Watawa wa Shirika la Masista wa Afrika wa Benedektina Bikra Maria Msaada wa Kristo Ndanda wamesema wanamuunga mkono Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuwa wana imani na uongozi wake
Wameahidi kuendelea kumuombea Dkt. Samia ili ashinde katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba 29, 2025
Soma pia
Wameahidi kuendelea kumuombea Dkt. Samia ili ashinde katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba 29, 2025
Soma pia
- Kanisa katoliki lapiga marufuku kwa watawa kujihusisha na kampeni za siasa
- Samia afanyiwa dua na sala na Masista wa Ndanda