Waliosaini mikataba mibovu wanakula raha, Yeriko Nyerere amelala sero

lendila

JF-Expert Member
Sep 26, 2012
5,806
4,370
Waliosaini mikataba mibovu wako nchini wanakula raha, kada wa CHADEMA Yeriko Nyerere amelala sero, alafu bado unamatumaini na maendeleo na taifa.

Kwa tafsiri ya sheria za Tanzania, Yeriko Nyerere ana makosa makubwa sana kuliko waliopotezea nchi zaidi ya trilioni 884 kwenye mchanga wa dhahabu
 
Kusema kweli inauma sana Yeriko anakamtwa kisa tu ni kuanika wizi ulivyokuwa wakati mijizi mikuu inakula penshion kwa kodi zetu pamoja na kwamba walituuza kwa mashetani ya kizungu.
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Polisi wetu kwa ccm ni ma kamasi tu waoga kishenzi.polisi anaweza kuamrishwa na katibu wa tawi ccm kuwa huyu mumweke ndani na wakafanya hivyo,,,,,,,Kama ilifikia hatua wanazuia eti Alphonce Mawazo asiagwe na wananchi kisa tu ni mtu wa upinzani unaona sawa,walijaza bunduki mji wa mwanza mzima kutoka bugando mpaka Usagara,hawa sio watu ,wanamlaza lakini wakienda mahakamani watashindawatashinda
 
ulishaambiwa watalindwa "wazee" acha wapunzike kwa amani.
Na hatutaki kufukuwa makaburi ya wakubwa
 
  • Thanks
Reactions: SDG
majambazi wa rasilimali zetu wamepewa kinga ya kutoshitakiwa na pia wamepewa ulinzi. kwa kweli inauma sana....
 
Waliosaini mikataba mibovu wako nchini wanakula raha, kada wa CHADEMA Yeriko Nyerere amelala sero, alafu bado unamatumaini na maendeleo na taifa.

Kwa tafsiri ya sheria za Tanzania, Yeriko Nyerere ana makosa makubwa sana kuliko waliopotezea nchi zaidi ya trilioni 884 kwenye mchanga wa dhahabu
Hiyo ndiyo Tanzania chini ya CCM.
 
Back
Top Bottom