Wanabodi
Hii ni makala yangu ya Salaam zangu za Krismasi kwenye gazeti la Mwananchi.
Leo ni Sikukuu ya Krisimasi, Watanzania tunajiunga na watu wengine duniani, kuadhimisha sikukuu hii ya...
Wanaukumbi,
Kuanzia leo Jumatano, 28 Septemba
Mwananchi limeanza "series" zangu na
za waandishi wengine kuhusu Miaka
50 ya Uhuru wa Tanganyika.
Tusomeni kwa furaha.
Mohamed Said...
Rais aliyeapishwa na jeshi lililomsaidia kuiba kura, ndiye aliyetoa amri kutangazwa kwa hali ya hatari iliyopelekea mauaji ya raia zaidi ya 10,000. Ameunda tume anayoìtuma kuchunguza mauaji hayo...
Tangu tupate uhuru, Tanzania imeongozwa na viongozi sita toka dini kuu mbili za kikoloni yaani Ukristo na Uislam. Watatu walikuwa Wakristo yaani JK Nyerere, Ben Mkapa na JP Magufuli ilhali...
Rais wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania , TEC, Askofu Wolfgang Pisa
Muhtasari wa habari
Kibwagizo cha ujumbe wa Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) katika Sala na Mafungo ya kuombea haki na...
GT
History ipo wazi kabisa siasa na dini huwezi kuvitenganisha. Kama Martin Luther JR angekuwa na akili kama za Alhaji Malasusa sidhani kama wamarekani weusi wangepata haki zao mapema.
KKKT ya...
Vita hupiganwa kwa njia nyingi, na leo mmeona jinsi ambavyo plan za Maandamano zilivyokuwa strategically planned and executed.
Hali hii inakuja kwenye kila kitu cha Serikali ya CCM hadi wananchi...
Habari kutoka Kalenga zinasema leo asubuhi vijana wa ccm maarufu kama Green Guard wakiongozwa na katibu wa ccm jimbo la Kalenga wamevamia nyumba za Masista (Hizo ni hostel za masista ambazo kila...
1. Padri Elipidius Rwegoshora wa Bukoba kashiriki kumuua Albino, Padri Charles Kitima hajamuona ila anaona Wamasai Ngorongoro.
2. Padri Bunda anaibia masista wa raia wa Kihispania kwenda kufungua...
Watawa wa Shirika la Masista wa Afrika wa Benedektina Bikra Maria Msaada wa Kristo Ndanda wamesema wanamuunga mkono Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuwa...
Kanisa katoliki nchini limeweka marufuku kwa watawa wa kike na kiume na kiongozi yeyote wa kanisa katoliki kujihusisha na kampeni za siasa au kutambulishwa na chama chochote cha kisiasa kama...
Hii ni thread muhimu ya Mambo muhimu ya kumdai mgombea Urais kupitia CCM tunapoelekea kufanya uchaguzi oktoba 29.
Katika thread hii tuweke bila aibu ni mambo gani muhimu anatakiwa atimize iwapo...
Hadi leo jawabu sina ndiyo maana naleta sumbuko hilo kwenu.
Kulikuwa na sababu gani hasa kwa ndg yetu huyo kuruka masharti ya dhamana?!
Kwa nini hakuwa makini km mtu ambaye alitambua wazi kwamba...
Naomba niseme wazi,
Sishabikii Kifo Cha Rais wetu Mzilankende, Ta Mwami Magufuli Joseph pombe na haitokaa itokee nishabikie kamwe, niseme pia sitokaa nimwombee Kwa Mungu eti amweke Pahala pema...
Salaam, Shalom.
Katika Unabii wa mwaka 2024, Nabii Sanga ametoa ujumbe Kwa Watanzania kuingia katika maombi kukiombea chama tawala CCM, amesema ameambiwa kuwa mwaka huu 2024 kutakuwa na...
✓Ni ajabu lakini ni kweli kuwa ndugu huyu ambaye amewahi kuwa RC maarufu sana enzi zile wa mkoa wenye watu wengi zaidi Tanzania yaani DSM analalamika kuwa anawindwa na kundi la watu ili wamuue...