funaku
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 39,118
- 31,621
Baba yetu uliye mbinguni jina lako litukuzwe ufalme wako ufike utakalo lifanyike duniani kama mbinguni utupe leo mkate wetu wa kila siku utusamehe makosa yetu kama tunavyowasamehe waliotukosea usitutie katika kishawishi lakini utuopoe maovuni Amina.
Hii ni sala muhimu na nzito sana kwa wale waumini wakatoliki...tuisali sana na kuirudia mara nyingi hususani katika nyakati hizi katika nchi yetu.
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Hii ni sala muhimu na nzito sana kwa wale waumini wakatoliki...tuisali sana na kuirudia mara nyingi hususani katika nyakati hizi katika nchi yetu.
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!