Je Mzee Butiku anastahili heshima?

Je Mzee Butiku anastahili heshima?

Msanii

Platinum Member
Joined
Jul 4, 2007
Posts
26,313
Reaction score
39,699
Nimemsikiliza mzee Butiku hivi karibuni akiwataka vijana kupuuza ushauri wa wanasiasa wanaodai Haki, Uwajibikaji na Katiba ya Wananchi (anaouita ni ushauri potoshi), badala yake anawaasa vijana kumsikiliza na kumheshimu Samia ambaye yeye anasema ANA NIA NJEMA.

Huyu mzee Butiku. Anastahili kuheshimiwa kwa kauli zake hizi? Je Tumuheshimu Samia ambaye
  1. Hajawahi kuoneshwa kuguswa na matukio ya unyama, ukatili na mauaji ya raia chini ya uratibu wa vyombo vya ulinzi na usalama
  2. Aliliandaa Jeshi kushiriki uchaguzi Mkuu 2025 kwamba lipo tishio la usalama
  3. Alitoa amri kwa majeshi kuua kwa kimbari raia hapo Oktoba 29.
  4. Juzi hapa amenukuliwa akiwasifia raia wa Zanzibar kuwa hawakuuliwa Oktoba 29
  5. Na mengine mengi

Huyu Butiku haoneshi kuguswa na matatizo na mkwamo unaolikabili Taifa. Anaongea kauli ya kuwa yamepita hayo tugange yajayo na kusamehe aliyoyafanya Samia.

Je Butiku anastahili heshima ama tumpuuze?

Karibu tujadili
 
Nani aliyetulisha TANGO PORI kwamba Butiku yupo ICU?
 
mtu hutunikiwa heshima kutokana na kazi aliyoifanya.
mfano mwalimu JULIUS KAMBARAGE NYERERE mpaka leo anaheshimika duniani kote kwa kazi aliyoifanyia ,heshima inafanyiwa kazi ,SIO ZAWADI..nineona juzi mama maria nyerere ameenda kuzindua hospitali iliyopewa jina la Nyerere huko nje ya nchi.

Mandela mpaka leo anaheshimika,Edward Moringe Sokoine, chief MKWAWA wa uhehe
TIndu LISU n.k

Heshima lazima uifanyie kazi ,haiji kama zawadi

si unaona wanaojipa heshima na kujivika kofia za PHD za mchongo hata KOFIA zenyewe zinakataa na kudondoka kichwani... yani kofia ya phd ya kuvalishawa kwa kubumba inakataa kukaa kichwani..

respect is earned hapa JF kuna member wana repect kama kina mshana halafu kuna machwawa....si umeona tofauti.
 
Nimemsikiliza mzee Butiku hivi karibuni akiwataka vijana kupuuza ushauri wa wanasiasa wanaodai Haki, Uwajibikaji na Katiba ya Wananchi (anaouita ni ushauri potoshi), badala yake anawaasa vijana kumsikiliza na kumheshimu Samia ambaye yeye anasema ANA NIA NJEMA.

Huyu mzee Butiku. Anastahili kuheshimiwa kwa kauli zake hizi? Je Tumuheshimu Samia ambaye
  1. Hajawahi kuoneshwa kuguswa na matukio ya unyama, ukatili na mauaji ya raia chini ya uratibu wa vyombo vya ulinzi na usalama
  2. Aliliandaa Jeshi kushiriki uchaguzi Mkuu 2025 kwamba lipo tishio la usalama
  3. Alitoa amri kwa majeshi kuua kwa kimbari raia hapo Oktoba 29.
  4. Juzi hapa amenukuliwa akiwasifia raia wa Zanzibar kuwa hawakuuliwa Oktoba 29
  5. Na mengine mengi

Huyu Butiku haoneshi kuguswa na matatizo na mkwamo unaolikabili Taifa. Anaongea kauli ya kuwa yamepita hayo tugange yajayo na kusamehe aliyoyafanya Samia.

Je Butiku anastahili heshima ama tumpuuze?

Karibu tujadili
Wewe unaonaje
 
Heshima siyo kaboka kwamba avalishwe kirahis tu.Heshima hutafutwa na kujengwa kwa juhudi.Uhuni hauna umri.
NB;Wavuta bangi wa zamani nao wamezeeka.
 
Butiku ni mpumbavu aliweza kumuuza Polepole na hawa ndo wazee alisema Polepole kwamba wanataka kuongoza maridhiano baada ya Uchaguzi tuwakatae kwa hiyo Polepole alikua sahihi huyu mzeee ni tapeli sana naweza kusema ni mpumbavu
 
Back
Top Bottom