Upofu wa Padri Kitima unahitaji neema ya Mungu

mapessa

JF-Expert Member
Oct 9, 2014
654
1,158
1. Padri Elipidius Rwegoshora wa Bukoba kashiriki kumuua Albino, Padri Charles Kitima hajamuona ila anaona Wamasai Ngorongoro.

2. Padri Bunda anaibia masista wa raia wa Kihispania kwenda kufungua baa na kamari, ila Padri Charles Kitima haoni kukemea anaona Wamasai Ngorongoro.

3. Padri Stanslaus Sala wa Jimbo la Moshi kalawiti hujamuona ila unaona nchi imekuwa mbaya kuishi.

Huu upofu wako mtumishi wa kanisa ni wa asili, wa ukubwani au wa kuamua au wa kulipiwa? 🤔

23df71b7-755f-41f4-91b8-a85d9c6bb27b.jpeg
 
Jibu hoja zake kwanza. Hayo mambo mengine Kanisa katoliki lina namna ya kuyasolve ndani ya majimbo yao.

Huyu ni katibu wa baraza maaskofu anawakilisha maaskofu Taifa.

Hayo ya mapadre individual ni ya maaskofu wa majimbo husika na wanajua jinsi ya kuyasolve.

Kanisa ni moja takatifu katoliki na mitumee
 
1. Padri Elipidius Rwegoshora wa Bukoba kashiriki kumuua Albino, Padri Charles Kitima hajamuona ila anaona Wamasai Ngorongoro.
2. Padri Bunda anaibia masista wa raia wa Kihispania kwenda kufungua baa na kamari, ila Padri Charles Kitima haoni kukemea anaona Wamasai Ngorongoro.
3. Padri Stanslaus Sala wa Jimbo la Moshi kalawiti hujamuona ila unaona nchi imekuwa mbaya kuishi.

Huu upofu wako mtumishi wa kanisa ni wa asili, wa ukubwani au wa kuamua au wa kulipiwa? 🤔
Angeulizwa hao masuala nadhani angeyatolea majibu.
 
1. Padri Elipidius Rwegoshora wa Bukoba kashiriki kumuua Albino, Padri Charles Kitima hajamuona ila anaona Wamasai Ngorongoro.
2. Padri Bunda anaibia masista wa raia wa Kihispania kwenda kufungua baa na kamari, ila Padri Charles Kitima haoni kukemea anaona Wamasai Ngorongoro.
3. Padri Stanslaus Sala wa Jimbo la Moshi kalawiti hujamuona ila unaona nchi imekuwa mbaya kuishi.sav

Huu upofu wako mtumishi wa kanisa ni wa asili, wa ukubwani au wa kuamua au wa kulipiwa? 🤔
Uliza kama hawajashughulikiwa ipasavyo! Mavi yako unataka kuhalalisha wamasai wahamishwe kutoa nafasi kwa waarabu mliowauzia mbuga kinyemela imekula kizmkaz mwaka huu hatoboi!
 
1. Padri Elipidius Rwegoshora wa Bukoba kashiriki kumuua Albino, Padri Charles Kitima hajamuona ila anaona Wamasai Ngorongoro.
2. Padri Bunda anaibia masista wa raia wa Kihispania kwenda kufungua baa na kamari, ila Padri Charles Kitima haoni kukemea anaona Wamasai Ngorongoro.
3. Padri Stanslaus Sala wa Jimbo la Moshi kalawiti hujamuona ila unaona nchi imekuwa mbaya kuishi.

Huu upofu wako mtumishi wa kanisa ni wa asili, wa ukubwani au wa kuamua au wa kulipiwa? 🤔
Kwa hiyo hayo ndiyo ngao ya ujingaujinga mwingine usisemwe?
 
1. Padri Elipidius Rwegoshora wa Bukoba kashiriki kumuua Albino, Padri Charles Kitima hajamuona ila anaona Wamasai Ngorongoro.
2. Padri Bunda anaibia masista wa raia wa Kihispania kwenda kufungua baa na kamari, ila Padri Charles Kitima haoni kukemea anaona Wamasai Ngorongoro.
3. Padri Stanslaus Sala wa Jimbo la Moshi kalawiti hujamuona ila unaona nchi imekuwa mbaya kuishi.

