Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Askofu Bethania Mpembwa wa Kanisa la Neema ya Kitume Tanzania, ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati ya Amani Mkoa wa Dar es Salaam, amesema kuwa Vijana wa kizazi cha kuanzia mwaka 2000 (Gen Z) ni...
1 Reactions
9 Replies
201 Views
My people, Kumekuwa bado na mijadala ya hapa na pale kuhusiana na je Tanzania kuna amani? Na wengine wakisema hakuna haki au wanasema haki kwanza,au amani ni tunda la haki Haki huja baada ya...
3 Reactions
42 Replies
587 Views
We huoni aibu watu duniani kote wanakunyooshea vidole kwa mauwaji, utekaji na utapeli wa haki za watanzania kwasababu hili suala ni ujinga
2 Reactions
22 Replies
372 Views
𝗭𝗜𝗔𝗥𝗔 𝗬𝗔 𝗞𝗜𝗞𝗔𝗭𝗜 Pwani na Dar es Salaam Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. 📆 Jumatatu - Desemba 29, 2025. 🕰️ Kuanzia Saa 3 Asubuhi. Lengo la Ziara: 1...
0 Reactions
6 Replies
441 Views
Mpaka sasa Mpina ameshakosa sifa ya kugombea urais. Ushauri , Kama anaweza aende kisesa akagombee ubunge . Ila naona wazi Chaumma wanaenda kuwa Chama kikuu cha upinzani.
0 Reactions
13 Replies
784 Views
GT Sikiliza mwenyewe inasikitisha sana. Mwanaume ananaingizwa chupa hii serikali ya samia ni ya kishetani. Na hao wanaoitetea ni vichaa wasanii wana haki ya kutengwa kabisa.
3 Reactions
25 Replies
568 Views
Huu ni WITO kwa kiongozi mkubwa wa chama Cha upinzani nchini Tanzania. TAFADHALI zungumza na WENZAKO kitaifa.uwape ramani mnaelekea wapi? For 2026?
0 Reactions
8 Replies
274 Views
Askofu Mkuu wa Kanisa la Menonite Tanzania, Askofu Nelson Kisare, ameishauri Serikali pamoja na viongozi wa dini kuweka mifumo bora ya kuwasikiliza Vijana na kuwapa nafasi ya kutoa maoni yao...
0 Reactions
5 Replies
229 Views
Waheshimiwa maaskofu tumechoka na siasa zenu, tumekuja kusali hatuna Raha hatupati baraka zozote za kimungu mpaka natamani nikawashe TV nisali na mtumishi wa Mungu Mwamposa. Kama yupo Askofu wa...
8 Reactions
124 Replies
2K Views
Tumeshuhudia kiongozi wa TEC akimfokea kwa ukali mkatoliki mwenzetu aliyemshitaki kitima kwa Papa Italy, zile kauli zimetushitua sana sisi waumini hatukutegemea kauli Kali kama zile ndani ya...
2 Reactions
172 Replies
2K Views
Hili swali linapaswa kujibiwa na watanzania wote, hivi mnataka siasa za aina gani? Mnataka siasa za kistaarabu zisizo na unafiki na ukali hasa kutoka viongozi wa juu Au mnataka siasa za misifa...
2 Reactions
42 Replies
656 Views
Kwa nini madikteta wengi wanakataa utawala wa sheria na haki za binadamu Madikteta wengi hawafuati utawala wa sheria au kuheshimu haki za binadamu kwa sababu kanuni hizo zinapunguza mamlaka yao na...
1 Reactions
8 Replies
268 Views
Hakuna mtu anayepinga kuwa kulitokea uhalifu kipindi watu wanaukataa utawala wa Rais Samia ile oktoba 29. Lakini swali la msingi je hawa wahalifu walikuwa na siraha za kivita? Shoot to kill...
8 Reactions
30 Replies
543 Views
1. Gwajboy ahojiwe kwa sababu aliyaona yaliyotokea kabla ya uchaguzi na kusema yote baadae yakatokea na yalianzia karibu na KANISA lake hawezi kwepa lazima aseme aliyaona kwa jicho la kichungaji...
0 Reactions
2 Replies
189 Views
Ukisikiliza viongozi wa serikali kila kona ya nchi wanahubiri amani lakini neno haki halipo mdomoni mwao. Mimi najiuliza mbona hawakemei utekaji na bado unaendelea ? Waziri wa mambo ya ndani...
0 Reactions
0 Replies
148 Views
Tukubaliane maandamano ya October 29, siku ambayo CCM ilishinda kwa asilimia 98% ya uchaguzi huru na haki hayakuongozwa na chama chochote kile cha siasa ilo tukubaliane. Kama hivyo ndivyo ilivyo...
1 Reactions
0 Replies
162 Views
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa akizungunza na wakazi wa Igunga, Tabora. "Tumeendelea kuimarisha sekta ya elimu, Muheshimiwa mbunge ulisema unahitaji VETA tumeleta...
16 Reactions
625 Replies
29K Views
Lisu kazuiliwa na gereza na analindwa na askari magereza tu ili asije akachoropoka. Umma na dunia yote wako naye kwa sala na maombi. Tuzo na nyadhifa zinamfuata huko huko gerezani. Kuta za gereza...
43 Reactions
43 Replies
1K Views
Yaani huu ndiyo ukweli wenyewe tusitegemee kama tutakuja kupata maendeleo chini ya Serikali ya CCM. Wanachopigania wao ni kuendelea kubaki madarakani lakini siyo kuiona inchi inapata maendeleo...
7 Reactions
18 Replies
269 Views
. Hawa mnaowaona hapa ni Watanzania wenzetu ambao wamepata madhira mbalimbali. Picha ya Kwanza anaitwa Kuringe Sawere huyu alitekwa na Maofisa wa Polisi Disemba 4, 2025 baada ya wiki mbili...
6 Reactions
13 Replies
423 Views
Back
Top Bottom