Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kama CCM ilishindwa kutoka madarakani mwaka 2015 , basi msitegemee ikatoka madarakani tena
2 Reactions
7 Replies
107 Views
Mdahalo mkubwa Star TV wakijadili kalamu ya waandishi wa habari, yumo Khalifa Said, Balile na Neville Meena. cc paskali mayalla
2 Reactions
15 Replies
218 Views
Makamanda Shalom! Ni takribani siku 11 sasa taangu siku ambayo kikao cha kamati kuu cha Chama chetu kingetakiwa kukaa sasa mpaka leo hii hatujapewa taarifa kuwa kikao kitafanyika lini au pesa...
3 Reactions
18 Replies
161 Views
Msikilize Mheshimiwà huyu. He is an authority in the field of UCHAWA making a presentation on his convocation day
1 Reactions
1 Replies
89 Views
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Deogratius Ndejembi, amekutana na kufanya mazungumzo na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Mhe. António Guterres, katika Makao Makuu ya Umoja...
0 Reactions
5 Replies
404 Views
Kama mabadiliko yangetokea Oct29 unaowaona kila siku never miss mahakamani kesi ya Lissu miongoni mwao ndio lingetoka baraza la mawaziri la serikali ya mapinduzi. Watizame vizuri usoni!! Ova
1 Reactions
6 Replies
198 Views
WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba ameipongeza Serikali ya Qatar kwa kufanikiwa kuwa na matumizi makubwa ya teknolojia kwenye usafiri wa umma na hasa matumizi ya nishati safi. Ametoa pongezi hizo...
0 Reactions
0 Replies
228 Views
Nashangaa sana watu kujifanya hamnazo kura ya rais inaenda na makamu wake kwa ule ushindi wa kishindo kuchaguliwa na wananchi milioni 31 na kupata 98% tunaweza kusema kwenye huo ushindi wa...
4 Reactions
25 Replies
208 Views
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, CHADEMA, John Heche, akizungumza katika Mahojiano na Bongo FM leo Juni 10, 2026, amejibu kauli ya Mwenezi wa CCM Taifa, Kenani Kihongosi...
4 Reactions
6 Replies
263 Views
Lissu, kwa nyakati tofauti, alikuwa anaeleza mahakamani mambo ambavyo sio ya haki aliokuwa anafanyiwa gerezani Ukonga kama vile kuwekwa pamoja na wafungwa wanaosubiri kunyongwa, kunyimwa privacy...
14 Reactions
23 Replies
301 Views
Mfumo wa majimbo una faida kubwa sana kwa sababu unazipa sehemu mbalimbali mamlaka ya kujisimamia, kufanya maamuzi yanayohusu maeneo yao na kupata viongozi wao Hata hivyo, kuna jambo ambalo...
6 Reactions
62 Replies
727 Views
Guys, the game is planned, baada ya kipindi kifupi atarudishwa kundini, muda si mrefu ataibuka hadharani. Mtashangilia sana kuonekana kwake, ni kweli kule kisiwani hawamtaki ila mabwenyenye wa...
4 Reactions
15 Replies
413 Views
Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Kenani Kihongosi amewataka Watanzania kutokubali kauli zinazowahamasisha kuchukia vyombo vya ulinzi na usalama, akisisitiza umuhimu wa kuwaheshimu...
2 Reactions
7 Replies
247 Views
Karibu Tanzania eti na picha sa Samia badala ya picha za vivutio kama mbuga na sehemu za utalii. Mama hauziki wazungu wengine wakiona picha ya Mama ndiyo hawaji kabisa
2 Reactions
4 Replies
53 Views
Kwa miaka yote tangu Mfumo wa Vyama vingi, CCM wamekua wanaunda Upinzani Uchwara Kila uchao ili kuonekana wanatimiza Matakwa ya Dunia. Hivi mnajua Ushindi wa TUNDU LISSU Ile January 21-22 2025...
1 Reactions
0 Replies
28 Views
Ndugu zangu Watanganyika , Nina wasihi sana kwa Unyenyekevu Mkubwa . Yale Mauaji yà Oktoba 29, HATUPASWI kuyachukulia kama Ajali. Kwa kufanya hivo ni sawa na kusema hatukua na MALENGO YOYOTE ...
4 Reactions
5 Replies
64 Views
Baada ya kuandamwa na tuhuma za ufisadi na matumizi mabaya ya madaraka na rasilimali za chama kwa maslahi yake binafsi na familia yake, Makamu mwenyekiti wa chadema taifa ameendelea kuandamwa na...
4 Reactions
104 Replies
1K Views
Wanabodi, Wengi wetu humu jf, ni watu wa matukio, yaani wanajikita zaidi katika tukio, kilichotokea, ila kuna wachache ni analytical wenye uwezo wa kuchambua, kuchakata na kufanya analysis ya...
64 Reactions
506 Replies
63K Views
Mwanasiasa James Mbatia amesema kuwa kinachozuia kupatikana kwa Katiba Mpya nchini ni kiburi na jeuri cha kundi dogo la watu waliopo madarakani, ambalo limeshindwa kufanya maamuzi kwa zaidi ya...
3 Reactions
5 Replies
121 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…