Wakili William Maduhu kutoka Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) amesema kuwa Katiba ya sasa ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania bado inaakisi maono ya mfumo wa chama kimoja cha siasa...
Ilianza siku 100
Ikafuata Tume ya Chande
Zikapita purukushani za PM mikoani
Hali ikawa tafrani waraka ukaja kutoka kila kona
Waraka unaisha tarehe August 10 sisi tumekuja na tume
Tume imepewa...
Kusimulia tabia za wanyama
Eneo la kihistoria kwa undani hawa watu wameshindikana kwa kuwa mm ni dume la mbegu basi sauti ya Mwavundi huwa inanipa utulivu wa ajabu .
Kama ww ni mtazamaji wa...
Ukimtoa Rais Emmerson Mnangagwa ambaye ni Rais mwenyeji na rafiki wa Chivayo, hakuna rais yeyote wa kigeni aliyehudhuria mazishi hayo.
Makamu wa rais wa Zimbabwe Chiwenga yeye binafsi hakufika...
Kwanini uachie madaraka 2030 wakati uwezo wa kutawala kama KAGAME au M7 unao? Kwanini uachie ngazi kujiweka roho juu huelewi atakaekuja atakukabili vipi kwa yaliyotokea?
Kila kitu unacho, na...
Ole wenu nyie viongozi wa Dini, Maaskofu, Mapadre na Wachungaji na wale wa ngazi za chini yenu, kwa kutopaza sauti zaidi na zaidi kupinga UDHALIMU katika Nchi yetu.
Kristo mnayemhubiri alipinga...
Yaani mtu alikuwa katibu mkuu wa chama na makamu wa Rais kitendo cha kufukuzwa bila kumpa nafasi ya kujielezea na sasa sitofahamu alipo inainyesha mapungufu makubwa ya CCM .
Yaani hawana uwezo...
uongozi wa sasa wajinga jinga Rutto alileta wazo la kujenga mradi wa usadishaji wa mafuta Tanga badala ya kupokelewa kwa uzuri alipigwa madongo na kuaibishwa na Raisi fake wetu hapa ambaye...
Nawakumba tuu wakati SSH anashima madaraka alikuta Uchumi uko $ 69 Bilioni lakini miaka 5 baadae tunaenda kuvuka $ 100b mwaka 2027 sawa na ongezeko la $ 30B ndani ya kipindi Cha miaka 5 tuu.
Ndio...
Kwa mujibu wa Data kutoka Idara ya Taifa ya takwimu toleo la 2025 zinaonyesha pato la Tanzania Kufikia zaidi ya Shilingi Trilioni 234 ambapo limegawanyika katika Ukubwa tofauti baina ya mikoa...
Wakuu
Nathibitisha kauli hii kwa kiangalia kinachoendelea kwa missgland
Tunaonesha ushirikiano na upendo wa hali ya juu sana lakin bahati mbaya hawa mastaa tunaowaonesha upendo tukipata shida...
WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amekutana na wawekezaji na wawakilishi mbalimbali katika taasisi ya utafiti na uchambuzi wa masuala ya kimataifa Chatham House, jijini London, Uingereza na...
N:B: Urais wa mabunge ni 1 term
Mambo yameenda mrama! Baada ya kupigwa chini kwenye kiti cha Uspika wa Bunge la Tanzania, Dr. Tulia Ackson hakuwa na budi kuachia ngazi kwenye kiti cha Urais wa...
Wafanyabiashara wadogo katika Soko la Kilimahewa, linalotumiwa na machinga wadogo, wameathirika baada ya vitu vyao kubomolewa kwa madai ya kutengeneza mitaro.
Tukio hilo limeibua maswali kuhusu...
Kaimu Kamanda wa Polisi wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam, SACP Faustine Mafwele, ametoa taarifa leo katika ukumbi wa Central Police akieleza kuwa hali ya usalama jijini ni shwari kabisa na kila...
Ndugu zangu Watanzania,
Tunaposema CCM itaendelea kuongoza Taifa letu hadi Mwisho wa Dunia tunakuwa tunamaanisha na wala hatutanii wala kukufuru . Hii ni kutokana na kuwa na Rasilimali watu wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.