USA wametuonyesha, tusicheze na Taasisi ya Urais!

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,584
27,815
Waafrika tumekuwa tukidanganywa au labda niseme tumekuwa hatuilewi vizuri mifumo ya Kizungu matokeo yake tumekuwa tukiiga mambo ambayo kiuhalisia Wazungu wenyewe hawayafanyi!

Sasa hili na Uraisi kama taasisi, USA wameonyesha kwamba Rais wa USA ana madaraka makubwa sana kuliko wengi tulivyokuwa tunadhania, D.Trump ameonyesha kwamba Urais ni Taasisi na kamwe haufai kuchezewa na kudharauliwa kama vile Wapinzani fake kama chadema, Tundu Lisu, Zito Kabwe & Co. wanavyojaribu kutuaminisha kila siku!

Tumeona Trump alivyoingia baadhi ya watu tena wengine wa Chama chake walikuwa wanajaribu kutingisha kiberiti baada ya Trump kutaka kuwaonyesha kwamba yeye ndiyo Boss wa USA sasa hivi wote wamenywea na wamesema we are together with our President, hata Democrats wenyewe pmj na kuwa ni Upinzani lkn wana full respect kwa Raisi Trump kama Taasisi na wanatumia watu baki kumdhihaki lkn siyo Demecrats kama Chama!

Hivyo ujumbe wangu ni kwamba tuchezee vyoote lkn tusicheze na Uraisi, Uraisi ni Taasisi na Rais ni lazima awe na Madaraka makubwa, na hii ni Dunia nzima!
 
Waafrika tumekuwa tukidanganywa au labda niseme tumekuwa hatuilewi vizuri mifumo ya Kizungu matokeo yake tumekuwa tukiiga mambo ambayo kiuhalisia Wazungu wenyewe hawayafanyi!

Sasa hili na Uraisi kama taasisi, USA wameonyesha kwamba Raisi wa USA ana madaraka makubwa sana kuliko wengi tulivyokuwa tunadhania, D.trump ameonyesha kwamba Uraisi ni Taasisi na kamwe haufai kuchezewa na kudharauliwa kama vile Wapinzani fake kama chadema, Tundu Lisu, Zito Kabwe & Co. wanavyojaribu kutuaminisha kila siku!
Tumeona Trmp alivyoingia baadhi ya watu wa Chama chake walikuwa wnajaribu kutingiosha kiberiti baada ya Trump kutaka kuwaonyesha kwamba yeye ndiyo Boss wa USA sasa hivi wote wamenywea na wamesema we are together with our president, hata Democrats wenyewe pmj na kuwa ni Upinzani lkn wana full respect kwa Raisi Trump na wanatumia watu baki kumdhihaki lkn siyo Demecrats kama Chama!

Hivyo ujumbe wangu ni kwamba tuchezee vyoote lkn tusicheza na Uraisi, Uraisi ni Taasisi na Raisi ni lazima awe na Madaraka makubwa, na hii ni Dunia nzima!
haha cheka na angalia lisiwarudi.
 
Kuwa na akili usidhani marekani raisi ni Mungu mtu kama África anapigwa kwenye haki na akileta ujinga wa kuchezea katiba wanamuajibisha sio mapoyoyo wale
 
Sasa hili na Uraisi kama taasisi, USA wameonyesha kwamba Rais wa USA ana madaraka makubwa sana kuliko wengi tulivyokuwa tunadhania, D.trump ameonyesha kwamba Urais ni Taasisi na kamwe haufai kuchezewa na kudharauliwa kama vile Wapinzani fake kama chadema, Tundu Lisu, Zito Kabwe & Co. wanavyojaribu kutuaminisha kila siku!

Tumeona Trump alivyoingia baadhi ya watu wa Chama chake walikuwa wnajaribu kutingiosha kiberiti baada ya Trump kutaka kuwaonyesha kwamba yeye ndiyo Boss wa USA sasa hivi wote wamenywea na wamesema we are together with our president, hata Democrats wenyewe pmj na kuwa ni Upinzani lkn wana full respect kwa Raisi Trump na wanatumia watu baki kumdhihaki lkn siyo Demecrats kama Chama!

Hivyo ujumbe wangu ni kwamba tuchezee vyoote lkn tusicheza na Urais, Uraisi ni Taasisi na Rais ni lazima awe na Madaraka makubwa, na hii ni Dunia nzima!

Nenda kamuulize HAKIMU amemfanyaje juzi na TRUMP amekuwa mdogo kama kiberiti
 
It's a matter of time, nyinyi wenyewe mtaacha kulinganisha utawala wa Tump na JPM na hata hizo threads zenu zitaisha manake kinachowasukuma hivi sasa ni dhahania yenu kwamba Trump & JPM are alike kiasi cha wengine kufikia kuandika eti Trump afuata sera za JPM!!!

