Nilufer
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 9,601
- 13,647
NAKUBALI UTENDAJI WA RAIS JOHN POMBE MAGUFULI KWA ASILIMIA 99.9 KUWA UNAWEZA KUMALIZA RUSHWA,UFISADI NA KUPOROMOKA KWA MAADILI NCHINI.
Na
JUMA GEORGE CHIKAWE
MWALIMU alisema kiongozi tunaemchagua lazima aonyeshe wazi wazi kuwa anaichukia Rushwa na kama tutamuangalia usoni tuseme huyu anafaa kupambana na vita hii KUBWA.
LEO tarehe 02 Feb, 2017, katika maadhimisho ya siku ya sheria Duniani ameendelea kuwadhihirishia Watanzania kuwa hapendezwi na vitu ambavyo vinazorotesha uchumi wa nchi.
Katika hotuba yake amesema Serikali imeshinda kesi dhidi ya makampuni ya Madini na kwa ushindi huo serikali inatakiwa kulipwa trilion 7.5 lakini cha kushangaza Makampuni hayo hayalipi pesa hizo.
Kwa mujibu wa maelezo ya Mh. Rais ni dhahiri shairi kuwa kuna mahala pana tatizo. Aidha Mamlaka husika inayotakiwa kukusanya hizo fedha imeshindwa kutekeleza wajibu wake au Kampuni ambayo imeshindwa kesi imetia mgomo kutekeleza hukumu.
Kwa mujibu wa sheria Mtu yoyote anaekataa kutekeleza hukumu halali ya mahakama ana kosa kisheria.
Serikali ina uwezo wa kuchukua fedha hiyo kupitia Mamlaka zake kama tulivyoweza kufanya kwa wakwepa KODI waliopitisha mizigo Bandarini, lakini ugumu huu wa kutekeleza hukumu ya mahakama inawezekana kabisa kuna mtu katika Mamlaka zetu aidha hatimizi wajibu au kuna mkubwa yuko nyuma ya hizo trilion 7.5; Nikiwa na maana kuna mtu au watu alikuwa/walikuwa anazichukua/wanazichukua fedha hizo kinyume na Serikali na kusababisha kuingia katika mifuko ya watu wachache.
Ukimuangalia RAIS wetu Uso wake umejaa huzuni kuona taifa lililojengwa katika misingi safi limebomoka zaidi ya Taifa lililojengwa katika vita na mapigano.
Vita hii ni Kubwa sana inahitaji MSHIKAMANO na UMOJA. Tusimuache Rais peke yake UFISADI ni zaidi ya USHETANI. Kwa Mtanzania MZALENDO kabisa kabisa huwezi kuleta uvyama katika mambo nyeti yanayogusa maslahi ya nchi yetu.
Ninawaomba waumuni wa makanisa yote na misikiti KUMUOMBEA Mh.Rais na zaidi sana Kumuunga mkono. MAADUI ni wengi ambao wako katika mfumo wa UFISADI Nchini.
USHAURI WANGU
1) RAIS endelea kutimiza majukumu yako na watanzania wengi tunqkuunga mkono kuliko mafisadi wachache wanaokupinga kwa maslahi yao binafsi.
2) Usimuache Mteule wako yeyote ambae atakuwa Royal kwa Mtu mwingine zaidi ya SERIKALI YAKO NA WEWE KAMA RAIS. Hao usiwachekee wala Uso wako usiwaonee haya TUMBUA weka wengine ambao watakuwa ROYAL KWAKO NA NCHI YA TANZANIA TUNAKUUNGA mkono.
3) Watanzania tuendelee KUMUOMBEA Mh. Rais John Pombe Magufuli
4) Vita ni yetu hatuna sababu ya kuiacha watu wachache kuichezea na kuifanya mali ya Familia zao.
5) Wakati wa kuoneana haya umekwisha Sasa ni vita kamili MH. RAIS JOHN POMBE MAGUFULI 'FEAR NOT' GOD IS WITH YOU.
TANZANIA IMARA ITAJENGWA NA WAZALENDO WA KWELI NA SI WANASIASA WA MATUKIO WASIOISHI WANACHOKISEMA.
NA
JUMA GEORGE CHIKAWE
TANZANIA KWANZA
UZALENDO WA KWELI
GOOD NIGHT FOLKS