Tanzania mabingwa wa kutetea Haki nchi za nie na kulinda Amani. Na Uchaguzi uwe huru, uwazi na haki

lee Vladimir cleef

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
9,152
33,341
Tangu tupate Uhuru na tangu zama za Mwalimu Nyerere Tanzania ilijitoa kupigania Haki kwa nchi zote zilizokua zikionewa hapa duniani.

Sio tu nchi kuonewa bali hata jamii yoyote kuonewa Tanzania iliitetea jamii hiyo.

Sio tu nchi na au jamii, bali pia hata mtu binafsi alipokua akionewa huko kwao Tanzania ilimtetea.

Mifano:
Afrika Kusini tuliwatetetea
Namibia tuliwatetea
Msumbiji
Chama cha Polisario Sahara Magharibi
Palestina
Na kwingineko

Jamii
Tanzania iliitetea jamii zilizokua zikibaguliwa na kuteswa, sehemu mbalimbali.

Watu binafsi
Tanzania iliwahifadhi watu waliochukiwa na watawala Dhalimu huko makwao.
Sam Nujoma - Namibia
Kanyama Chiume - Malawi
Milton Obote - Uganda
Yoweri Museven - Uganda
Paul Kagame - Rwanda
Na wengine wengi.

Kulinda Amani
JWTZ walifanya,wanafana na wataendelea kufanya kazi nzuri sana ya kulinda na kupeleka AMANI kwenye nchi mbalimbali zilizopoteza Amani.
Nchi ambao JWTZ waliweza kulinda Amani Ni
Liberia
Comoro
Shelisheli
Congo
Sudan
Angola
Lebanon
Na nchi nyingine nyingi.

Kusuluhisha migogoro
Kwa miaka mingi Tanzania imekua msuluhiahi wa migogoro kwa nchi za nie.

Hoja
Je, sisi Tanzania amani ikitoweka tuko Tayari nchi rafiki zetu waje kulinda Amani kwetu?
Je, sisi Tanzania tuko Tayari kutendeana Haki sisi kwa sisi ili amani isivunjike?
Je, Kama tulizisaidia na kuzishauri nchi nyingine kutendea haki Raia wake,je na sisi tuko Tayari kutendeana Haki sisi kwa sisi?
Je, na sisi tuko Tayari kusuluhishwa na nchi nyingine ili tutendeane Haki, ili amani yetu isije ikavunjika?

Kwa mfano nchi rafiki na wadau wetu wa maendeleo kama Marekani, ikitushauri tufanye Uchaguzi ulio huru na wa Haki. Je, watakua wameingilia Uhuru wetu?

Je, sisi tunaposuluhishaga nchi zenye migogoro, tuna kuaga tunaingilia Uhuru wao? Ama hua tunapenda waishi kwa amani?
Mfano Marekani na hata na UK na EU wakisema wanapenda uchaguzi uwe wa uwazi huru na wa Haki,watakua wanatupangia?wakati sisi Ni nchi huru?

Je, wakisema watachukua hatua stahiki Haki ikikiukwa katika Uchaguzi watakua wanatutishia na kuingilia Uhuru wetu?

Wakisema kwa mfano kuwa wameona viashiria vya ukiukwaji wa Haki katika Uchaguzi wetu, hivyo kutoa wito kuwa Ni lazima Uchaguzi uwe wa Haki na huru na wa uwazi watakua wanatukosea? Au wanatupangia?

Tujadili.
 
P. Mayala yupo atakujibu
 
Mkuki kwa nguruwe ...!
CCM waliishaandaa majina mazuri mazuri kwa wakosoaji wa nje:
1) Mabeberu!
2) vibaraka wa mabeberu!
.
.
etc.
😅
👊 ✌✌✌💥
 
Back
Top Bottom