Nchimbi aomba nguvu ya Umma kupata katiba Mpya

Mwande na Mndewa

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2021
Posts
1,314
Reaction score
3,635
Ndugu Nchimbi kaja kuomba nguvu ya umma isaidie kupatikana kwa Katiba Mpya, hili inamaana viongozi na serikali waeshakwama,

Je ni nani anakataza isipatikane katiba Mpya? Mtu huyu ana nguvu kiasi gani? Hii ni wake up call,Katiba haitopatikana bila mnyukano mkali na mtu huyu asiyependa katiba Mpya ipatikane.
 
Ndugu Nchimbi kaja kuomba nguvu ya umma isaidie kupatikana kwa Katiba Mpya, hili inamaana viongozi na serikali waeshakwama,Je ni nani anakataza isipatikane katiba Mpya? Mtu huyu ana nguvu kiasi gani? Hii ni wake up call,Katiba haitopatikana bila mnyukano mkali na mtu huyu asiyependa katiba Mpya ipatikane.
Screenshot_20251201-222021~2.png
 
Shida nchi imekosa chambo kwa group ndio maana wanatumia watu kuwapa kesi za ugaidi kama walivyo fanya znz.Hi history kuna siku mtaeleza maana znz wanarudisha kuitawala nchi na mtaniambia
 
Andika vitu vinavyoeleweka
 
Kuna mashetani wenye maamuzi ya mwisho na ni unttachable ndani ya dubwana CCM.

Hawa wajinga tukiendelea kuogopa risasi, tusahau kuhusu KATIBA MPYA wala UCHAGUZI uliokuwa fair&transparency.
 
Nchimbi hayupo mwenyewe kwanza tukumbuke alianza kuwatembelea wazee wastafu huko alipata baraka zote juu ya jambo hili wazee wameona mbali tanzania ikiendelea kutumia katiba hii ni ngumu kutoboa, kumbekeni kile alichosema Riziwan juu ya katiba. Wazee wanajaribu kuliokoa taifa hiki Nchimbi katumika kutuma salam zao
 
Shida nchi imekosa chambo kwa group ndio maana wanatumia watu kuwapa kesi za ugaidi kama walivyo fanya znz.Hi history kuna siku mtaeleza maana znz wanarudisha kuitawala nchi na mtaniambia
Ndio uandishi gani huu
 
Nchimbi hayupo mwenyewe kwanza tukumbuke alianza kuwatembelea wazee wastafu huko alipata baraka zote juu ya jambo hili wazee wameona mbali tanzania ikiendelea kutumia katiba hii ni ngumu kutoboa, kumbekeni kile alichosema Riziwan juu ya katiba. Wazee wanajaribu kuliokoa taifa hiki Nchimbi katumika kutuma salam zao
IKIWA ni hivyo itakuwa heri
 
Ndugu Nchimbi kaja kuomba nguvu ya umma isaidie kupatikana kwa Katiba Mpya, hili inamaana viongozi na serikali waeshakwama,

Je ni nani anakataza isipatikane katiba Mpya? Mtu huyu ana nguvu kiasi gani? Hii ni wake up call,Katiba haitopatikana bila mnyukano mkali na mtu huyu asiyependa katiba Mpya ipatikane.
ROSTAM AZIZI NA WAHUNI WENZIE NDIYO SABABU KUU TAIFA KUKWAMA ...HAKUNA KATIBA YA KWELI NA YA HAKI ITSKAYO PATIKANA TANZANIA KAMA HUYU MUHUNI NA MUHALIFU ATAKUWA HAI.
 
Back
Top Bottom