Wanabodi,
Dr. John Pombe Joseph Magufuli ndiye mshindi wa urais Tanzania kwa mwaka huu wa 2015-2025 and may be more!, anayesubiri tuu kutangazwa rasmi na kuapishwa. Nimesema 2015 -2025 sio kwa...
Harakati za Tanganyika kujitenga na Zanzibar zinasukumwa na malalamiko ya kisiasa na kiuchumi kuhusu muundo wa sasa wa Muungano wa serikali mbili.
Wanaounga mkono vuguvugu hili wanahoji kuwa...
Mnamo mwaka 1987 Nchini uingereza kuliibuka tetesi kwamba Idara ya ujajusi wa ndani MI15 kupitia kwa maafisa wake walihusika katika mpango wa kumdhoofisha aliekuwa waziri mkuu "Harold Wilson", na...
Kabla ya Samia hajaingia madarakani suala la Vyuo vikuu au TAWI la Chuo Kikuu ilikuwa ni kwenye Mikoa maarufu ya Dsm,Mbeya,Arusha,Dodoma, Kilimanjaro na Mwanza.
Mikoa mingine ilitengwa na...
Ndugu zangu Watanzania,
Kiukweli ukiachana na Ushindi wa kishindo alioupata katika uchaguzi mkuu wa Mwaka jana Basi hakuna kipindi na wakati wameonyesha Moyo wa Upendo walionao watanzania kwa...
Safari inaendelea. Vitisho. Haya ndiyo maisha yetu ya Kila siku. Mengine tumetoa Ripoti Polisi huko
Kuna watu hawa miongoni mwa wengi. Yeye anaandika "Ben Saanane unachokitafuta ndani ya Serikali...
Wanabodi,
Hili ni bandiko la kumtafakari Mungu, kuna maswali nimekuwa najiuliza kumhusu huyu Mungu wa Wakristo na Waislamu ambaye ni Mungu Mmoja,Mungu wa Ibrahimu na wanae Ismail na Isaka,na...
JASUSI !
Kwa uelewa wangu jasusi ni mtu anayehusika na kukusanya au kupeleka taarifa kwa siri kwa mtu, taasisi au ofisi nyingine
Mara nyingi anajua anachokifanya na anaweza kulipwa kwa kazi hiyo...
DKT. MWIGULU: MFUMO MPYA WA UNUNUZI PAMBA UJULIKANE NDANI YA MWEZI MMOJA
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, amemuagiza Waziri wa Kilimo kukutana na wadau wa zao la pamba na ndani ya mwezi mmoja...
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, amemuagiza Waziri wa Kilimo kukutana na wadau wa zao la pamba na ndani ya mwezi mmoja kuwasilisha mapendekezo ya mfumo bora wa ununuzi wa pamba utakaowanufaisha...
BBC imezungumza na mama mzazi wa aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole katika mahojiano maalum.
AnnaMary Polepole amesisitzakatika mahojiano hay kuwa arudishiwe mtoto wake-...
Katika watu ambao historia itapaswa iwaandike vizuri kipaji.ujanja na uwezo wa kufika mbali kisiasa Freeman Mbowe anapaswa kuandkwa vizuri sana ukitazama historia yake utaona huyu jamaa ni 'mtoto...
Tunasahau haraka tu.
Hata wakati wa mwanzo wa Kikwete bunge lilimtimua Zitto Kabwe sababu ya kuhoji tu Buzwagi imejirudia tu...
Wakati wa Kikwete pia matamko ya kuzuia maandamano na siasa za...
Malenga Julias, mwanachama kutoka Tunduma, amefika Dar es Salaam kufuatilia mwenendo wa kesi ya Uhaini inayomkabili Mhe. Tundu Lissu.
Julias, ambaye ni mlemavu wa miguu, alipata wasaa wa...
Wakati wa mgogoro mkubwa wa CHADEMA hasa kati ya Zitto na Mbowe niliwahi kuandika humu kuhusu Mbowe kuwa ni 'mtoto wa mjini'
sishangai Zitto kushindwa.... Freema Mbowe ni Mtoto wa mjini, true...
Huyu mzee ni miongoni mwa watu waliokua na mvuto karibia kwa watanzania wote alikua akitokea na tabasamu lake na kicheko basi watanzania wote tunalidhika na kusema huyu mzee ni mgwana huyu mzee...
Yaani inasambaza vithibitisho ili kumuaibisha shahidi, inarusha mitandaoni kupitia akaunti zisizo julikana ili kumuaibisha shahidi , lakini mwisho wa siku wana aibika wao tena.
Tuna jeshi bovu la...
ZIARA YA KIKAZI YA WAZIRI MKUU MKOA WA SIMIYU
Leo ni Itilima
▪️Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba.
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Lengo la Ziara:
▪️Kuzungumza na wananchi...
Mwanachama wa JF na mdau mkubwa wa mitandao, Mdude_Nyagali amechukuliwa na watu waliojitambulisha kuwa ni polisi usiku huu.
Walikuwa na silaha, wamevunja mlango.
Mdude amepigwa sana, alikuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.