Habari wakuu..
Kwa wale ambao wangependa kujua kuhusiana na ratiba ya mazishi ya kumpumzisha mzee wetu Mh Philemon Ndesamburo ambaye alikuwa mbunge wa Jimbo la Moshi mjini kwa tiketi ya CHADEMA...
Ni jambo la kujivunia kuwa leo Mh. Rais ameongea kwa upole kama baba wa watoto kama taifa. Watot wanapata matumaini, ni jambo jema. Mwanzo wa mabadiriko.
Aliyekuwa Mbunge wa Moshi mjini kwa Takriban miaka 15, Marehemu Mzee Philemon Ndesamburo Atazikwa siku ya Jumanne Tarehe 06/06/2017.
Mwili wake utaagwa rasmi katika viwanja vya mashujaa Moshi...
Nimepata habari hizi muda na mtu mmoja kwa kuniandikia mail .Lakini pia huu ni uzoefu wangu wa miaka madhaa niliyo kuwa nakaa Ughabuni kwamba mabalozi wetu watumishi wao wamejaa dharau , majivuno...
Ni kwa nini kwenye hili sakata la mchanga kuna watu (wana siasa) wanameanza kutaka kuonekana wenye nia njema,na wengine hawana nia njema. Lakini hawa wanasiasa wenye nia njema na wasio na nia...
Waziri wa Viwanda , Biasharana Uwekezaji, Charles Mwijage leo Alhamisi amevaa viatu vya Profesa Sospeter Muhongo kwa kusoma bajeti ya Wizara ya Nishati na Madini bungeni.
Mwijage anavaa viatu...
Rais wa Tanzania John Magufuli amesema kuanzishwa kwa mfumo mpya wa serikali wa ukusanyaji kodi kwa njia ya Kielekroniki, (Data Center) itakuwa dawa kwa wale wote wanaokwepa kulipa kodi...
Jee ni kweli Mohamed Iqbal Dar, mwenye asili ya kihindi, aliyekuwa akiishi Tanga, mnamo mwaka 1964 ndiye aliipa nchi yetu jina zuri la "Tanzania"
Kama ni kweli huyu mtu yuko wapi kwa sasa? Na...
Leo raisi wetu mpendwa JP Magufuli alizindua mfumo wa kukusanya kodi ambao umetengenezwa na watanzania wenzetu mwanzo mwisho, pia raisi alipata wasaa wa kutoa hotuba fupi yenye maneno mazito kama...
Katika majadiliano ya jana kati ya Balozi Amina Salum Ali na mwandishi wa Nipashe unaweza kuuona muhma alionao baada ya kuhusika moja kwa moja katika uchafuzi wa suluhu iliowekwa na waliomtangulia...
Uzalendo unaharibiwa kwa Uhamasishaji wa kiitikadi , kejeli , mipasho, matusi, uonevu , kutoyatenda yaliyo ya haki kwa tabaka la chini, kuwagawa, wananchi kwa misingi ya ukabila, ukanda , udini na...
“Kwa masikitiko nimepokea taarifa za kifo cha Mbunge Mstaafu wa Jimbo la Moshi Mjini, Mzee wangu Philemon Ndesamburo kilichotokea leo tarehe 31 Mei, 2017 katika Hospitali ya Rufaa ya KCMC iliyopo...
Kuwa na nia njema ni jambo moja ila njia ya kufikia malengo ya nia njema ni muhimu sana.
Hakuna uwezekano katika maisha kutumia mbinu mbaya kufanikisha jambo jema. Hivi mtu akivunja benki na...
(ShareCast News) - Tanzania has launched a new investigation after Acacia Mining was accused by a government committee of under-reporting gold exports, with analysts in disagreement over how much...
Miaka Hamsini na ushee ya Uhuru , bado taifa halijui ni kwa namna Gani nembo ya taifa ilipatikana, wala hawajui ni nani aliyebuni. Ivi kweli tunajua hata zile alama kwnye nembo zinazungumza nini ...
Zanzibar Daima
Akina Lukuvi musiojua Zanzibar. Ukristo uliingia hapa kabla hata mababu zenu hawajabatizwa. Musitufitini.
Anuani ya mjadala huu inalazimika kuwa refu kutokana na haja iliyopo ya...
Kuna habari iko mitandaoni ikimnukuu kiongozi mkubwa kabisa wa ccm,akidai kwamba kuna watu wa migodi waliandaa bilioni 300 kwa ajili ya kuhonga
Sijasikia kauli ya PCCB kuhusu hili kama walimuhoji...
TANZANIA ANTI-MINERALS SMUGGLING FAILURE
The anti-minerals smuggling campaign has hoted up in Tanzania, but there is a huge cover-up. 270 Kgs of gold worth some Tsh 12bn/- and 2 tons of uranium...
Wanaoitetea Acacia Wako Kwenye Stage ya Ujinga Wanaelekea Upumbavu...!!!!
Akiongea kwenye kipindi cha jambo leo tbc1 leo kwenye mahojiano maalum yaliyo kuwa yakiendeshwa na mtangazaji Shaban...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.