Huu ndiyo Ujumbe wangu kwa Dotto Magari.

Huu ndiyo Ujumbe wangu kwa Dotto Magari.

D

DeletedMember281674

Guest
Ujumbe wangu kwangu Dotto Magari, haya majaribu unayopitia ya kuhusishwa Kwamba umeathirika na Virusi vya UKIMWI ni mpango wa MUNGU ambao amekuandalia katika Maisha yako Kwamba ipo siku haya yatatokea.

Mimi nikushauri Mdogo wangu usikate tamaa ugali wako na familia yako hakuna atakayelisha familia yako bali ni wewe mwenyewe.

Kama umeathirika au haujaathirika, sisi watanzania hayatuhusu. Sisi tupo pamoja na wewe, kwanza hilo jambo ni mambo Binafsi ya mtu na katika familia nyingi za watanzania kwa sasa 99% ya hizo familia lazima Kuna mtu katika familia atakuwa anaishi na Virusi vya UKIMWI au atakuwa alishawahi kuzika Ndugu au jamaa aliyeathirika na UKIMWI.

Hivyo nikutie Moyo Mdogo wangu, wewe pambana na Maisha hayo yaliyoletwa na huyo Kichwa Mviringo ni ya kwake Binafsi, sisi watanzania tuna kukubali Fanya kazi Yako ambayo MUNGU ameshusha juu yako.

Kila la Kheri
 
Acha uongo,hata akifa leo bado familia itaendelea na itakula.
Kifo hakizui watu kuendelea kuishi.
 
Nani kakuambia uzungumze kwa niaba yetu Watanzania wote??
 
Back
Top Bottom