Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mzee huyu amewahi kuwa Makamu wa Rais na Waziri Mkuu kwa nyakati tofauti. Mzee huyu alikuwa kiongozi wa ngazi ya juu wakati watanzania wanaandika Katiba hii ya sasa na hata wakati wanaifanyia...
0 Reactions
65 Replies
3K Views
Ndugu Watanzania naomba tutafakari hii hoja iliyoko kwenye swali, nani hasa kwa sasa anaongoza nchi yetu? Kwa nini nimeleta hii hoja? Nina sababu kadhaa ambazo nitazitanabaisha hapa chini: 1...
10 Reactions
14 Replies
562 Views
Kwa kauli hii, ni dalili karma imeanza kukutafuna. Soma hapo kwenye box. Mazombi kama kawaida wanaenda kuwateka huo ukoo
1 Reactions
11 Replies
458 Views
Kwa Huu Utekaji na Mauaji yanayoendelea Nchini . Lazima utakubaliana namm kwamba, Mauaji ya Raia Okt 29, yalikua yamepangwa tu yaan ilikua lazima Samia apachikwe Urais. Akina nani hawa walioko...
2 Reactions
19 Replies
459 Views
Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji wa Rufaa Mhe. Jacobs Mwambegele, leo Desemba 29, 2025 ametoa taarifa kuhusu uchaguzi mdogo wa ubunge unaotarajiwa kufanyika Desemba 30, 2025...
0 Reactions
1 Replies
168 Views
Ndivyo ulivyo utawala wa sasa. Kila mzalendo. Kila mtu asiye chawa wao. Kila mwenye fikra huru na mitazamo tofauti. Kila asiye mwanaCCM. Kila Mtanganyika. Kila mwenye uthubutu wa kuhoji....Kwao ni...
0 Reactions
16 Replies
224 Views
Masikini wangezidi kua Masikini, Matajiri wangezidi kua Matajiri Shughuli za Kisiasa zingepigwa Marufuku baada ya Uhapisho wake . Rasilimali za Nchi zingesombwa Kwa Kasi ya Hypersonic ...
0 Reactions
7 Replies
610 Views
Sikio la Kufa halisikii Dawa !!. Hawa Wapumbavu wanadhani Mbinu zao zitawasaidia , Hawajui, hawajui kua mambo yamebadilika sana. Kwani Vijana ,situmekufa?? Situmeuliwa ?. Hata hili pia Muwe...
3 Reactions
12 Replies
744 Views
Mh. Waziri, Soma mkasa huu kwa makini na uweze kujua haswa watanzania wanataka Nini kuliko kuanza kuwahubiria kuhusu maboresho mnayotaka muyafanye kwa Jeshi la Polisi. Mnamo tarehe 29 Oktoba -...
11 Reactions
28 Replies
948 Views
Just because I feel My hero, mwamba
22 Reactions
86 Replies
2K Views
Baada ya samia kumaliza mda wake, CCM itakuja na projects mpya kidogo za kiuchumi lakini hazitaanza mda huo huo, kipindi cha miaka 4 ya kwanza ya raisi atakaechaguliwa mda huo basi serikali...
2 Reactions
38 Replies
594 Views
𝗨𝗔𝗘 𝗣𝗿𝗲𝘀𝗶𝗱𝗲𝗻𝘁 𝗿𝗲𝗰𝗲𝗶𝘃𝗲𝘀 𝘄𝗿𝗶𝘁𝘁𝗲𝗻 𝗺𝗲𝘀𝘀𝗮𝗴𝗲 𝗳𝗿𝗼𝗺 𝗣𝗿𝗲𝘀𝗶𝗱𝗲𝗻𝘁 𝗼𝗳 𝗧𝗮𝗻𝘇𝗮𝗻𝗶𝗮 President His Highness Sheikh Mohamed bin Zayed Al Nahyan has received a written message from President of the United Republic of...
1 Reactions
12 Replies
639 Views
Shalom Makamanda Nimepata taarifa kutoka control centre ya Gen Z ni kwamba January mosi tunatoka makamanda tutoke kwa wingi. #SamiaMustGo😂😂😂
1 Reactions
11 Replies
309 Views
Kennedy Mwamlima anasema alivyotekwa Mbeya mwezi April 2024, watekaji walimfunga pingu na kumvalisha mzula usoni ili asione lakini mzula huo ulikuwa unaangaza. Anadai gari hilo lilikuwa...
10 Reactions
29 Replies
2K Views
𝙈𝘼𝙅𝘼𝙎𝙐𝙎𝙄 𝙒𝘼 𝙍𝙒𝘼𝙉𝘿𝘼 𝙆𝙐𝙄𝙉𝙂𝙄𝘼 𝙉𝘾𝙃𝙄𝙉𝙄 𝙉𝘼 𝙆𝙐𝙈𝙏𝙀𝙆𝘼 𝙋𝙖𝙪𝙡 𝙈𝙖𝙣𝙯𝙞 𝘽𝙮𝙖𝙗𝙖𝙜𝙖𝙢𝙗𝙖 𝙍𝘼𝙄𝘼 𝙒𝘼 𝙍𝙒𝘼𝙉𝘿𝘼 𝘼𝙇𝙄𝙔𝙀𝙆𝙐𝙒𝘼 𝘼𝙉𝘼𝙄𝙎𝙃𝙄 𝙉𝘾𝙃𝙄 𝘽𝘼𝘼𝘿𝘼 𝙔𝘼 𝙆𝙐𝙋𝘼𝙏𝘼 𝙃𝙄𝙁𝘼𝘿𝙃𝙄 𝙔𝘼 𝙐𝙆𝙄𝙈𝘽𝙄𝙕𝙄 𝙒𝘼 𝙆𝙄𝙎𝙄𝘼𝙎𝘼 𝙉𝙄 𝙐𝙕𝙀𝙈𝘽𝙀 𝙒𝘼 𝙑𝙔𝙊𝙈𝘽𝙊 𝙑𝙔𝙀𝙏𝙐 𝙑𝙔𝘼 𝙐𝙇𝙄𝙉𝙕𝙄 𝘼𝙐 𝙆𝙐𝙉𝘼...
53 Reactions
313 Replies
37K Views
Unajua huwa najiuliza na sipati jibu. Hivi inakuwaje mtu unashabikia ccm? Yaani pamoja na mateso yote haya yaliyosababishwa na yanayoendelea kusababishwa na hiki chama inakuwaje kabisa bado...
5 Reactions
29 Replies
495 Views
Tumemmisi walahi. Sio ahutubie mafichoni wala. Siye twataka ajitokeze kama afanyavyo Waziri wake. Nye nye nye tutafurahia nye. Wajua twampenda. Naye ajua. Sasa yanini kumvundika mafichoni Nye...
12 Reactions
28 Replies
914 Views
Mimi kama Mtanzania wa kawaida, ninasema bila woga: mjadala wa “haki” unaoendelea hivi sasa si mjadala wa haki—ni jaribio la makusudi la kuyumbisha misingi ya Taifa kwa kutumia lugha tamu ya...
-2 Reactions
9 Replies
211 Views
Unawezaje kumwambia Rais wa nchi nyingine sababu amewalipua kwa mabomu MAGAIDI kwenye nchi nyingine halafu umuombe msaada kwa mana ya kwamba naye arushe mabomu nchini kwetu Hawa watu ni wazima...
7 Reactions
103 Replies
2K Views
Back
Top Bottom