Haji Mnasi amkosesha usingizi Mkuchika Newala

Twalb zubeir

Senior Member
Feb 23, 2015
143
51
Katika hali isiyo ya kawaida Naibu kamanda wa vijana wilaya ya Newala na Ni Afisa elimu wilaya ya Ludewa Haji Mnasi anatajwa sana jimboni kwa Waziri ofisi ya rais utawala bora George mkuchika, Hali hiyo inatokana na kiburi na jeuri ya Mkuchika kwa wananchi wa jimbo hilo hivyo vijana na wananchi wamejiandaa kumpokea Haji Mnasi na kumwangusha Mkuchika.
 
Back
Top Bottom