Mafunzo yote ya Udereva
JF-Expert Member
- Aug 27, 2025
- 595
- 902
Hii ni sahihi?. Kuwavisha wanaCCM mavazi haya ili kupumbaza wananchi?
Hii ni sahihi?. Kuwavisha wanaCCM mavazi haya ili kupumbaza wananchi?
View attachment 3478415
Kanisa limejidhalilisha sana hapo. Sijui hata kwa nini wamefanya hivyo wahuni siyo watu masista wameingizwa mkengeHii ni sahihi?. Kuwavisha wanaCCM mavazi haya ili kupumbaza wananchi?
View attachment 3478415
Ruvuma kuna masista wengi lakini hawajafanya haya maduduHao masista wa ndolo ndanda wengi ni walewale kichwani,Turtizing huwezi kuwakuta hapo
Hiyo taasisi iwapo inahitaji kutajirika wa wadai fidia baada ya kuwafungulia kesi kwenya mahakama ya kimataifa,na fidia yenyewe nawashauri wawe wanalipwa kila mwaka kwa miaka 1000.Wataacha mambo ya mchongo mchongo kuhadaa umma.Hii ni sahihi?. Kuwavisha wanaCCM mavazi haya ili kupumbaza wananchi?
View attachment 3478415
Comedians on the making😂😂😂😂Hii ni sahihi?. Kuwavisha wanaCCM mavazi haya ili kupumbaza wananchi?
View attachment 3478415
Inawezekana waka masista kweli mbona kanisa katoliki mpk sasa hawajasema kwamba siyo masista waoHii ni sahihi?. Kuwavisha wanaCCM mavazi haya ili kupumbaza wananchi?
View attachment 3478415
Walikuwa ni masister kweli na wala siyo uwongo ,ila wamechezewa kinyamazongo na wahuni , yaani walichoitiwa ni tofauti na lengo la wahusika.Inawezekana waka masista kweli mbona kanisa katoliki mpk sasa hawajasema kwamba siyo masista wao