Peter Madeleka Aondoka Rasmi ACT-Wazalendo

Masai wa Town

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2017
Posts
6,715
Reaction score
24,511
Hii ni Taarifa yake aliyoiposti kwenye ukurasa wake wa X:

"Leo tarehe 26 Julai 2026 mimi PETER MADELEKA natangaza rasmi KUACHANA NA SIASA ZA ACT WAZALENDO.Nafanya hivyo ili nipate MUDA WA KUTOSHA kuungana na WAPENDA HAKI wote katika KUPIGANIA HAKI na USTAWI wa nchi yetu.Tanzania yenye HAKI Inawezekana kama kila mtu ATATIMIZA WAJIBU WAKE."
 
Attachments

  • HOKD1leW8AAMrLO.jpg
    HOKD1leW8AAMrLO.jpg
    54 KB · Views: 8
Karibu CCM Wakili Msomi na Mkaguzi wa Polisi Petter Madereka
 
Leo tarehe 26 Julai 2026 mimi PETER MADELEKA natangaza rasmi KUACHANA NA SIASA ZA ACT WAZALENDO.Nafanya hivyo ili nipate MUDA WA KUTOSHA kuungana na WAPENDA HAKI wote katika KUPIGANIA HAKI na USTAWI wa nchi yetu.Tanzania yenye HAKI Inawezekana kama kila mtu ATATIMIZA WAJIBU WAKE.
sasa mtu mlevi kama huyu jamani, isingekua rahisi kuvumilia maisha ya kahawa na tangawizi pale ACT wazalendo.

halafu ana uchu na vyeo balaa japo alikimbia utumishi wa umma 🐒
 
Kwa Evarist Chahali insta, nimetoka kusoma comments juu yake....
 
Karibu CCM Wakili Msomi na Mkaguzi wa Polisi Petter Madereka
Mwenzako anakuambia, “…Nafanya hivyo ili nipate MUDA WA KUTOSHA kuungana na WAPENDA HAKI wote katika KUPIGANIA HAKI na USTAWI wa nchi yetu…” wewe unamkaribisha kwenye genge la majambazi kabisa! Si afadhali angebaki kwa wachumia tumbo?
 
Hii ni Taarifa yake aliyoiposti kwenye ukurasa wake wa X:

"Leo tarehe 26 Julai 2026 mimi PETER MADELEKA natangaza rasmi KUACHANA NA SIASA ZA ACT WAZALENDO.Nafanya hivyo ili nipate MUDA WA KUTOSHA kuungana na WAPENDA HAKI wote katika KUPIGANIA HAKI na USTAWI wa nchi yetu.Tanzania yenye HAKI Inawezekana kama kila mtu ATATIMIZA WAJIBU WAKE."
Nafanya hivyo ili nipate MUDA WA KUTOSHA kuungana na WAPENDA HAKI wote katika KUPIGANIA HAKI na USTAWI wa nchi yetu.Tanzania yenye HAKI Inawezekana kama kila mtu ATATIMIZA WAJIBU WAKE."
 
Hii ni Taarifa yake aliyoiposti kwenye ukurasa wake wa X:

"Leo tarehe 26 Julai 2026 mimi PETER MADELEKA natangaza rasmi KUACHANA NA SIASA ZA ACT WAZALENDO.Nafanya hivyo ili nipate MUDA WA KUTOSHA kuungana na WAPENDA HAKI wote katika KUPIGANIA HAKI na USTAWI wa nchi yetu.Tanzania yenye HAKI Inawezekana kama kila mtu ATATIMIZA WAJIBU WAKE."
Wanasiasa wengi watz wanawafanya watz kama ngazi ya kujitafutia maisha yao.
 
Hii ni Taarifa yake aliyoiposti kwenye ukurasa wake wa X:

"Leo tarehe 26 Julai 2026 mimi PETER MADELEKA natangaza rasmi KUACHANA NA SIASA ZA ACT WAZALENDO.Nafanya hivyo ili nipate MUDA WA KUTOSHA kuungana na WAPENDA HAKI wote katika KUPIGANIA HAKI na USTAWI wa nchi yetu.Tanzania yenye HAKI Inawezekana kama kila mtu ATATIMIZA WAJIBU WAKE."
Wafadhili wake wa Ufaransa alipoenda na Mke wake Mwanzoni mwa Mwezi huu wa Julai, 2026 walimwambia hawatatoa kufadhili kwa Pesa kwa mtu anayejuhusisha na masuala ya kisiasa

Lazima apige uanasiasa ili apige hela za wafadhili maana akibaki huko hapati msaada wa kifedha.

Ova
 
Hii ni Taarifa yake aliyoiposti kwenye ukurasa wake wa X:

"Leo tarehe 26 Julai 2026 mimi PETER MADELEKA natangaza rasmi KUACHANA NA SIASA ZA ACT WAZALENDO.Nafanya hivyo ili nipate MUDA WA KUTOSHA kuungana na WAPENDA HAKI wote katika KUPIGANIA HAKI na USTAWI wa nchi yetu.Tanzania yenye HAKI Inawezekana kama kila mtu ATATIMIZA WAJIBU WAKE."
Huyo ni malaya tu, kwanza hana mvuto ht aende wapi yawezi kukubalika
 
Back
Top Bottom