VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,140
- 18,004
Mambo haya ni ya 47. Ya kizamani mno. Watu wanabadilika nasi tubadilike. Labda tukapige vijijini. Si Dar es Salaam. Yaani tunategemea nyimbo za TOT ya John Komba kukusanya watu Dar!? Very outdated.
Wananchi wanatudharau. Wanaona tunawaletea laana. Na kuiendeleza. Wanaapa kutuangusha. Wa wapi wale wanamuziki wa kizazi kipya tuwatumiao?
Nyimbo za zamani. Bendi ya zamani. Halafu tunakusanyia watu sasa tena mjini? Shame. Zi wapi bongo fleva na rusharoho? Tubadilike
Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam