu hawa jamaa nadhani watakuwa wanakukera kama wanavyonikera mimi tena mara ya mwisho ni jana
 
Back
Top Bottom