gubwe
JF-Expert Member
- Sep 9, 2016
- 299
- 132
Wadau, naomba mwenye uelewa anifafanulie baada ya mh.Rais kutengua uteuzi wa aliyekua waziri wa nishati na madini Prof. Muhongo, nimeona budget ya wizara ya nishati na madini inasomwa na waziri wa viwanda biashara na uwekezaji!
Mh. Charles mwijage na alikua akijibu maswali yote yahusiahayo budget ya wizara hiyoo, ilhali naibu waziri na nishati na madini yupo!! Je naibu waziri hana mamlaka ya kusoma budget ya wizara incase waziri hayupo?? anayefaham naomba anifafanulie!!