Kwanini wanaharakati wanajali usalama wao bila kuthamini usalama wetu?

Gengis Khan wa Jf

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2024
Posts
1,311
Reaction score
3,344
Maria Sarungi kajificha nje ya nchi hakuna hata kwenye Msiba wa baba yake kwa kuhofia usalama wake ?

Mange Kimambi hawezi kuja Tz hata kwa dawa kwa kuhofia usalama wake punde tu atakapo kanyanga ardhi hii. Sababu ya kulinda usalama wake

Sativa baada ya kutekwa na kupata kipondo hakubaki kupambana na sisi mpaka tone la mwisho kakimbia na hawezi kuja ili kulinda usalama wake

Maswali yangu .

Washaona yaliyotokea October 29 hakuna usalama kwa Waandamanaji Kwa Nini wanatuchochea tutoke wakati wanajua fika polisi hawana huruma ? kwa nini wasitushauri tulinde usalama wetu mazingira sio rafiki kama walivyofanya wao ?

Kama ni ushujaa kufa kupambania nchi kama wanavyowaita waliowawa October 29 ni mashujaa , kwa nini na wao wasiwe mashujaa kufia vitani katika mapambano badala yake wamekimbia kulinda uhai na usalama wao ?

Kama wanasema wakirudi watakamtwa na kuuwawa , je Waandamanaji wakitoka front wanapewa maperege na pilau wale si wakiingia front ni vyuma kufa ,kujeruhiwa au kukamatwa jela ? sasa kwa nini wao wajijali na kutaka sisi tutoke tu bila plan B kimbuzi bila kufikiri ?

Kama wao walipoona Magumu na hawawezi kutoboa wataangamia wakaamua kujiokoa kwa Nini kwetu sisi hawaoni hilo wanatuamrisha tuingie tu kama Nyumbuz ?
wildebeest-zebras-Serengeti-migration-safari.jpg

images (42).jpeg
 
hawawezi kuzingatia usalama wa malofa wa kifikra hata siku moja

zawadi yao kubwa kwa wahanga wanao wabeba ufala wa kifikra ni kuwaposti mitandaoni wakiwa wameumizwa au ku R.I.P:NoGodNo:
 
Maria Sarungi kajificha nje ya nchi hakuna hata kwenye Msiba wa baba yake kwa kuhofia usalama wake ?

Mange Kimambi hawezi kuja Tz hata kwa dawa kwa kuhofia usalama wake punde tu atakapo kanyanga ardhi hii. Sababu ya kulinda usalama wake

Sativa baada ya kutekwa na kupata kipondo hakubaki kupambana na sisi mpaka tone la mwisho kakimbia na hawezi kuja ili kulinda usalama wake

Maswali yangu .

Washaona yaliyotokea October 29 hakuna usalama kwa Waandamanaji Kwa Nini wanatuchochea tutoke wakati wanajua fika polisi hawana huruma ? kwa nini wasitushauri tulinde usalama wetu mazingira sio rafiki kama walivyofanya wao ?

Kama ni ushujaa kufa kupambania nchi kama wanavyowaita waliowawa October 29 ni mashujaa , kwa nini na wao wasiwe mashujaa kufia vitani katika mapambano badala yake wamekimbia kulinda uhai na usalama wao ?

Kama wanasema wakirudi watakamtwa na kuuwawa , je Waandamanaji wakitoka front wanapewa maperege na pilau wale si wakiingia front ni vyuma kufa ,kujeruhiwa au kukamatwa jela ? sasa kwa nini wao wajijali na kutaka sisi tutoke tu bila plan B kimbuzi bila kufikiri ?

Kama wao walipoona Magumu na hawawezi kutoboa wataangamia wakaamua kujiokoa kwa Nini kwetu sisi hawaoni hilo wanatuamrisha tuingie tu kama Nyumbuz ?View attachment 3516307

View attachment 3516306
Kwani Wanaojali usalama wetu ni hili genge la watekaji wauji lililopora mamlaka ya wananchi ???

Kwa hiyo baada ya kuua wanaodai haki ndani ya nchi hamjaridhika mnataka na wale wanaodai nje nchi Ili muwaue ??

Ni aibu serikali nzima inaacha kushughulikia na masuala ya msingi inapambana na Mange

Yule mjinga wa Sheria anaacha kudeal na mikataba mibobu ya nchi anapmbana na.mangi
 
Jiulize kwanini hapa tz kulikuwa na kambi za wapigania uhuru kutoka mataifa mbalimbali ya afrika. Kwanini nyerere hakuwarudisha makwao...
Kambi maana team yenye mipango madhubuti na wanapigania vita kwa akili wakiwa na vifaa na sapoti kubwa
 
Kwani Wanaojali usalama wetu ni hili genge la watekaji wauji lililopora mamlaka ya wananchi ???

Kwa hiyo baada ya kuua wanaodai haki ndani ya nchi hamjaridhika mnataka na wale wanaodai nje nchi Ili muwaue ??

Ni aibu serikali nzima inaacha kushughulikia na masuala ya msingi inapambana na Mange

Yule mjinga wa Sheria anaacha kudeal na mikataba mibobu ya nchi anapmbana na.mangi
Mimi sijatetea genge lolote wala serikali.

Point yangu ni kama wao wanajua umuhimu wa maisha na usalama wao kwa nini wasitushauri na sisi tulinde usalama wetu tusiende front kama Nyumbuz ?

Mange aliamisha Waandamanaji Kuwa polisi na Jeshi wapo nyuma yao matokeo yake Waandamanaji wakatoka kindezi kwa kujiamini, sasa si Bora angewapanga kabisa kuwa msiende na matumaini hewa ambayo yaliwacost wengi ?
 
Umewahi kujiuliza pia ni kwanini viongozi/watawala wa Tanzania wanajali maisha yao kuliko maisha ya watanzania wanaowatawala?

​
Nimewahi , nikapata jibu sababu sisi wengi ni wajinga halafu tupo kama wao wengi wetu ni wezi , mafisadi na wadhulumati ila hatujapata vitengo Serikalini.

Nimeshuhudia masikini kwa masikini tunadhulumiana kwenye biashara , pesa au mtu akipata hata kimradi kidogo na nafasi ya kusimamia kazi akipata upenyo kidogo anapiga.

Hii inchi imenichosha kuanzia viongozi wake na watu wake ndio maana nataka niondoke bongo maana naona hakuna kitakachobadilika ni uozo mtupu.
 
Ila popoma unaamua kuji tag IDs zako
Mkuu mimi sio Popoma , nilikuwa na gia ya kumsifia Popoma ili watu wasije kuhisi Mimi ni nani na wasifikirie nje ya boksi .

Nikajua mtu rahisi kudhaniwa kuwa ana jisifia mwenyewe ni Popoma hapo simple nikapoteza watu maboya nikawaacha uninio beach .
 
Wewe ni nani?
 
Back
Top Bottom