Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nachokijua rais wa Nchi akishakula kiapo huyo ni Rais no way unataka au hutaki kinachobaki ni kukosoa kwa sehemu na kushauri pale unaona panafaa...
2 Reactions
9 Replies
103 Views
Hii ni kwa Sababu Ile kesi Yake ya UONGO imesababisha hasara ya mabilioni ya hela kwa Chadema baada ya Mali nyingi kuharibika kutokana na katazo la kuzitumia baada ya. hukumu ya kipuuzi ya Jaji...
7 Reactions
13 Replies
264 Views
Kwa Tuhuma za kukihujumu CHAMA kwa kushirikiana na Watu wa nje ya CHADEMA (CCM) Amekirudisha CHAMA nyuma sana kwa hujuma zake za kizushi Labda kwa wasiomjua Said ni hivi, huyu ni Mtu Duni...
10 Reactions
26 Replies
667 Views
Kuna msemo unasema: “Mjinga akipata madaraka, cha kwanza atawanyamazisha wenye hekima; cha pili atawazungusha wajinga wenzake; na cha tatu ataanza kuharibu na kubomoa nchi.” Ukiitazama historia...
6 Reactions
27 Replies
262 Views
Ndugu zangu Watanzania, Mfanyabiashara na Tajiri wa Kiafrika Marehemu CHIVAYO na Mkewe wanatarajiwa kuzikwa kesho . Ambapo baada ya ibada wawili hao watazikwa Eneo moja . Ambapo viongozi...
2 Reactions
47 Replies
856 Views
Akiongea na Wakili TV Revocatus Kuuli wakili wa mahakama ya ICC amesema "Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) inaweza kumshtaki hata Rais akiwa madarakani" Afafanua hali hiyo, je wafungwa...
8 Reactions
50 Replies
2K Views
Jana kwenye mkutano wa baraza la vyama 18, Prof. Kabudi kasema mfumo wa vyama vingi si uadui wala uasama. Sasa kama mfumo wa vyama vingi si uasama yeye atuambie: 1: Kwa nini wao kama ccm na polisi...
2 Reactions
19 Replies
256 Views
Baada ya kesi kukamilika kimama kimeshauriwa amwachie Lissu maana imeshakuwa aibu HATAKI! Wamepanga lazima wamkute na hatia. Option 1 - Wamhukumu uhaini mdogo (whtever this means) jela miezi 6...
23 Reactions
122 Replies
2K Views
Marehemu Magufuli aliwahi onya , kukataa na kupiga marufuku zoezi la kufurusha machinga mitaani wakati akiwa Rais Kwa madai kwamba hiyo ndio Ajira Yao na kwamba wale machinga ndio walimpigia kura...
5 Reactions
69 Replies
664 Views
Video mbaya imetoka kuhusu Mwamposa. Mambo mabaya, haiwezekani hata kuyazungumza hapa JF au popote. Tatizo ni kwamba huyu "Nabii" amekuwa rafiki mkubwa wa Rais Samia na sifa mbaya Kwa huyu mtu...
4 Reactions
28 Replies
761 Views
https://www.instagram.com/reel/DePHV3lO4aT/?obrf=MWpkNGhremkxNDgyZA==
1 Reactions
1 Replies
35 Views
Uncle, when you are entrusted with the task of ritual ablution of a corpse, you invariably transcend consanguinity — they repose an implicit faith in you that you are incapable of desecration...
11 Reactions
24 Replies
537 Views
FEMATA inajieleza kuwa ni taasisi inayowakilisha maslahi ya wachimbaji wadogo nchini Tanzania. Kwa nafasi hiyo, jambo la msingi si taasisi kuwa na jina au viongozi pekee, bali ni kuhakikisha...
0 Reactions
0 Replies
13 Views
07 June 2026 #LIVE: KIJANA MZALENDO ANAFUNGUKA MAMBO MAZITO SAMIA KWENDA URUSI, "TUJIANDAE KUUMIA" https://m.youtube.com/watch?v=G6zobdMSy6s Kada wa CCM, David Levi Nkindikwa akinyoosha rula...
6 Reactions
11 Replies
388 Views
Picha:Taswira ya Ukumbi wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania: Je, mijadala na maamuzi yetu ya kitaifa baada ya uchaguzi yanaongozwa na maridhiano na hekima ya pamoja, au yanaathiriwa na...
0 Reactions
0 Replies
16 Views
Leo, tarehe 8 Oktoba 2026, Mahakama Kuu ya Tanzania, Masijala Ndogo ya Dar es Salaam, inatarajiwa kutoa uamuzi kuhusu Maombi ya Zuio katika Maombi Madogo Na. 14864 ya mwaka 2026. Maombi hayo...
4 Reactions
13 Replies
206 Views
Kama na wewe hua ni wale wanaosema kua lema kaficha familia yake Canada, mara watoto wa Lissu wapo Marekani... Unataka kuandamana utakufa wenzio familia zao zipo nje. Sikia nikwambie siku sheria...
1 Reactions
9 Replies
90 Views
Halafu anaibuka mtu anaitwa Polepole akitaka kutuaminisha Magufuli alikuwa mzuri sana na mstaarabu Pia soma Prof. Assad: Sikustaafu kuwa CAG bali niliondolewa kinyume na Katiba bila Kulipwa...
12 Reactions
74 Replies
1K Views
Tatizo ni machawa Tatizo ni majaji wanapokea rushwa. Haya ndiyo mawazo ya Talmud.( Rabbi Mirvis aliniambia ninayo ruhusa yake kuongea kuhusu Talmud) Tumejifunza katika Boraitha: Kama utaishi...
1 Reactions
1 Replies
57 Views
Back
Top Bottom