Kwa Watanzani wenye mapenzi mema na nchi hii, habari kwamba rais Kikwete amekubali kuandikwa katiba mpya, hizi ni habari njema!!!
Ila, kama ana utashi wa kweli wa kisiasa juu ya jambo hili...
Katika kile kinachoonekana kujibu mapigo ya maaskofu wa kanisa lile walioamua kuwa wanasiasa,askofu dkt malasusa amesema kuna watu hawapendezwi na jamii kukaa kwa amani
Wale wa kanisa lile...
Kwamba huyu ndiye Spika wa Bunge la Tanzania, basi tumekwisha.
Bunge litakuwa mwangwi tu wa kile serikali ya Mama Samia inataka.
Bunge halijalaani matukio ya mauaji ya Oktoba 29.
Huyu Azzan Musa...
Ndugu Zangu Watanzania,
Wakristo Mbalimbali Wamekesha na kushinda Makanisani Wakimuombea Heri Rais wetu Mpendwa Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. Ambapo waumini hao ambao...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene ameweka wazi maelekezo aliyoagizwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ambayo yanaenda kugusa jeshi la polisi nchini.
Mabadiliko makubwa...
Viongozi wa serikali kila kona ya nchi hususani waziri mkuu anahimiza amani najiuliza hiyo amani inapatikanaje huku watu wanachukuliwa na kupotea kusopojulikana?
Kiongozi unaongelea rasilimali...
Simba chawene na matangazo ya kubadili Jeshi la POLISI liwe Jeshi la huduma, Badala ya keshi la vulumai, swali fikirishi nani anae toa amri JESHI liwe hivyo?
Tumekubali Jeshi letu limetumiwa kama...
Rais Samia, Kwanini Masheikh wa awamu ya sita wanatukataza kushiriki Vyakula vya Christmas?
Watanzania hatujazoea. Na rais ni mtu wa. Dini zote. Mbona hukemei?
Rais ni wa wote, haijalishi...
Chadema ndicho chama pekee kikubwa kuliko vyote ambacho kina support ya wananchi kwa mapemzi ya kutoka moyoni.
CCM iko kwa sababu ya polisi ma watu kutafuta RIZIKI. CCM ikitoka madarakani...
Naona siasa za HOJA Kama either zimekufa au watu wameacha kabisa kupambana na tatizo Ila wanapambana na MTU aliyeibua tatizo inafikirisha
KITENDO CHA WATU KUTUKANA MATUSI NI ISHARA KUWA UWEZO WA...
Kwa kuwa tumewataka waliosmamia na kupitisha Uchaguzi.
Huu watubu kwa Nini tusiwatenge wakina nchimbi na viongozi wote wanao tokana na uchaguzi wa Oktoba
"Siku zote katika chama cha siasa tarajia kuwa na watu wenye hoja mbadala zenye nguvu, kutakuwa na watu wenye utofauti katika kuwasilisha hoja zao, kutakuwa na wenye kupinga kabisa mawazo ya chama...
Bila shaka humu Kuna watumishi wa Mungu.
Mtumishi wa Mungu ukiwa kanisani ongea kile ulichofunuliwa na Mungu acha kujitengenezea agenda zako za kisiasa unatukera sana, kwasababu huna uwezo wa...
Katika ule mgomo mkubwa ya UDSM wa mwaka 1989, serikali pia ilitumia mbinu hiyo hiyo ya kuwateka viongozi wa DARUSO marehemu Ludovick Bazigiza na marehemu Matiko Matare.
Ni rahisi kukosoa ukiwa...
Mange atakuja kuwa mtu mkubwa sana na kusomwa habari zake kwenye Tanzania ya kesho kutokana na mapigano yake dhidi ya wauwaji na watekaji.
Mange anapigana na watekaji na wauwaji ambao wanaharibu...
Narejea kusisitiza kwamba, CCM ndiyo watakaosababisha vita ya wenyewe kwa wenyewe Tanzania
Kitendo cha Hangaya kutangaza 2024 kuwa vyombo vyote vya ulinzi na usalama kujiandaa kijeshi kwa ajili...
Namuona Mungu akinena ndani ya kinywa cha mtumishi wake Dr. Malasusa, hakika nimeponywa nafsi nimeuona utume wa Mungu ndani ya Malasusa.
Ee! Mungu wetu Asante kwa kutuletea mtumishi huyu...
Baba Mtakatifu,
Ninaandika kwa dharura kutoka Tanzania, nchi ambayo historia yake imesimama kama mfano wa kuvutia wa mshikamano wa kidini. Zaidi ya miongo sita, Wakristo na Waislamu wameishi kama...
Siku zote namshukuru mungu Kwa vile nilivyo Wala sitamani kuwa yeyote zaidi ya Mimi mwenyewe. Hata kuwa Elon Musk sitamani. Imagine kama UNGETAMANI kuwa kama polepole wa kipindi Cha ma V8 je Leo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.