Rais Samia kwanini ananyamazia matukio ya Utekaji?

Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2014
Posts
18,165
Reaction score
29,866
Huwezi kuacha kujiuliza hili swali.

Kwa matukio ya hivi karibuni, hasa hili la jaribio la kutekwa kwa kada wa CHADEMA aitwaye Jumbe, wengi tumejiuliza.

Watekaji inasemekana walikuwa na lafudhi isiyopingika ya watu wa visiwani.
Inaelekea ni vijana wa vyombo vya ulinzi na usalama , maana walikuwa na silaha.

Polisi sasa hivi inajimunya munya kueleza tukio ambalo halina kichwa wala miguu
Amiri jeshi mkuu wa vyombo vya Ulinzi na Usalama ni Rais wetu Samia Suluhu.

Lakini kwa matukio kukithiri na hakuna maelezo yoyote toka Waziri wa Mambo ya Ndani wala kiongozi yeyote Polisi, inamaana wako katika ganzi fulani.

Twajiuliza, Je Mama Samia anahusika na huu utekaji?

Maoni yenu wakuu!
 
Nitatoa mchongo wangu baada ya kusikia maoni ya watu wa wili humu Lucasi Mwashamba na Tlaatlaah
 
Nani aliwaamuru wanajeshi wetu wa jwtz wavae magwanda ya polisi na kuua watu hapo October 29?
Bila shaka ni amiri jeshi mkuu.
Yupo wapi Mzee kibao?
Uchaguzi ulikuwa huru na WA haki?
 
Huwezi kuacha kujiuliza hili swali.
Kwa matukio ya hivi karibuni, hasa hili la jaribio la kutekwa kwa kada wa CHADEMA aitwaye Jumbe, wengi tumejiuliza.
Watekaji inasemekana walikuwa na lafudhi isiyopingika ya watu wa visiwani.
Inaelekea ni vijana wa vyombo vya ulinzi na usalama , maana walikuwa na silaha.

Polisi sasa hivi inajimunya munya kueleza tukio ambalo halina kichwa wala miguu
Amiri jeshi mkuu wa vyombo vya Ulinzi na Usalama ni Rais wetu Samia Suluhu.

Lakini kwa matukio kukithiri na hakuna maelezo yoyote toka Waziri wa Mambo ya Ndani wala kiongozi yeyote Polisi, inamaana wako katika ganzi fulani.

Twajiuliza, Je Mama Samia anahusika na huu utekaji?
Maoni yenu wakuu!
Sponsor wa abductions anaanzaje kukemea abductions?
 
Utekaji na maovu yote wanayofanyiwa Chadema na wakosoaji wa serikali una baraka za Samia kwa 100%.
 
siasa inatumalizia ndugu zetu....nibora isiwepo kabisa kama mmeshindwa kukaa meza moja hatuifurahii kabisa..mfano, mzuri ni kama huu leo Rais hatambuliki kwa kisingizio hakuchaguliwa na wananchi halafu matukio haya yanayotokea hao hao ambao hawamtambui kuwa ni Rais wao eti wanamtaka atoke hadharani kukemea huu utekaji na mauwaji halafu na vyombo yake kuvituhumu...haya kwasisi tunaoamini alipita kihalali tunaona haya matukio hayakemewi hata bungeni...tunabaki kujiuliza hii vita ya chini kwa chini ya kisiasa itaisha lini? Naichukia saaaaaaana siasa.Kama ningekuwa na uwezo vyama vyote ningevifuta tukaanza upya..Ushauri tena CHADEMA jishusheni CCM jishusheni Tulijenge taifa.
 
Siasa ni maisha mkuu.

Labda unamaanisha siasa fake, na chafu ndio ziachwe. Kwa sababu, CCM ya sasa sio chama cha siasa. Ni chama dola. Ni kama kupe, ni mpaka kitolewe hapo kwa nguvu.

Vinginevyo hakuna aliye salama, ikiwemo wewe unayedhani Samia kapita kihalali. Wasimamizi wa uchaguzi nchi nzima walimjazia kura feki mkuu.

Na kwa uwezo mdogo alio nao hawezi kuikwamua nchi. Huyu mtu sio Statesman.
 
siasa inatumalizia ndugu zetu....nibora isiwepo kabisa kama mmeshindwa kukaa meza moja hatuifurahii kabisa..mfano, mzuri ni kama huu leo Rais hatambuliki kwa kisingizio hakuchaguliwa na wananchi halafu matukio haya yanayotokea hao hao ambao hawamtambui kuwa ni Rais wao eti wanamtaka atoke hadharani kukemea huu utekaji na mauwaji halafu na vyombo yake kuvituhumu...haya kwasisi tunaoamini alipita kihalali tunaona haya matukio hayakemewi hata bungeni...tunabaki kujiuliza hii vita ya chini kwa chini ya kisiasa itaisha lini? Naichukia saaaaaaana siasa.Kama ningekuwa na uwezo vyama vyote ningevifuta tukaanza upya..Ushauri tena CHADEMA jishusheni CCM jishusheni Tulijenge taifa.
sasa kwa kauli kama hizi sindo mnaipa hasira Dola.Hyo nguvu itakayotumika ni nguvu ya namna gani?Ndugu mwananchi ili tutoke salama unashauri nini kifanyike.
 
Huwezi kuacha kujiuliza hili swali.

Kwa matukio ya hivi karibuni, hasa hili la jaribio la kutekwa kwa kada wa CHADEMA aitwaye Jumbe, wengi tumejiuliza.

Watekaji inasemekana walikuwa na lafudhi isiyopingika ya watu wa visiwani.
Inaelekea ni vijana wa vyombo vya ulinzi na usalama , maana walikuwa na silaha.

Polisi sasa hivi inajimunya munya kueleza tukio ambalo halina kichwa wala miguu
Amiri jeshi mkuu wa vyombo vya Ulinzi na Usalama ni Rais wetu Samia Suluhu.

Lakini kwa matukio kukithiri na hakuna maelezo yoyote toka Waziri wa Mambo ya Ndani wala kiongozi yeyote Polisi, inamaana wako katika ganzi fulani.

Twajiuliza, Je Mama Samia anahusika na huu utekaji?

Maoni yenu wakuu!
Ni serkali na Mungu atawaadhibu vikali.
 
Back
Top Bottom