Wizi tsh 369m za CUF: Kwanini serikali inajichanganya kwa ubadhilifu wa Jaji Mutungi na Lipumba

Mpangawangu

JF-Expert Member
Mar 5, 2014
887
965
Kama mlifatilia kwa makini jana, katika maswali ya papo kwa papo kwa waziri mkuu, licha ya Naibu spika Tulia Acson Mwansasu kuonyesha dhahiri kutokutaka serikali ijibu maswali kadhaa ya kiongozi wa upinzani bungeni Freeman Mbowe lakini kuna kitu nimekisoma na si vibaya tukakiona kwa pamoja.

Mbowe alipouliza kuhusu serikali kuwatumia vibaraka wake na washirika wake kukidhoofisha chama cha wananchi CUF akiwemo Msajili wa Vyama vya siasa nchini Jaji Fransis Mutungi, Waziri mkuu alijibu kwa ujumla kwamba jambo hilo lipo mahakamani na hivyo hawezi kulizungumzia na halitakiwi kuzungumziwa popote kwa kuwa nchi yetu inafuata utawala wa sharia ambapo mihimili hii mitatu ya nchi kamwe haifungamani.

MASWALI

i. Kama Serikali inafahamu Jambo hili la CUF lipo Mahakamani, kwanini iliidhinisha UFISADI wa Milioni 369 kwa Lipumba tenda kwenda kwa akaunti isiyo halali kupitia msajili wa vyama vya siasa Jaji Mutungi?.

ii. Kama serikali inajua jambo hili lipo mahakamani, kwanini Waziri Mkuu asimuwajibishe Msajili wa Vyama vya siasa Jaji Mutungi kwa kuiingiza serikali katika mgogoro usio wa lazima na muhimili mwengine ambao ni mahakama kwa kuruhusu malipo ya fedha za umma zaidi ya milioni 369 kwenda kwa watu wasiotambulika na CUF?.

iii. Kama kweli serikali haiingilii mambo yaliyo mahakamani kwanini Msajili wa Vyama vya siasa Jaji Mutungi ameendelea kutoa majibu ya shombo kupitia vyombo vya habari kuwa anakitambua chama kimoja tu cha CUF?, chama kimoja kipi hicho wakati bosi wake anasema jambo lipo mahakamani?.

MWISHO.
Ninashawishika kuamini kwamba, licha ya kuwa serikali na chama cha mapinduzi v inatuhumiwa kukihujumu chama cha CUF kumtumia Lipumba na Msajili, bali pia ninaziona dalili zote za wasaidizi wa Rais JPM pamoja na washauri wake kutokuwa makini katika kumshauri na kumpotosha Rais.

Katika nchi zilizoendelea na zinazoheshimu utawala wa sharia, ni matusi kuwa na jaji kama mutungi akiendelea kutumia mali za umma huku akiwa tayari ana kashfa za kusigina Demokrasia na kutoheshimu maamuzi halali ya vyama vya siasa.
By Msema Kweli
 
Nilichokiona ni LUGHA ya mwili wa zungu wanaita 'Body Language' alionekana kuwa na wasiwasi na kutokuwa na amani kabisa na hakuwa mwenyewe.

Anaonekana amechoshwa na episode zote lakini TUMBO ndilo shida
 
Kama mlifatilia kwa makini jana, katika maswali ya papo kwa papo kwa waziri mkuu, licha ya Naibu spika Tulia Acson Mwansasu kuonyesha dhahiri kutokutaka serikali ijibu maswali kadhaa ya kiongozi wa upinzani bungeni Freeman Mbowe lakini kuna kitu nimekisoma na si vibaya tukakiona kwa pamoja
Mbowe alipouliza kuhusu serikali kuwatumia vibaraka wake na washirika wake kukidhoofisha chama cha wananchi CUF akiwemo Msajili wa Vyama vya siasa nchini Jaji Fransis Mutungi, Waziri mkuu alijibu kwa ujumla kwamba jambo hilo lipo mahakamani na hivyo hawezi kulizungumzia na halitakiwi kuzungumziwa popote kwa kuwa nchi yetu inafuata utawala wa sharia ambapo mihimili hii mitatu ya nchi kamwe haifungamani.

