Hello!
Yaani tunao uzoefu, watu kabisa wanatia kura fake ndani ya masanduku ya kura na wanaonekana wazi wazi, sasa hawa ndio wanaoharibu uchaguzi wa haki.
Sasa wanapita wanasiasa wakitwambia...
Lipo kundi la vijana la propaganda mitandaonu lililotumwa maalum kubeza, kukejeli na kufubaza harakati zote za ukombozi wa Tanganyika zinazoongozwa na Gen Z
Hili ni kundi mchanganyiko lenye uelewa...
Kilichokuwa kiwe uchaguzi mkuu Tanzania kwa mujibu wa katiba yake, kimepita na yaliyotokea sote tunayafahamu!
Bado taifa halijatulia, bado fukuto lipo, la dhuluma, la maumivu, la ukatili mkubwa...
Anaandika Godbless J Lema
TAARIFA ZA UONGO NA MATESO NA MAUAJI YA RAIA.
Mwaka 2011, jijini Arusha, kulitokea sakata zito la mauaji yaliyosababishwa na Polisi kufuatia maandamano ya wananchi...
Nipo Chato naendelea na ziara zangu za KUCHUNGUZA KIINI CHA MAANDAMANO ya tarehe 29 kilikuwa ni Nini nje ya_
1. Ugumu wa maisha kwa vijana
2. Ukiritimba wa serikali na watumishi wao dhidi ya...
Maandamano yaliyopangwa kufanyika nchini Tanzania Siku ya Krismasi hayakufanyika, baada ya wananchi wengi kupuuza wito wa maandamano uliokuwa ukisambazwa mitandaoni na badala yake kuendelea...
Salaam!
Asomaye na afahamu,
1. Mfalme Daudi alipenda sana kumjengea hekalu Mungu Ili Sanduku la AGANO lipate pa kukaa, akasahau kuangalia mikono yake ilivyojaa damu, ombi lake likakataliwa...
Mkurugenzi wa Mawasiliano Kanisa Katoliki jimbo Kuu la Tabora amesema siku ya uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 uliofanyika Oktoba 29 yalifanyika matukio mengi ambayo hayaleti taswira njema kwa taifa...
Kada ya CCM Tarime mkoa wa Mara Zakayo Wangwe aelezea kwa kina hali ya siasa Tarime na changamoto iliyopo ikiwa mbunge wa CCM Waitara atapitishwa kugombea 2025
Kada Zakayo Wangwe amesema kuwa...
Shirika la kimataifa linaloshughulikia haki za binadamu la Amnesty International, limetoa ripoti yake inayothibitisha kwamba, vyombo vya usalama vya Tanzania vilitumia nguvu zisizohitajika au...
Akizungumza kuhusu suala hilo, Warioba amesema tathmini ya matumizi ya nguvu inapaswa kuangaliwa kwa uhalisia, hususan kwa kuzingatia idadi ya vifo vilivyotokea. Ameeleza kuwa maandamano...
Nero Claudius Caesar aliingia madarakani mwaka 54 BK akiwa na umri mdogo sana, takribani miaka 16. Hakuingia kwa bahati mbaya. Mama yake, Agrippina the Younger, alikuwa mwanamke mwenye ushawishi...
Siwezi kuwa mnafiki, ilikuwa juzi majira ya SAA nane na dakika, nikiwa kama abilia ya kutoka Arusha kwenda Moshi.
Uzuri nilikaaa mbele kabisa, nikiwa pale tuliopofika Majani ya chai...
Ndugu wana jamvi, hii ndoto sijui ina maana gani! Nimeota eti watu wengi tuko darasani pamoja na huyo raisi fake. Na alikuwa anawalazimisha wote waliokuwa naye darasani walale usingizi na yeye...
Juzi nilienda kwa Ba MKWE
BAHATI MBAYA ushuzi uliniponyoka Pyuuuuuu!
Niliumia Kuona Baba na Mama MKWE wananyanyuka sebuleni na kwenda nje kujikagua HARUFU ya ushuzi itatokea kwenye nguo za nani...
Nimepokea ujumbe wenu WA kunitaka niwape USHAIDI kama kweli Nini najua kabla na baada ya uchaguzi kilichagiza machafuko?
Kwanza niwambie siji.
Pili niwambie nawajua nyinyi ni watii wake huyu...
WATAWALA WAFANYE MARIADHIANO NA REFORMS KWA FUTURE YAO. VINGINEVYO WANATWANGA MAJI KWENYE KINU.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
1. Fikiria unapigana kufa na kupona kujenga future yako na...
Heri ya Christmas wakuu.
Kuna Flyer nimeiona ya Ndg Nchemba, akitoa salamu za Christmas. Lakini pia anasema "WAMEJIFUNZA". Wamejifunza nini? Imekuwaje wamejifunza?
Kuna line moja ya Tupac...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.