Tundu Lissu na Bwana Jela

Tundu Lissu na Bwana Jela

Girl Poet

Senior Member
Joined
Sep 5, 2025
Posts
134
Reaction score
331
1784758648472.jpeg

Najiuliza tu, what if sinema ya BWANA JELA vs LISSU jana ni mbinu ya Samia na serikali yake kukabiliana na tamko/matakwa ya Jumuiya ya Madola??

Sio siri kwamba hawana uhalali wowote wakumshikilia TAL, lakini pia hawawezi kumuachilia tu just like that. So... pengine wanachofanya ni kutoa mwanya wa kesi yake kutupiliwa mbali "kisheria" 🤔

Pia Soma Kesi ya Lissu: Bwana Jela wa Ukonga, Andrew Ntamamiro akifanyiwa dodoso na Tundu Lissu
 
Mkuu wa gereza anaulizwa maswali ya sheria na Lissu badala ya kujibu kwa hoja, anaanza kujitetea "mimi sio daktari." Hivi kweli huu sio ugonjwa wa kujitakia na ukihiyo wa kiwango cha juu? Wanaadhirika mchana kweupe! 😂
Akisema alete profeshenolizm lazima ataliwa kichwa mapema sana.
Ndio sababu akachagua kujifanya hamnazo
 
Mkuu wa gereza anaulizwa maswali ya sheria na Lissu badala ya kujibu kwa hoja, anaanza kujitetea "mimi sio daktari." Hivi kweli huu sio ugonjwa wa kujitakia na ukihiyo wa kiwango cha juu? Wanaadhirika mchana kweupe! 😂
Kuna sehemu alisema eti "mimi siyo mwanasheria"!! Is it possible kufikia hatua ya kuwa Bwana Jela wa gereza kubwa kama Ukonga halafu huna uelewa wowote ule wa sheria! Kwa hali hii nchi itapiga hatua kweli ya maendeleo!
 
View attachment 3635132

Najiuliza tu, what if sinema ya BWANA JELA vs LISSU jana ni mbinu ya Samia na serikali yake kukabiliana na tamko/matakwa ya Jumuiya ya Madola??

Sio siri kwamba hawana uhalali wowote wakumshikilia TAL, lakini pia hawawezi kumuachilia tu just like that. So... pengine wanachofanya ni kutoa mwanya wa kesi yake kutupiliwa mbali "kisheria" 🤔
Vyovyote vile cha msingi Lissu aachiwe huru as soon as possible. Ni binadamu mwenzetu asiye na hatia. Sio mnyama yule!
 
Nimefurahi kukuona Girl Poet Good observation, serikali na ego za watawala haziwaruhusu kuitupilia mbali hii case bila kupata ground nzuri “zinatakazowakosha” za kufanya hivyo.

Swali hivi hawa watu wanajua implications zinazoweza kuwapata individually?

Hivi hawawezi kushitakiwa mmoja mmoja? Mtu anavunja sheria mahakamani live.

Kumbe anaendesha gereza kwa utashi binafsi.

Nimeamini usi-underestimated nguvu ya mtu mjinga.
 
Thanks binti kiziwi 😊

Nimeamini usi-underestimated nguvu ya mtu mjinga. This is 100% true!!!!

And no, sidhani kama hawa jamaa huwa wanafikiria/jali consequences za chochote kile wanachokifanya, iwe individually au collectively.

Ukiangalia list ya matukio ya hovyo ambayo wamekua wakifanya either ku-divert attention zetu ama kutetea serikali, unaona kabisa wanaamini system itawalinda kwa hali na mali.

Yani ni mwendo wakutumika na mamlaka na kulindwa na mamlaka, so... what's there to worry about?🤷🏾‍♀️
 
Kuna sehemu alisema rti "mimi siyo mwanasheria"!! Is it possible kufikia hatua ya kuwa Bwana Jela wa gereza kubwa kama Ukonga halafu huna uelewa wowote ule wa sheria! Kwa hali hii nchi itapiga hatua kweli ya maendeleo!
Hata hiyo kusema sio mwanasheria haimsaidii hata kidogo.
MAana cheo chake kinamfanya atekeleze sheria, akivunja sheria kitokujua kwake hiyo sheria hakumuondolei kosa.
 
Mkuu wa gereza anaulizwa maswali ya sheria na Lissu badala ya kujibu kwa hoja, anaanza kujitetea "mimi sio daktari." Hivi kweli huu sio ugonjwa wa kujitakia na ukihiyo wa kiwango cha juu? Wanaadhirika mchana kweupe! 😂
jiulize bado Samia demko ni shahidi wake kesi ya uhaini akiitwa kizimbani pata picha hiyo

kwanza sio wajinga haitafika huko
 
Kuna sehemu alisema eti "mimi siyo mwanasheria"!! Is it possible kufikia hatua ya kuwa Bwana Jela wa gereza kubwa kama Ukonga halafu huna uelewa wowote ule wa sheria! Kwa hali hii nchi itapiga hatua kweli ya maendeleo!
Pale juu kuna form four failure 👎
 
Najiuliza tu, what if sinema ya BWANA JELA vs LISSU jana ni mbinu ya Samia na serikali yake kukabiliana na tamko/matakwa ya Jumuiya ya Madola??

Sio siri kwamba hawana uhalali wowote wakumshikilia TAL, lakini pia hawawezi kumuachilia tu just like that. So... pengine wanachofanya ni kutoa mwanya wa kesi yake kutupiliwa mbali "kisheria" 🤔

Pia Soma Kesi ya Lissu: Bwana Jela wa Ukonga, Andrew Ntamamiro akifanyiwa dodoso na Tundu Lissu
Kuna maigizo/ulaghai mwingi sana, kama ilivyo kawaida ya Samia Suluhu Hassan katika kila jambo analofanya.

Hata hiyo picha unayoona hapo, ukiisoma vizuri unaweza kuona kuwa ni ulaghai unatumika.

Ni lini Tundu Lissu kapewa fursa kama hiyo ya kusalimiana na watu wanaokuja mahakamani!
 
Sasa mtu kabakisha miaka mitatu kustaafu anaogopa nini?!
Kwani akina Chande Othman na wenzake wote kwenye Tume ya kusafisha damu ya waTanzania iliyomwagwa hovyo huoni wanavyoendelea kutumika?

Hawa woote, wanayo matumaini kama hayo hayo, ya kuendelea kutupiwa vimifupa vya kulamba baada ya kustaafu.
 
Kweli💯
 
Back
Top Bottom