Yericko Nyerere
JF-Expert Member
- Dec 22, 2010
- 17,005
- 20,421
Serikali ya ccm yapigwa mwereka rasmi juu ya siasa za kihalifu za Zanzibar. Hatua hiyo imefuatiwa na uamuzi wa mahakama kuu katika kesi iliyofunguliwa na mwananchi wa kawaida akasimamiwa kituo cha sheria na Haki za Binadamu LHRC,
Hongera kwa Kituo Cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kwa kutoa legal aid kwa Rashid Adiy (aliyekuwa mlalamikaji), adavocates Halord Sungusia, Fulgence Masawe, Jebra Kambole na wengine wengi!
Section 34(2) ya Sheria ya Kura ya katiba mpya (Referendum Act) imetamkwa na mahakama kuu leo mbele ya Jaji Felesh,Mkasimongwa na Mwandambo kwa pamoja kuwa kifungu hicho kina kiuka katiba, kimsingi kifungu hicho kili kuwa kinaruhusu Mtu wa bara kupiga Kura zanzibar na ikahesabika kuwa ni ya Zanzibar. Na ili katiba ipite inahitaji 50% ya Kura kutoka kila pande. Mwanasheria mkuu amepewzibara amri kuwa ndani ya Mwaka mmoja arekebishe hicho kifungu.
Kifungu hiki kilikuwa kinaruhusu watu wa kijani kubeba watu kwenda zanzibar kupiga Kura huko ili kubalance 50 kwa 50
Hongera sana wanaharakati, siasa za kihalifu Zanzibar zimefika muda wake, kale kamchezo kakubeba wamang'ati na wamatumbi Tanganyika kwenda Zanzabar kuipigia kura ccm kamezimwa rasmi.
Zanzibar itaamuliwa na Wazanzibar, na Tanganyika itaamuliwa na Watanganyika, kisha tutakutana kwenye kapu la muungano wote tukiwa watu huru.
Pongezi kuwa kwa Mahakama na majaji waliofanya uamuzi huu, Uhuru wa Mahakama ni zao la haki na matunda ya jamii tulivu na yenye tabasamu.