Simon Nyakoro Sirro alizaliwa eneo la Kiabakari wilaya ya Butiama mkoani Mara mwaka 1963.
Kuhusu elimu yake, Simon Sirro alisoma Shule ya Sekondari ya Ilboru jijini Arusha na Tosamaganga kabla ya...
Kila naposikiliza au kusoma chambuzi za baadhi ya watu mashuhuri, wanasiasa, wanasheria na baadhi ya wasomi wenye maono chanya katika nchi hii mapigo ya moyo yanaongeza kasi yakiashiria woga wa...
Marehemu Mzee Ndesamburo kama almaarufu kama Ndesa Pesa, ni watu waliojiondoa CCM mara baada ya vyama vingi kuanza rasmi nchini Tanzania, huku akiwa muasisi na mwenyekii wa kwanza wa Chadema mkoa...
Katika hali isiyo ya kawaida Naibu kamanda wa vijana wilaya ya Newala na Ni Afisa elimu wilaya ya Ludewa Haji Mnasi anatajwa sana jimboni kwa Waziri ofisi ya rais utawala bora George mkuchika...
SAKATA LA MADINI:
JE, WATANZANIA TUKO TAYARI KUNYWA SIFONGO?
Katika makala mbili zilizopita, nilimpa kongole Mhe. Rais kwa kutambua kwamba tunaibiwa katika uvunaji wa rasilimali madini. Hili ni...
Makala ya mwisho ya Hayati Dkt Philemon Ndesamburo aliyoiandika akimshauri Rais Magufuli kupunguza ukubwa wa serikali, kabla ya umauti kumfika kwenye gazeti la Rai, Tarehe 25 May, 2017...
Wadau, naomba mwenye uelewa anifafanulie baada ya mh.Rais kutengua uteuzi wa aliyekua waziri wa nishati na madini Prof. Muhongo, nimeona budget ya wizara ya nishati na madini inasomwa na waziri wa...
Kwa kipindi kifupi kilichopita bunge letu lilianza kurudi kwenye misingi ya kizalendo, ila tokea hii budget ya madini ianzwe kusomwa vijembe,majigambo,maneno ya kuudhi,kejeli zimerejea mahali...
Walikuwemo ndani ya bunge wakati mikataba mibovu ya madini ilipopitishwa, na sauti zao za ndiyoooooo zilirekodiwa. Leo eti nao ni watu wa kwanza kumuunga mkono Rais kwa hatua anazozichukua dhidi...
Sheria ya madini walitunga wao na kuipitisha wa kwa wingi wao,Kodi wakachukua wao,Raha wakala wao.
Shida na Hasara ni Taifa Leo hii Eti upinzani Wamehongwa kutetea.kweli Watanzania Hapa kazi tu
Ukifuatilia hoja ya wapinzani wengi katika issue ya mchanga Wa madini ni kuwa eti CCM haina haki yakujifanya inalinda Mali za nchi kwa kigezo kuwa wakati mikataba inapitishwa wabunge Wa CCM...
Takriban miaka mitatu iliyopita tulibahatika kuwa na kambi ya upinzani iliyosheheni watu wenye ueledi na uzalendo mkubwa. Laana ya kula 'matapishi' yao imewafanya watumwa na sasa wamegeuka kuwa...
Kwa kweli sisi wazalendo na wana kindakindaki wa kuutetea mchanga wetu tunawapongeza kwa dhati kabisa wana CCM viongozi kwa kuonyesha kukerwa na kwa kweli wapo tayari kuupigania mchanga kwa jasho...
hatua anazochukua kukomesha rushwa, uzembe, wizi, kunyoosha mifumo ya utendaji serikalini na kupanda upya mbegu ya uzalendo ni mambo ambayo mwalimu Nyerere aliyahubiri sana na kuyasimamia wakati...
Magufuri (JPM) tunaomba report ya Tume ya pili ''Makinikia''ulipokelee ikulu ndogo KAHAMA au GEITA
Shikamoo.
Salute commende in Chief
Tunashukuru kwa taarifa ya tume ya kwanza ya Prof Mrumma...
Aende Kimberly RSA, akaone Maendeleo ya wanao zunguka mgodi wa alimasi. Kimberly ni mji Mdogo kuliko Geita na Mwadui, ingawa wao wanaibiwa lakini wana nafuu kumbwa sana kulinganisha na Watu wanao...
Kwa masikitiko makubwa napenda kuwajulisha kuwa Kongamano la uzinduzi wa kitabu "Sauti ya watetezi wa Haki Vyuoni" kilichoandikwa na kijana Alphonce Lusako, lililokua lifanyike leo katika Hotel ya...
Taarifa ya mwaka 2017 iliyotolewa na Reporters Without Borders(RST) kuhusu World Press Freedom Index inaonyesha Tanzania bado inaongoza katika uhuru wa vyombo vya habari ukilinganisha na nchi...
Mwili wa Mzee Francis Maige Kanyasu alimaarufu kwa jina la Mzee Ngosha ambaye anayetajwa kuwa ni moja wa wachoraji wa nembo ya Taifa aliyefariki tarehe 30 mwezi wa 5 unatarajiwa kusafirishwa leo...
Mzee Francis Kanyasu aliyechora Nembo ya Taifa amefariki dunia usiku wa kuamkia leo akiwa kwenye matibabu Muhimbili Hospital
======
Mzee Francis Kanyasu maarufu kama Ngosha alisikika kwa nguvu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.