Narudia, it's a matter of time... subirini watawala wetu waingie kwenye Trump Rail Line!!!!
 
Kuwa na akili usidhani marekani raisi ni Mungu mtu kama África anapigwa kwenye haki na akileta ujinga wa kuchezea katiba wanamuajibisha sio mapoyoyo wale

Hivi wewe unafikiri kuchukiwa kote huku kwa Trump na maelite kama ingekuwa rahisi kihivyo kama unavyodhani Trump leo hii angekuwepo hapo? Unafikiri angeweza kuyalazimisha mambo yake anayoyataka?
 
Unalinganisha marekani na tanzania ambayo hata mapato yake ya mwaka hayafikii robo ya marekani kwa mwezi.

Yani mapato ya marekan kwa siku ni ya tz kwa mwaka.
 
Ni kweli..ni kama mwenyekiti wa chama fulani alivyokuwa na nguvu kiasi cha kutoa jina mfukoni na kusema huyu ndio apigiwe kura..na hakuna wa kuhoji na wote sasa kimya..wanajiita chama cha demokrasia na maendeleo..sasa akiwa rais itakuwaje unadhani??
 
Umeandoka upupu tu apa. Jf mods mwe mnapiga burn hata wale wanaoanzisha mada za kijinga kijinga.

Unalinganisha marekani na tanzania ambayo hata mapato yake ya mwaka hayafikii robo ya marekani kwa mwezi.

Yani mapato ya marekan kwa siku ni ya tz kwa mwaka.

Hilo swali unapaswa uwaulize chadema, Zito Kabwe &Co. ambao kila siku wanataka tuwe kama USA, mimi nimechukulia USA kama mfano kwa maana ndiyo tunalinganishwa nao kila siku, Obama akitembea mitaani tunaambiwa kwa nini Magufuli hatambei Mitaani!
 
Waafrika tumekuwa tukidanganywa au labda niseme tumekuwa hatuilewi vizuri mifumo ya Kizungu matokeo yake tumekuwa tukiiga mambo ambayo kiuhalisia Wazungu wenyewe hawayafanyi!

Sasa hili na Uraisi kama taasisi, USA wameonyesha kwamba Rais wa USA ana madaraka makubwa sana kuliko wengi tulivyokuwa tunadhania, D.Trump ameonyesha kwamba Urais ni Taasisi na kamwe haufai kuchezewa na kudharauliwa kama vile Wapinzani fake kama chadema, Tundu Lisu, Zito Kabwe & Co. wanavyojaribu kutuaminisha kila siku!

Tumeona Trump alivyoingia baadhi ya watu tena wengine wa Chama chake walikuwa wanajaribu kutingisha kiberiti baada ya Trump kutaka kuwaonyesha kwamba yeye ndiyo Boss wa USA sasa hivi wote wamenywea na wamesema we are together with our President, hata Democrats wenyewe pmj na kuwa ni Upinzani lkn wana full respect kwa Raisi Trump kama Taasisi na wanatumia watu baki kumdhihaki lkn siyo Demecrats kama Chama!

Hivyo ujumbe wangu ni kwamba tuchezee vyoote lkn tusicheza na Urais, Uraisi ni Taasisi na Rais ni lazima awe na Madaraka makubwa, na hii ni Dunia nzima!
WEE HUJUI UNACHOKIZUNGUMZA USIWADANGAYE WATU HAPA NA HUU UPUUZI WAKO, wewe kweli unazijua siasa za USA.
 
Yaani kulala kote kule umeamka na hoja kituko hivi?! Umenivutia kwenye heading lakini ndani huna LA kunishawishi. Au lengo lako lilikuwa kuwachana wapinzani wa siasa za bongo kina cdm?

Wawezaje linganisha jabali na kokoto kisha ukapata maana ileile ya ukubwa?

Sidhani kama unaielewa siasa ya marekani pamoja na madaraka ya rais wao.

Kwa taarifa yako na hao wenzako wasiojua mipaka ya madaraka yao, taasisi ya urais wa USA siyo wa one man show kama wa kwenu hapo.

Kila tamko na kazi ya rais kwa siku, saa na dakika zimepangwa na kuhakikiwa kabla na yeye anatakiwa afanye rehearsal kama ni hotuba au chochote afanyacho.

Kwenu ninyi hakuna na hamji kuwa nacho kwa hofu iliyowajaa na woga usio na tija.

Taasisi ile haina mamlaka makubwa kama ya huku. Usitudanganye siku nyingine.

Bro, kwani Leo ni zamu yako kutoka kibuku saba?
 
