ACT Wazalendo inawakaribisha Watanzania Wote Kwenye Kongamano la #RasilimaliMadini

ACT Wazalendo

JF-Expert Member
May 5, 2014
628
1,561
Wazungumzaji:

Ndugu Kabwe Z. Ruyagwa Zitto
Kiongozi wa Chama - ACT Wazalendo

Mama Anna Elisha Mghwira
Mwenyekiti wa Chama - ACT Wazalendo.

Dr. Rugemeleza Nshala
Mkurugenzi Mtendani -Chama cha Wanasheria wa Mazingira, LEAT

Ndugu Nicomedes Kajungu
Katibu Mkuu -Chama cha Wafanyakazi Migodini, NUMET

Dennis Mwendwa
Mwenyekiti Mtendaji - Muungano wa Asasi Zinazojishughulisha na Masuala ya Mafuta, Gesi Asilia na Mazingira (Oil, Natural Gases and Environmental Alliance-ONGEA)

Muda: Kuanzia saa 3 kamili asubuhi.

Mahali: Ukumbi wa Makumbusho ya Taifa, Posta - Dar es salaam.

Siku: Jumamosi, Juni 3, 2017.
Kuthibitisha ushiriki tuma SMS kwa namba 0752585111/0719847032
Karibuni wote
4a48179a7d7bcb5eeb82efd011c45c3c.jpg
 
Migodi ccm imekomba yote mpaka Tulawaka ,Nzega na buzwagi unakaribia kufungwa mnaenda kuongea kitu kilchosha.mnapoteza muda wenu bure
 
Nini wata offer after kongamano?...bora wangefanyia Kigoma alafu waweke live watu wengine waone..ila nawaza tu....
 
Fursa...
naona mnazidi kumpa edge JPM. Kongamano hili lilikuwa wapi kabla ya haya yanayotokea kuanzishwa.
Kesho JPM akianzisha sekeseke lingine la ukataji miti hovyo, Utasikia kongamano la mkaa...
 
Back
Top Bottom