Hongereni TRC kwa kuzingatia Usalama wa wasafiri

funaku

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
39,119
Reaction score
31,640
Inajulikana kuwa waovu wanaweza kutumia janga la mvua kuhujumu treni ili kuleta maafa na taharuki.
endeleeni kusimamia weledi wa kazi .
Sio aibu na wala sio ajabu kwa kuhairishwa safari nyakati za majanga ya asili .
Tuendelee kuzilinda roho zenye utu katika safari zenu
 
Whoever installed software in Chawas' brain, did a commendable job.
 
Inajulikana kuwa waovu wanaweza kutumia janga la mvua kuhujumu treni ili kuleta maafa na taharuki.
endeleeni kusimamia weledi wa kazi .
Sio aibu na wala sio ajabu kwa kuhairishwa safari nyakati za majanga ya asili .
Tuendelee kuzilinda roho zenye utu katika safari zenu
Mkuu hivi na wewe una mke au pengine na watoto kabisa? Naomba jibu tafadhali
 
Inajulikana kuwa waovu wanaweza kutumia janga la mvua kuhujumu treni ili kuleta maafa na taharuki.
endeleeni kusimamia weledi wa kazi .
Sio aibu na wala sio ajabu kwa kuhairishwa safari nyakati za majanga ya asili .
Tuendelee kuzilinda roho zenye utu katika safari zenu
Au acha nimalizie hivi: kwa nini mkeo anavumilia kuishi na mwanaume mpumbavu na hasara kwa nchi kama wewe?
 
Back
Top Bottom