Ni kweli..ni kama mwenyekiti wa chama fulani alivyokuwa na nguvu kiasi cha kutoa jina mfukoni na kusema huyu ndio apigiwe kura..na hakuna wa kuhoji na wote sasa kimya..wanajiita chama cha demokrasia na maendeleo..sasa akiwa rais itakuwaje unadhani??
Duh watu munatunza kumbu kumbu kweli aisee mbowe ni aliniacha hoi sana acha tu hela iitwe hela
 
Waafrika tumekuwa tukidanganywa au labda niseme tumekuwa hatuilewi vizuri mifumo ya Kizungu matokeo yake tumekuwa tukiiga mambo ambayo kiuhalisia Wazungu wenyewe hawayafanyi!

Sasa hili na Uraisi kama taasisi, USA wameonyesha kwamba Rais wa USA ana madaraka makubwa sana kuliko wengi tulivyokuwa tunadhania, D.Trump ameonyesha kwamba Urais ni Taasisi na kamwe haufai kuchezewa na kudharauliwa kama vile Wapinzani fake kama chadema, Tundu Lisu, Zito Kabwe & Co. wanavyojaribu kutuaminisha kila siku!

Tumeona Trump alivyoingia baadhi ya watu tena wengine wa Chama chake walikuwa wanajaribu kutingisha kiberiti baada ya Trump kutaka kuwaonyesha kwamba yeye ndiyo Boss wa USA sasa hivi wote wamenywea na wamesema we are together with our President, hata Democrats wenyewe pmj na kuwa ni Upinzani lkn wana full respect kwa Raisi Trump kama Taasisi na wanatumia watu baki kumdhihaki lkn siyo Demecrats kama Chama!

Hivyo ujumbe wangu ni kwamba tuchezee vyoote lkn tusicheza na Urais, Uraisi ni Taasisi na Rais ni lazima awe na Madaraka makubwa, na hii ni Dunia nzima!
Well said mkuu.....kipindi cha uchaguzi kulikuwa na watu wanasema tunataka mfumo bora...ila nilichokuja kugundua kumbe sio mfumo kitu cha muhimu ni kuwa na rais bora.....Rais Bora ndiye anayeweka mfumo bora.....Rais akiwa Fisadi lazima mfumo nao uwe corrupt......Pili kwenye hili la Trump nimejifunza kitu kingine kuwa Rais lazima awe na power...hawa wanaosema Rais apunguziwe madaraka inabidi warudi wakajifunze tena....maana athari za Rais kuwa na power ndogo ni kubwa sana ukitafakari kwa undani
 
Yaani kulala kote kule umeamka na hoja kituko hivi?! Umenivutia kwenye heading lakini ndani huna LA kunishawishi. Au lengo lako lilikuwa kuwachana wapinzani wa siasa za bongo kina cdm?
Wawezaje linganisha jabali na kokoto kisha ukapata maana ileile ya ukubwa?
Sidhani kama unaielewa siasa ya marekani pamoja na madaraka ya rais wao.
Kwa taarifa yako na hao wenzako wasiojua mipaka ya madaraka yao, taasisi ya urais wa USA siyo wa one man show kama wa kwenu hapo. Kila tamko na kazi ya rais kwa siku, saa na dakika zimepangwa na kuhakikiwa kabla na yeye anatakiwa afanye rehearsal kama ni hotuba au chochote afanyacho.
Kwenu ninyi hakuna na hamji kuwa nacho kwa hofu iliyowajaa na woga usio na tija.
Taasisi ile haina mamlaka makubwa kama ya huku. Usitudanganye siku nyingine.
Bro, kwani Leo ni zamu yako kutoka kibuku saba?

Hizo ni blah blah tu lkn mwisho wa siku Raisi wa USA ana madaraka makubwa sana kuliko wengi wetu tulivyodhania/aminishwa na ndiyo maudhui ya Mada yangu!
 
Dicho mlicho bakiza.

Ubishi, ubishi, ubishi. Ukweli ndio huo, urais ni kitu nyingine
Lakini urais wa marekani ni tofauti sana na wetu, unadhibitiwa na mabunge yote mawili pamoja na mahakama kuu. Ndio maana mawaziri watatu wamekwamba kuwa confirmed na bunge la maseneta. Vyombo vyote vya habari viko huru, watu wanaandamana hata mbele ya white house. Huwezi kulinganisha USA na Tz ni sawasawa na kulingalini kifo na uhai. Hata hapa karibu kenya wana demkrasia kubwa sana sana kuliko tanzania. Kwa ushahidi angalia TV za kenya. Madakitari wana goma leo siku ya 49 wajawahi kupigwa na polisi mambo yote yako mahakamani. Tazania tunaelekea kuwa a full police state.
 
Back
Top Bottom