Troll JF
JF-Expert Member
- Feb 6, 2015
- 7,804
- 12,233
Katika kile nilichowaonea huruma Wananchi wa Singida ni pale waliponiambia kuwa wamekosa Uwakilishi ndani ya Bunge la Muungano wa Tanzania. Mwananchi Mmoja aliongea kwa uchungu kuwa Mbunge wake alimuona wakati wa Uchaguzi wa Mwaka 2015.
Wananchi wamekua wakimtaka Mbunge wao arudi jimboni ili atatatue kero mbalimbali ikiwemo kuyapeleka bungeni Yale ambayo yako juu ya Uwezo wake.
Mwananchi Mmoja amesifia Juhudi za Mbunge katika miaka 5 ya awamu yake ya kwanza na Kusema kuwa baada ya Mbunge wao kuhamisha makazi wamekua wakimuona Kupitia luninga na kumsikia redioni.
Nilipojaribu Kumtafuta Mheshimiwa Simu yake ya kiganjani iliita bila kupokelewa.