Tunduma hatutaki maji Yenu! kura zetu ni chadema!

Habari wangu?
Hivyi ulisikia wapi, Mtu anaomba kura kwa vitisho?? Wanatunduma wameishi miaka 60 bila Maji alafu Leo wanatishwa eti wasipomchagua silinde, hawatapata Maji! Who is silinde by the way????? Sisi ni watu wazima, huwezi kutupangia cha kufanya, ww subiri tu tarehe 28!!
Chadema mtawapa nini watanzania, ili hali wenyewe kichwani ni matusi na upigaji tu. Kwa watu wanaoona mbali, wanakiri Chama cha Mbowe sio cha kukipa uongozi kwenye nchi hii milele.
 
wenzako wakina mama wanataka maji.

wewe nenda kawaambie habari za uhuru wa maoni.kama utaeleweka.
 
Majimbo yotee aliyosema

Hawez leta maendeleo kwa sababu wamechagua mpinzani ilihali Anasema maendeleo hayana Chama ameshayakosa yotee

Apo tu ndo uwa anachanganya Mada
 
Chadema mtawapa nini watanzania, ili hali wenyewe kichwani ni matusi na upigaji tu. Kwa watu wanaoona mbali, wanakiri Chama cha Mbowe sio cha kukipa uongozi kwenye nchi hii milele.
Hayo hayo matusi si ndio yanawavutia watu kwani tatizo liko wapi?
 
Habari wangu?
Hivyi ulisikia wapi, Mtu anaomba kura kwa vitisho?? Wanatunduma wameishi miaka 60 bila Maji alafu Leo wanatishwa eti wasipomchagua silinde, hawatapata Maji! Who is silinde by the way????? Sisi ni watu wazima, huwezi kutupangia cha kufanya, ww subiri tu tarehe 28!!
chief unaharibu sasa, hivi hujui Magufuli ndiye Rais
 
wenzako wakina mama wanataka maji.

wewe nenda kawaambie habari za uhuru wa maoni.kama utaeleweka.
Tangu Uhuru hamjapeleka maji na wapo tu,kwanini magufuli hakupeleka maji anawatisha sasa,hii nchi ya vyama vingi na kila mtu analipa kodi hivyo kupeleka huduma sio ombi ni lazima serikali ipeleke
 
wenzako wakina mama wanataka maji.

wewe nenda kawaambie habari za uhuru wa maoni.kama utaeleweka.
Hata wakina mama wa Chato wanataka maji lakini hawana toka tupate Uhuru wameambulia Uwanja wa Ndege wa Kimataifa na madege yamepark Dar badala ya Chato yawaletee wakina mama maji.
 
Hivi ukisema maendeleo haya chama halafu ukamalizia kwa kusema Mkimchagua mpinzani sintalenta hiki wala kile maana yake nini hasa.
Hizi kauli inatoka kwenye kinywa cha mtu anayeomba ridhaa ya wananchi wampigie kura.

GENTAMYCINE na johnthebaptist naomba ufafanuzi......
 
Habari wangu?
Hivyi ulisikia wapi, Mtu anaomba kura kwa vitisho?? Wanatunduma wameishi miaka 60 bila Maji alafu Leo wanatishwa eti wasipomchagua silinde, hawatapata Maji! Who is silinde by the way????? Sisi ni watu wazima, huwezi kutupangia cha kufanya, ww subiri tu tarehe 28!!
utakunywa tope hadi mwisho wa dunia, sasa sijui utakua umemkomoa nani, maana Lisu haishi Tunduma...wewe na familia yako ndo mnaishi Tunduma.
usidanganyike chagua chama dola
 
Tunduma imekuwa chini ya upinzani kwa miaka kumi tu, je miaka hiyo mingine hamsini mllikuwa wapi kuwapelekea maji? Kuna mbunge alikuwa naibu Waziri kabisa lakini hamkupeleka maji. CCM ni wapumbavu sana na Sera zenu.
 
Chadema mtawapa nini watanzania, ili hali wenyewe kichwani ni matusi na upigaji tu. Kwa watu wanaoona mbali, wanakiri Chama cha Mbowe sio cha kukipa uongozi kwenye nchi hii milele.
Chadema itakuwa na maisha marefu kuliko wewe. Omba sana Mungu akupe uhai uone siku nchi itakapo ongozwa kwa ufanisi na Chadema. Sema Ameen
 
Back
Top Bottom