Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.6K
Threads
7.6K
Posts
193.6K

JF Prefixes:

Walimu zaidi ya 5000 waingia mitini Takwimu hiyo imetajwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Utumishi na Utawala Bora) Angela Kairuki wakati akizungumza na watumishi wa umma wanawake katika...
4 Reactions
106 Replies
11K Views
Waungwana, Kumekuwa na tabia ya watawala duniani kudiverge attention ya watawaliwa kutoka kwenye mijadala/matukio ya muhimu na yenye kuzua sintofahamu na kuelekeza macho na maskio yao kwenye...
1 Reactions
0 Replies
732 Views
Kuna kipindi chadema walikuwa wanakwenda vizuri sana kama Chama cha Upinzani, walikuwa wanaleta mambo mazuri na yenye akili, walikuwa wanajulikana wanasimamia nini lkn hizo zilikuwa ni enzi za...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
WIKI YA SHERIA .. "AIBU YETU" ANAANDIKA WAKILI MSOMI JUMA NASSOR Wakili Juma Nassoro AIBU YETU sheria ya kuzuia ugaidi ilipitishwa na bunge mwaka 2002 na kusainiwa na Mhe. Rais Mkapa 2004...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hotuba ya Rais Magufuli aliyoitoa jana katika sherehe za uzinduzi wa mwaka wa Mahakama (Siku ya Sheria) zilizofanyika katika uwanja wa Mahakama uliopo Mtaa wa Chimala kama vile imetoa dokezo la...
7 Reactions
27 Replies
6K Views
Central to the piece ni yale yale ambayo yaliyokuwa yanazangumzwa humu: 1. Incompetent Tanzania Investment Centre (TIC) 2. Nchi kutokuwa na coherent Industrialisation Strategy 3.Nchi kutokuwa na...
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Serikali ya ccm yapigwa mwereka rasmi juu ya siasa za kihalifu za Zanzibar. Hatua hiyo imefuatiwa na uamuzi wa mahakama kuu katika kesi iliyofunguliwa na mwananchi wa kawaida akasimamiwa kituo cha...
9 Reactions
25 Replies
3K Views
Katika kile kinachooneka ni kujiweka kwenye fikra za watu, aliyekuwa spika wa bunge la Tanzania ndgu. Samwel Sitta ameibuka Rasmi na kutangaza waziwazi nia yake ya kugombea Urais wa Jamhuri ya...
5 Reactions
626 Replies
76K Views
CCM KWAVURUGIKA. Wabunge wake waishukia Kamati ya Ngwilizi Waishutumu `kuwakandamiza` wabunge wa Chadema. Kutajwa kwa wabunge wanne wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kuwa vinara...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
  • Redirect
MAJINA MENGINE YA WANAOHUSIKA NA DAWA ZA KULEVYA: Mwanamuziki Vanesaa Mdee, Tunda wa kwenye Video za wasanii mbalimbali, mfanyabiashara Haidary Kavira pamoja na askari 3 wameongezwa kwenye Orodha...
2 Reactions
Replies
Views
#Habari:Uongozi wa WILAYA ya Kigamboni umetangaza kuwavua nafasi za ukuu wa shule wakuu wa shule za Kidete na Somangila Day baada ya shule hizo kufanya vibaya zaidi katika matokeo ya kidato cha...
1 Reactions
150 Replies
15K Views
NAKUBALI UTENDAJI WA RAIS JOHN POMBE MAGUFULI KWA ASILIMIA 99.9 KUWA UNAWEZA KUMALIZA RUSHWA,UFISADI NA KUPOROMOKA KWA MAADILI NCHINI. Na JUMA GEORGE CHIKAWE MWALIMU alisema kiongozi...
11 Reactions
33 Replies
3K Views
HUMPHREY POLEPOLE:Salamu zangu za Mwisho wa Wiki kwenu: 1. Nilipata fursa ya kuwapitisha wanachama 180 wa Jukwaa la Katiba katika Rasimu ya Katiba Toleo la Pili. Nikazungumza nao pia juu ya wajibu...
20 Reactions
47 Replies
8K Views
Waafrika tumekuwa tukidanganywa au labda niseme tumekuwa hatuilewi vizuri mifumo ya Kizungu matokeo yake tumekuwa tukiiga mambo ambayo kiuhalisia Wazungu wenyewe hawayafanyi! Sasa hili na Uraisi...
21 Reactions
161 Replies
12K Views
Kama mlifatilia kwa makini jana, katika maswali ya papo kwa papo kwa waziri mkuu, licha ya Naibu spika Tulia Acson Mwansasu kuonyesha dhahiri kutokutaka serikali ijibu maswali kadhaa ya kiongozi...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
  • Redirect
FULL PRESS Bellow are important quotes za Mkuu wa mikoa Yote Tanzania 'Furaha yetu si idadi ya watu wangapi tumewakamata kwa dawa za kulevya, furaha yetu ni DSM kutokuwa sehemu ya dawa za...
0 Reactions
Replies
Views
Mkuu Chipukizi ameweka kwenye thread nyingine link yenye habari muhimu na sensitive sana ambazo bado hazijadhibitishwa kuhusiana na biashara ya madawa ya kulevya hapa nchini, lakini naona kama...
99 Reactions
898 Replies
141K Views
  • Redirect
Hivi ugumu wa vita dhidi ya madawa ya kulevya unatokana na nini ilhali watumiaji wapo wazi kabisa. Chid benz yupo anauziwa dawa, kila siku, TV na redio kibao zinahoji mateja alafu uzuri wake...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Mh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mh Paul Makonda anajitaidi kufanya kazi na kutafuta namna ya kukuza CV yake ya utawala ni jambo jema kabisa na anastahili kuungwa mkono katika ndoto zake za...
7 Reactions
Replies
Views
Back
Top Bottom