Heri ya Christmas wakuu.
Kuna Flyer nimeiona ya Ndg Nchemba, akitoa salamu za Christmas. Lakini pia anasema "WAMEJIFUNZA". Wamejifunza nini? Imekuwaje wamejifunza?
Kuna line moja ya Tupac...
Samia Suluhu Hassan hana sifa hizo ndiyomaana anapambana kuua watu wenye upeo mkubwa wa akili wanaomwambia ukweli.
"Ni hatari sana kuwa sahihi wakati serikali inakosea" Maxence Melo.
Mh. Juma Awesso, ni miongoni mwa mawaziri wanaopokea sifa nyingi sana kutoka kwa viongozi wenzake, baadhi ya watu maarufu na hata baadhi ya wananchi wa kawaida
Hata hivyo, ukifanya tathimini...
Mzee Warioba ameongea mengi ambayo sasa yamenukuliwa mitandaoni
Aliyoongea CCM ya sasa haina ubavu wa kuyaongea kwa vile sasa CCM si chama cha wananchi, bali viongozi ambao hawafai kuitwa...
Mimi najiuliza hivi ni kweli IGP wambura hana washauli wazuri wakumshauli namna bora ya utendaji kazi wa jeshi la polisi katika kutekeleza majukumu yake zaidi ya haya mambo yanayoendele ya utekaji...
Mmetoa pongezi kwa wananchi kuwa wametunza amani.
Ukweli ni huu: Watu bado wanatafakari the way forward baada ya vifo vya watu 10,000 ( as per current unconfirmed testaments).
As long as...
Hizi nyimbo zina zaidi ya miaka 20, lakini yaliyoimbwa hiyo miaka 20 iliyopita ndiyo tunayaishi leo.
1. Prof. Jay - Nang'atuka
2. Juma Nature - Nini Chanzo
ASANTENI SANA WANANCHI KWA KUENDELEA KUDUMISHA AMANI YA NCHI , HUU SIO USHINDI WA MTU MMOJA NI USHINDI WA TAIFA.
Hii nchi yetu ni, nikama FAMILIA changa ambayo inapambana dhidi ya UMASIKINI...
Kumeibuka na hili jambo watu kulazimisha wenzao kuandamana unakuta li mtu linalaumu wenzie hawajatoka mda huo lipo kitandani Kam kule TikTok mtu kafungua live anawaambia wenzie waandamane lenyewe...
Hivi ni vishindo vya wakoma waliokuwa wanadhani haiwezekani
Tuko chini ya masaa 72 kuelekea kilele cha D9.. Hakuna mjadala mwingine wowote unaowavutia Watanganyika zaidi ya D9.. Iwe mitandaoni au...
MANGE KIMAMBI NA MARIA SARUNGI WAMEHUSIKA KUHUJUMU MAANDAMANO.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
1. Kukosa Uongozi wa Kitaalamu na Kimaadili
Watu wenye tabia ya kuropoka au kutumia lugha ya...
Mkwamo wa Tanzania tangu kuanzishwa kwake umetokana na sababu kuu mbili.
1. Kuwapa kipaumbele zaidi wajinga na ujinga kuliko akili na wenye akili.
2. Rushwa na Ubinafsi.
Kuhusu kuwapa...
Hivi kufungiwa kwa jizi lililokuwa linaiba nauliza za vivuko, linaiba Hela ya matengenezo, ya vivuko, kila siku linaelekeza vivuko vialubiwe Ili liombe malipo hewa Bado tuna liacha Muda wote tangu...
Hivi kipaumbele cha nchi ni kipi?
ni Afya?
ni Elimu?
ni nini hasa?
Mwanza unashuka kwenye Feli kutoka ziwa viktoria tayari upo katikati ya jjiji!
Mwanza wanalia mgao wa maji?
Sio siri jamani...
Jaji Mkuu George Masaju, Desemba 23, 2025, akiwa Mbeya amesema kuwa kuanzia mwezi Februari 2026 Kanda za Mwanza, Mbeya, Arusha na Dar es Salaam zitakuwa na majopo ya majaji 4 kila moja (Dar...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.