Tanzania Elections Watch yaiandikia barua NEC kutokana na kongezeka kwa uvunjifu wa amani

Quinine

JF-Expert Member
Jul 26, 2010
21,271
47,271
BBDF9654-8060-4C6A-B8B0-526757DD1A4F.png
B24416B1-519D-41DB-8679-360C61BE7F24.png
EE27B0BD-C23A-4E28-A8D8-30EB4330E3A0.png
9235EC27-97BA-47C6-8BC1-F9B2FCDFFE59.png
 
... NEC, ZEC, Msajili, na Polisi ndio taasisi vimeo zaidi nchi hii linapokuja suala zima la demokrasia. Ni taasisi zinazotakiwa kufumuliwa na kuundwa upya kabisa siku chama makini kikiingia madarakani. Mahakama nayo ijiangalie.
 
Naona kila mwana CCM analikwepa suala la FAO LA kujitoa kama vile ni Jambo dogo. Bwana Humprey Polepole ameongea na waandishi wa habari Mara 2..hii hoja ameiruka.

Mtu amefukuzwa kazi au mkataba umeisha, NSSF (Fao la kukosa Ajira) wanasema ulipwe 33.3 % ya Mshahara kwa miezi 6...baada ya hapo kaa miezi 18 ...ndio ulipwe.

Sheria mpya ya 2018, Raisi Magufuli alisaini, lakini baadae akaja kufuta kikokotoo cha wastaafu pekee...Sasa wafanyakazi wanaofukuzwa kazi sekta binafsi kabla ya umri wa kustaafu wanataabika. Wenye kuona hili wamshauri Magufuli haraka sana na arekebishe maana Katiba imempa mamlaka.

Raisi Magufuli, rudisha FAO LA kujitoaa. watu walipwe pesa zao kwa mkupuo bila masharti ... Hiki ni kipindi cha Kampeni...Kura za Wafanyakazi sekta binafsi ni mamilioni...

Ndugu Bashiru na Pole pole...FAO LA Kujitoa..
 
Kimsingi hili suala la watumishi kwa ujumla wake tu hakipo vizuri. Eti usubiri hadi unastaafu. Yaanibuishi kwa tabuuuu HD ukome. Hakipo sawa. Wenye MAMLAKA waliangalie UPYA, lengo Si jema
 
Bashiru na Pole pole wanakwepa hoja za msingi, wanajibu vitu vdg vdg,

Hivi wabunge wa CCM kwa wingi wao, wakapitisha Mswada wa kuonea wanyonge.

Raisi anasema ni mtetezi wa wanyonge....Wanaoporwa pesa zao PSSSF na NSSF sio wanyonge?
 
Back
Top Bottom