Wilaya ya rombo ni wilaya iliompakani mwa Kenya na Tanzania iliyo na hali ya hewa nzuri huku ikizungukwa na msitu mnene wa mlima kilimanjaro zao kuu la kibiashara ni ndizi na kahawa japo kahawa...
Mheshimiwa Waziri Mkuu Mstaafu Majaliwa ni kiongozi ndani ya CCM, pia lazima Watanzania wafahamu kuwa katika watu ambao hufanyiwa vetting kubwa kuliko watu wote Tanzania ni Waziri Mkuu kabla...
Leo waislam wameshinda kesi waliofungua dhidi ya BAKWATA kujipa mamlaka ya kuwaongelea waislam na kukwamisha miradi Kwa ukiritimba ati wao ndo watoe vibali Kwa taasisi zingine za kiislam
Shehe...
1. Polisi wafuate sheria kwasasa ndiyo wamekuwa kama serikali. Badalisha wote wa juu leta Polisi ya wananchi. Umeshangaza watu sana kumtoa waziri ambaye angeweza kukusaidia
2. Jeshi kwa jeshi...
Ndugu zangu Watanzania,
Kama Taifa tunachohitaji ni maendeleo pekee na ustawi wa Watanzania na Taifa kwa ujumla wake. Tunachohitaji ni kuona miundombinu ya barabara ikijengwa,huduma bora za afya...
Tafakari kisha chukua hatua.
Mada hii nimeileta ili kuwacheka wapinzani wanaomshangilia Kasimu Majaliwa wakijifariji kuwa Majaliwa kajitenga na CCM ya mafefhuli ..
Majaliwa yupo CCM mpaka umauti...
-Aonaye haambiwi tazama. Baada ya wenzao kudakwa Kenya nikama kikosi cha watekaji na wauwaji wa watanganyika kipo likizo kidogo.
Je hii inaashiria nini?
Je nikwamba wamegundua project imeanza ku...
CCM ni alama ya Utanzania wetu.
CCM ni alama ya uzalendo
CCM ni alama ya Uafrica.
CCM ni maisha yetu ya Kila siku
KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI.
Nyinyi mawakala wa mabeberu mliotelekeza wake zenu...
Tukubaliane Jambo moja la ukweli na uwazi Tanzania haijawai Pata Rais mpika takwimu na kujiaminisha Kama alivyokuwa hayati Magufuli!!
1. Tanzania tuliambiwa makusanyo ya TRA ni 2 Trillion per...
Simulizi la awali la Muhammad kwa mkewe lilikiwa kwamba alipokuwa pangoni Hira, alitokewa na kiumbe wa ajabu ambaye aliamini alikuwa shetani au jini, huyo kiumbe alimwambia asome, akasema yeye...
Mamlaka zitoke ziseme balozi Polepole yuko wapi wana CCM mmekua wanafiki wakupitiliza katibu mwenezi balozi Polepole anapotea kama kuku tuanze na Maridhiano ya ndani ya Chama kwa kutueleza...
Baada ya upotoshaji mwingi wa je ni kweli Bwana Civilian Coin ameachiwa na Mahakama au kamaliza kifungo, meza yetu imepambana mpaka ikapata nyaraka kutoka kwa wadau wetu. Kama hapa zinavyosomeka...
Hii inshu ni halisi wakuu, leo wakati napitia kwenye chombo kimoja cha habari nilikutana na habari ya mkuu wa mkoa wa Dar akitoa taarifa ya zawadi ya IDD ya mama basi nikajaribu kupitia comment...
Hawa BAKWATA Ni nani na walianzishwa na Nani na kwa maslahi ya Nani?
Rwanda wanaonaje mwezi kabla ya Zanzibar?
Uganda, Kenya na Burudi na Kongo Leo ni Idd
Lakini wao wanasema mpaka kesho...
Ndugu zangu Watanzania,
Kwa Hakika Rais Samia Anafanya Kazi ya kitume ,kazi yenye Thawabu mbele za Mwenyezi Mungu,Kazi impendezayo Mwenyezi Mungu,Kazi yenye Kugusa Maisha ya Watu ,kazi yenye...
Haijalishi wananchi wataipenda CCM au wataichukia kama wanavyoichukia sasa ila CHADEMA ndio basi tena imekufa..
Siasa ni mchezo mchafu na CHADEMA wamepigwa kijanja wamezima mazima.
Kwa miongo...
Kwako Mheshimiwa,
Kipenzi cha Watanzania Mkuu wetu wa nchi ikukupendeza Tunaomba utoe neno watanganyika tupone, Jumatatu iwe Sikukuu ya Mapunziko kusherehekea Idd Tatu (3).
Ni Mimi Mtanzania...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.