Tafakuri: Tunacheza ngoma ya watwana

titimunda

JF-Expert Member
Nov 26, 2014
7,571
9,782
Waungwana,

Kumekuwa na tabia ya watawala duniani kudiverge attention ya watawaliwa kutoka kwenye mijadala/matukio ya muhimu na yenye kuzua sintofahamu na kuelekeza macho na maskio yao kwenye matukio ya kutengeneza, ambayo yanahamisha mijadala ya kijamii kutoka kwenye matukio muhimu na kuhamia kwenye propaganda zao.

Huu mchezo unachezwa kwa ushirikiano mkubwa na waandishi wa habari, media pamoja na mitandanaoni. Hivi sasa kuna tukio la dizaini hyo linaendelea, sensetional propaganda na wanatumika mpaka wasanii na watu maarufu kwenye muvi hii,na baadhi yetu tumelishalingamua hilo.

Sasa shu inakuja kwanini pamoja na kuyatambua yote hayo bado tunaendelea kucheza ngoma yao,bado attention yetu tunaendelea kui daivet kwenye igizo lao.Ni ipo ni hatua mujarabu ya kuchukua?
 
Back
Top Bottom