Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nchi inapopata kiongozi mjinga inakuwa hatari sana hapo ndipo makundi ya kigaidi hujitokeza yanateka na kuuwa tukivuka hapa tusifanye makosa tena. Lazima tujiulize mpaka sasa ni wangapi wametekwa...
2 Reactions
1 Replies
152 Views
SGR inahujumiwa waje wapewe wakezaji - na safari hii watapewa Warusi si wachina wallahi! LEO JIONI Treni hii limeharibika RUVU PORINI huko. Abiria wameambiwa Washuke Waanze kutembea na kwamba kuna...
3 Reactions
57 Replies
2K Views
Inajulikana kuwa waovu wanaweza kutumia janga la mvua kuhujumu treni ili kuleta maafa na taharuki. endeleeni kusimamia weledi wa kazi . Sio aibu na wala sio ajabu kwa kuhairishwa safari nyakati za...
-1 Reactions
5 Replies
172 Views
Hata leo mkifungia Chadema sera zao tayari zimesha eleweka na ndizo zipo kwa Watanzania wengi.!Pesa , uchawa, rushwa haitaweza kubadilisha imani ya watanzania ni kupoteza muda. Ukiwa na genius...
9 Reactions
6 Replies
315 Views
Uchaguzi ULIO mweka RAIS Samia madarakani umeondoka na uhai wa Binti mdogo sanaaa Mama yake anauzunika mnoooo Mtoto amefikisha siku 60 Alikufa akiomba msamaha kwa Yessu amsamehe kama amemkosea...
4 Reactions
8 Replies
339 Views
Bonge wa Zimbabwe mwenyewe alipost picha akiwa na Mama. Rostam alikiri kununua mgodi wa makaa ya mawe. Tulitumia VPN na tukawa tunaingia bila tatizo JamiiForums. Vpn ni salama zaidi kuliko hata...
7 Reactions
23 Replies
694 Views
Naweza nilaumiwe au nisilaumiwe NATAMBUA wahaya WAMEISHA ila wamebakia Ta Bagonza na proffesa TIBAIJUKA hakika mmeupiga mwingi kwa Mwaka 2025. Mbalikiwe Haya wewe Mzaramo,mmakonde sema kabila...
0 Reactions
0 Replies
79 Views
Baba yetu uliye mbinguni jina lako litukuzwe ufalme wako ufike utakalo lifanyike duniani kama mbinguni utupe leo mkate wetu wa kila siku utusamehe makosa yetu kama tunavyowasamehe waliotukosea...
0 Reactions
5 Replies
117 Views
..Kuna tatizo la upotoshaji, na Watz kutojiongeza. ..Mauaji ya Rwanda yalifanywa na genge la Interahamwe. ..Hao Interahamwe walikuwa ni umoja wa vijana wa chama tawala cha Rwanda wakati huo...
22 Reactions
47 Replies
2K Views
Kuna picha zinasambaa huko social media zikionyesha vijana wakiwa wamepandisha bendera ya Tanganyika. Nafanyia utafiti kuhusu uhakika wa picha hii. Kama tumeanza kufikia hapa, hii itakuwa ni...
26 Reactions
55 Replies
2K Views
Maria Sarungi kajificha nje ya nchi hakuna hata kwenye Msiba wa baba yake kwa kuhofia usalama wake ? Mange Kimambi hawezi kuja Tz hata kwa dawa kwa kuhofia usalama wake punde tu atakapo kanyanga...
7 Reactions
114 Replies
2K Views
Najiuliza sana swali hili, maana alikuwa chawa grade 1 wa Samia! Alikuwa kichekesh linapokuja suala la uchawa! "Aliteleza" wapi?
6 Reactions
31 Replies
707 Views
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, amesema wanaharakati walijipanga kuhamasisha vurugu Oktoba 29, 2025 kwa lengo la kuharibu uchaguzi mkuu ili wasipatikane viongozi na kutoa nafasi ya maandamano...
4 Reactions
64 Replies
1K Views
Salaam, Shalom. Ili pawe na Amani, huna budi kuwatisha waovu, KAZI hii ya kuhakikisha waovu hawachezei Sharubu za Serikali, Mungu alimsaidia Hayati Magufuli kuifanya kazi hiyo kwa ufasaha...
30 Reactions
187 Replies
6K Views
Salaam, Shalom!! Nimefanya Utafiti mdogo na kufanikiwa kupata kujua size ya viatu vya mzalendo na mchapakazi Magufuli vilivyotelekezwa. Viatu hivyo vimenakshiwa na sifa ZIFUATAZO, 1. UTHUBUTU&...
43 Reactions
567 Replies
31K Views
Salamaleko! 1. Gen z bado hamjui nini kilitokea hapo nyuma. Hamjui tulieni. 2. Kama mnataka kujifunza kaeni hapa nitawafunza. Lakini nawajua kwa ubishi wenu. Mniambie mnataka style ipi. 3...
0 Reactions
0 Replies
158 Views
Simbachawene analeta usanii. Yuko pale kwa vile polisi ni makatili. unadhani ataweza kufanya reforms? BILA pressure ya wananchi na external pressure hakuna kitu! Time will tell!
7 Reactions
6 Replies
187 Views
Angalia wale vijana waliokuwa wanabebana huku wame vunjwa vunjwa mikono na miguu, wanachadema wamewachangia milioni 10, na 15 mbebaji na mbebwaji respectively! Haya matendo makuu yanafanywa na...
7 Reactions
2 Replies
141 Views
Wakuu, Kutoka Kisiwa cha Amani mpaka Kisiwa cha Utekaji! Mpaka lini Watanzania tutaacha kuishi wa hofu?! ==== Ameandika Liberatus mtandaoni; "Diaspora mwenzetu mkazi wa USA— Thadei Kweka...
2 Reactions
32 Replies
1K Views
Anaandika Aloyse Nyanda Mtozi kupitia ukurasa wake wa Instagram: Je Fr Kitima anachuki na serikali au ana chuki na Rais Samia au anachuki na Uislamu? Jibu ni HAPANA ila ukweli ni kwamba Kitima...
8 Reactions
16 Replies
458 Views
Back
Top Bottom