Binafsi siyo kwa kuambiwa, bali kwa kushuhudia mwenyewe, nimewahi kuwa karibu sana na baadhi ya waislam ambao ni waungwana sana, waaminifu sana, wenye upendo, na wenye maadili ya hali ya juu...
KAFULILA: DUNIA IMEJAA MADENI UBIA NDIO SULUHISHO
Mkurugenzi Mtendaji wa PPPC, David Kafulila, akizungumza katika mhadhara wa umma Chuo Kikuu cha Sokoine (SUA), alisema kuwa ajenda ya ubia kati...
Mwaka jana nilisema baada ya Uchaguzi kuisha kutajuwa na zoezi kubwa sana la kunyakua Aridhi na kukabidhi Wazungu na Waarabu. Sana Waarabu.
Wilaya kama Longido inaweza poteza robo hadi nusu ya...
Deni la Dunia na Nafasi ya PPP
Arusha, TICD Katika muhadhara maalum wa umma, Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia Tanzania (PPPC), David Kafulila, alieleza kuwa deni la Tanzania bado liko katika...
Katika mhadhara wa umma uliofanyika Tengeru Institute of Community Development (TICD), Mkurugenzi Mkuu wa Kituo cha Ubia Tanzania (PPPC), David Kafulila, alitoa hoja muhimu kuhusu nafasi ya sekta...
Wakati mwingine, watu wenye mawazo yanayoweza kuleta mabadiliko makubwa huishia kupuuzwa, kutengwa au hata kufungwa. Historia inatufundisha kwamba nafasi ya mtu katika jamii haiwezi kuwa kipimo...
Baada ya kuona mijadala mbalimbali inayohusu orodha ya "machawa" katika siasa zetu, sasa ni wakati wa kurudi kwenye mada muhimu na yenye muktadha wa kina kwa taifa letu.
Leo tunautazama...
Huyu Samia nani kamlazimisha kugombea huu urais? Huyo mzanzibari hataki hii kazi, ni Kikwete? Kwa maslahi ya nani?
Ni wazi zahv hatuna Rais wa JMT, mwezi wa Februari wamiliki wa vyombo vya...
==
Mkurugenzi wa Kituo cha Ubia nchini Tanzania (PPPC), Bwana David Kafulila, akiwa katika Tengeru Institute of Community Development (TICD) jijini Arusha, amekaririwa akisema kuwa “Kwa mujibu wa...
John Wegesa Heche ni mwanasiasa mashuhuri nchini Tanzania na sasa anahudumu kama Makamu Mwenyekiti (Bara) wa chama kikuu cha upinzani cha CHADEMA.
Anajulikana sana kwa hotuba zake zenye...
Marekani chini ya mazafaka Trump imekuwa mfano mbaya sana kwa dunia. Kimsingi, they’re proponents of Jungle Law!
Read in The Guardian: US imposes new sanctions on international criminal court —...
Mabunge ya ulimwenguni mzima yapo Tanzania, lakini pia viongozi wakuu wa kitaifa wa serikali sikivu ya CCM, kwa kipindi hiki, karibu wote wamesambaa kote ulimwenguni katika kuimarisha mahusiano ya...
Nimekuwa nikifuatilia kwa ukaribu sana maisha ya watu waliokemewa na Humphrey Polepole kujua yanaendeleaje kwa kweli licha ya watu hao kuwa na hela nyingi sana lakini nimegundua maisha yao ni...
Moja ya mambo lazima niyafanye ntahakikisha tunatengeneza dawa ya ebola nikiwa Rais wa Tanzania
Unajua ukifuatilia swala la ebola ni aibu kubwa sana kwa sisi waafrika utaona tunachangamoto kubwa...
08 October 2026
KONGAMANO LA KIMATAIFA LA SACCA 2026 / 2026 SACCA CONGRESS DAR ES SALAAM 11 – 16 October 2026
26th SACCA Congress to bring more than 1, 200 cooperative leaders in Dar es Salaam...
Maneno matakatifu yalivyosema kwa tajiri kuona ufalme wa Mungu ni rahisi ngamia kupenya tundu la sindano ni kweli. AZAM TV ina channel ya Sinema zetu inayoonesha movie za kibongo kuanzia saa 1...
Kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na taasisi ya umoja wa Mataifa ya uhamiaji imebaini kwamba Watanzania ndio watu wanaosafiri Kwa kukimbia Nchi Yao Kwa kiwango kidogo sana kati ya mataifa ya Afrika...
Jana usku kumetokea ajali mbili zimeondoka na Roho za WATANGANYIKA wenzetu zaidi ya 30
Je mbona hakuna hata salamu za Rambirambi kutoka serikalini? Au ni sehemu ya USHETANI KUENDELEA kuchukua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.