MASWALI

i. Kama Serikali inafahamu Jambo hili la CUF lipo Mahakamani, kwanini iliidhinisha UFISADI wa Milioni 369 kwa Lipumba tenda kwenda kwa akaunti isiyo halali kupitia msajili wa vyama vya siasa Jaji Mutungi?.

ii. Kama serikali inajua jambo hili lipo mahakamani, kwanini Waziri Mkuu asimuwajibishe Msajili wa Vyama vya siasa Jaji Mutungi kwa kuiingiza serikali katika mgogoro usio wa lazima na muhimili mwengine ambao ni mahakama kwa kuruhusu malipo ya fedha za umma zaidi ya milioni 369 kwenda kwa watu wasiotambulika na CUF?.

iii. Kama kweli serikali haiingilii mambo yaliyo mahakamani kwanini Msajili wa Vyama vya siasa Jaji Mutungi ameendelea kutoa majibu ya shombo kupitia vyombo vya habari kuwa anakitambua chama kimoja tu cha CUF?, chama kimoja kipi hicho wakati bosi wake anasema jambo lipo mahakamani?.

MWISHO.
Ninashawishika kuamini kwamba, licha ya kuwa serikali na chama cha mapinduzi v inatuhumiwa kukihujumu chama cha CUF kumtumia Lipumba na Msajili, bali pia ninaziona dalili zote za wasaidizi wa Rais JPM pamoja na washauri wake kutokuwa makini katika kumshauri na kumpotosha Rais.

Katika nchi zilizoendelea na zinazoheshimu utawala wa sharia, ni matusi kuwa na jaji kama mutungi akiendelea kutumia mali za umma huku akiwa tayari ana kashfa za kusigina Demokrasia na kutoheshimu maamuzi halali ya vyama vya siasa.
bado tu mnaendelea?.
 
Kama mlifatilia kwa makini jana, katika maswali ya papo kwa papo kwa waziri mkuu, licha ya Naibu spika Tulia Acson Mwansasu kuonyesha dhahiri kutokutaka serikali ijibu maswali kadhaa ya kiongozi wa upinzani bungeni Freeman Mbowe lakini kuna kitu nimekisoma na si vibaya tukakiona kwa pamoja.

Mbowe alipouliza kuhusu serikali kuwatumia vibaraka wake na washirika wake kukidhoofisha chama cha wananchi CUF akiwemo Msajili wa Vyama vya siasa nchini Jaji Fransis Mutungi, Waziri mkuu alijibu kwa ujumla kwamba jambo hilo lipo mahakamani na hivyo hawezi kulizungumzia na halitakiwi kuzungumziwa popote kwa kuwa nchi yetu inafuata utawala wa sharia ambapo mihimili hii mitatu ya nchi kamwe haifungamani.

MASWALI

i. Kama Serikali inafahamu Jambo hili la CUF lipo Mahakamani, kwanini iliidhinisha UFISADI wa Milioni 369 kwa Lipumba tenda kwenda kwa akaunti isiyo halali kupitia msajili wa vyama vya siasa Jaji Mutungi?.

ii. Kama serikali inajua jambo hili lipo mahakamani, kwanini Waziri Mkuu asimuwajibishe Msajili wa Vyama vya siasa Jaji Mutungi kwa kuiingiza serikali katika mgogoro usio wa lazima na muhimili mwengine ambao ni mahakama kwa kuruhusu malipo ya fedha za umma zaidi ya milioni 369 kwenda kwa watu wasiotambulika na CUF?.

iii. Kama kweli serikali haiingilii mambo yaliyo mahakamani kwanini Msajili wa Vyama vya siasa Jaji Mutungi ameendelea kutoa majibu ya shombo kupitia vyombo vya habari kuwa anakitambua chama kimoja tu cha CUF?, chama kimoja kipi hicho wakati bosi wake anasema jambo lipo mahakamani?.

MWISHO.
Ninashawishika kuamini kwamba, licha ya kuwa serikali na chama cha mapinduzi v inatuhumiwa kukihujumu chama cha CUF kumtumia Lipumba na Msajili, bali pia ninaziona dalili zote za wasaidizi wa Rais JPM pamoja na washauri wake kutokuwa makini katika kumshauri na kumpotosha Rais.

Katika nchi zilizoendelea na zinazoheshimu utawala wa sharia, ni matusi kuwa na jaji kama mutungi akiendelea kutumia mali za umma huku akiwa tayari ana kashfa za kusigina Demokrasia na kutoheshimu maamuzi halali ya vyama vya siasa.
By Msema Kweli
Huyo jaji wamemuweka wao ili awatumikie....watamlinda na kuhusu hili suala la CUF mm nahc ni wazi kabsaa hzi ni hila za CCM labda baada ya maalim kuukataa mkono wa shein..
 
Back
Top Bottom