Huu upofu wako mtumishi wa kanisa ni wa asili, wa ukubwani au wa kuamua au wa kulipiwa? 🤔
Hii ni more of personal attack kuliko collective responsibility, the fact umefanya hivyo means you have no facts.

Hilo suala la kwamba mtu anaiba sadaka na kwenda kujenga kasino, umelifuatilia, umedhibitisha? Au ni story za vijiwe vya kahawa
 
Moja su
1. Padri Elipidius Rwegoshora wa Bukoba kashiriki kumuua Albino, Padri Charles Kitima hajamuona ila anaona Wamasai Ngorongoro.
2. Padri Bunda anaibia masista wa raia wa Kihispania kwenda kufungua baa na kamari, ila Padri Charles Kitima haoni kukemea anaona Wamasai Ngorongoro.
3. Padri Stanslaus Sala wa Jimbo la Moshi kalawiti hujamuona ila unaona nchi imekuwa mbaya kuishi.

Huu upofu wako mtumishi wa kanisa ni wa asili, wa ukubwani au wa kuamua au wa kulipiwa? 🤔
Suala La Padri Sala lilishaisha na hakuwa na kosa hivyo umelikosea kanisa.

Kwa mujibu wa Sheria shauri lililopo mahakamani halipaswi kuzumziwa na yeyote. Hivyo suala La Padri wa Bukoba na Musoma hawapaswi kuzungumziwa. Mamlaka zao za nidhamu(askofu Mahalia) waliwasimamisha huduma ya upadri Hadi kesi zao ziishe.

Padri Kitima ni Mwanasheria kwa taaluma hivyo anayajua hayo yote.

Pia Fr. Kitima ni msemaji wa Baraza la maaskofu kwa ujumla wao hivyo sio mamlaka ya kusema majimbo.

Naona kama kimekuuma sana yeye kusema hivyo alivyosema. Ukiona hivyo wewe ni mnufaika wa maamuzi ya kuhamishwa wamasai.

Fikiria pale kwenu unapopaita nyumbani Leo mnafukuzwa bila fidia bila hata kujua hatma yenu Kisha anapewa mwarabu.
 
1. Padri Elipidius Rwegoshora wa Bukoba kashiriki kumuua Albino, Padri Charles Kitima hajamuona ila anaona Wamasai Ngorongoro.
2. Padri Bunda anaibia masista wa raia wa Kihispania kwenda kufungua baa na kamari, ila Padri Charles Kitima haoni kukemea anaona Wamasai Ngorongoro.
3. Padri Stanslaus Sala wa Jimbo la Moshi kalawiti hujamuona ila unaona nchi imekuwa mbaya kuishi.

Huu upofu wako mtumishi wa kanisa ni wa asili, wa ukubwani au wa kuamua au wa kulipiwa? 🤔
Ndio umejibu hoja?
 
Yani siku taifa likipata viongozi wa dini kama hawa watano tu nchi itarudi kwenye misingi maana moja ya wajibu wa viongozi wa dini ni kukemea, kuonya, na kukosoa inapobidi, maana huwezi kuwa unawaomba waliombee taifa tu wakati taifa linapogawanyika kwa masilahi ya watu wachache wakae kimya tu kisa watumishi wa Mungu, Mungu gani huyo? Na nyie vijana wa namna hii ni bora mkarudi zanzibar kwenu huko walikopitisha sheria ya kuua mila na desturi ya masai ya kutembea na silaa zao za jadi kama culture symbol yao, kuliko kutaka kutuletea machafuko Tanganyika yetu kwa misingi ya uwekezaji haramu usioheshimu uwepo wa rasilimali watu na asili yao, huu ni ukoloni mambo leo unaolenga kunyanyasa tamaduni zenye nguvu zilizobaki afrika na kuendekeza ubaguzi wa kikanda 🚮😏
 
Back
Top Bottom