Ukifuatilia hoja ya wapinzani wengi katika issue ya mchanga Wa madini ni kuwa eti CCM haina haki yakujifanya inalinda Mali za nchi kwa kigezo kuwa wakati mikataba inapitishwa wabunge Wa CCM waliitikia ndiyooooo!! Swali LA kwanza wapinzani wana uhakika gani kuwa wabunge wote Wa CCM waliitikia ndiyooo!! Na hata kama waliitikia ndiyooo isiwe hoja!!kwanza kuna wabunge Wa CCM kipindi hicho hawakuwa wabunge hivyo mnawaonea!!
Kwamba Mh Magufuli alikuwepo hiyo siyo hoja!! Mfano ni huu:kule marekani bunge lilipitisha mpango Wa obamacare!! Wabunge Wa Republican walikuwepo na yawezekana kuna wabunge Wa Republican walisapoti mpango huu!! Kama hawakusapoti yawezekana wamenufaika na mpango huu!! Leo rais wao mpya Bwana Donald Trump kafutilia mbali mpango huu? Why? Yawezekana wananchi wameumia kutokana na mpango huu!!
Hakuna MTU ambaye siyo mkosaji!! Kosa ni kuona kosa then usijirekebishe!!Mh Rais kama mwana CCM amegundua makosa Sasa anayarekebisha !! Kosa liko wapi??
Kinafanya vyama vya upinzani kufa mfano NCCR , TLP soon chadema nikutokuona makosa au wakiambiwa makosa hawajirekebishi!! Mfano halisi ni huu: MMM mwanakijiji na Dr Slaa nk waliwambia ukawa kuwa kwa kumfanya Lowasa kuwa mgombea wenu hamtoboi!! Kwani walitoboa?
Good strategy was : Lowasa asiwe mgombea Wa urais then chadema wakishinda angeteuliwa kuwa waziri Mkuu ,Dr slaa rais !! Lakini uchu Wa madaraka uliwaponza!!!