Miaka 60 ya uhuru CCM bado inaahidi maji, umeme, barabara, na vituo vya afya

Ne Mbwitu

JF-Expert Member
Aug 23, 2020
278
1,000
Tuseme ukweli ni aibu kwa chama kilichotawala miaka takribani 60 bado kinakuja na ahadi za umeme, maji, huduma za afya, na barabara.

Yaani miaka 60 serikali ya CCM imeshindwa kupeleka huduma ya kueleweka ya maji vijijini na mijini.

Yaani miaka 60 serikali ya CCM imeshindwa kusambaza umeme mijini na vijijijni

Yaani miaka 60 serikali ya CCM imeshindwa kujenga vituo vya afya kwa kila kata mijini na vijijini

Yaani miaka 60 serikali ya CCM imeshindwa kuhakikisha barabara za mijini na vijijini zinapitika misimu yote

Yaani miaka 60 serikali ya CCM imeshindwa kuondoa maadui watatu: ujinga, maradhi, na umaskini.

Yaani miaka 60 serikali ya CCM inafanya ufisadi tu hakuna maendeleo na ustawi wa wananchi.

CCM oneni aibu, mnajifedhehesha sana na huyo Beberu wenu mweusi
 
technically

JF-Expert Member
Jul 3, 2016
10,277
2,000
Nilitegemea miaka 60 ya uhuru

Tungekuwa tunaongelea Bima za afya kwa kila mtanzania, Elimu ya msingi angalau iwe kidato Cha nne..

Mapinduzi ya kilimo Cha umwagiliaji na mapinduzi ya viwanda angalau kila kata iwe na kiwanda kikubwa Cha umma.

Miaka 60 ya Uhuru tulitakiwa kuwa ndani ya nchi 5 tajiri Africa

Tulitakiwa kuwa kitovu Cha uchumi Africa mashariki kuliko Kenya maana wao hawana rasilimali Kama tulizo nazo sisi.

Miaka 50 ya Uhuru tulitakiwa kuwa katika uchumi wa kuwalipa wazee wote wenye miaka 70+ posho hadi kufa kwao.
 
Alidekyi

Member
Sep 7, 2020
27
75
Nilitegemea miaka 60 ya uhuru

Tungekuwa tunaongelea Bima za afya kwa kila mtanzania, Elimu ya msingi angalau iwe kidato Cha nne..

Mapinduzi ya kilimo Cha umwagiliaji na mapinduzi ya viwanda angalau kila kata iwe na kiwanda kikuwa Cha umma.
Inasikitisha Sana!
 
Albert Einstein

JF-Expert Member
Aug 24, 2017
382
1,000
Tuseme ukweli ni aibu kwa chama kilichotawala miaka takribani 60 bado kinakuja na ahadi za umeme, maji, huduma za afya, na barabara.

Yaani miaka 60 serikali ya CCM imeshindwa kupeleka huduma ya kueleweka ya maji vijijini na mijini.
Tatizo mbadala wa CCM ndio hakuna.
 
YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
28,653
2,000
Ndio na itaendelea kuahidi population inaongezeka kila Siku na makazi mapya huanzishwa kila siku huduma hizo hutakiwa

Mleta mada akili huna
 
Pythagoras

JF-Expert Member
Feb 24, 2015
14,028
2,000
Tuseme ukweli ni aibu kwa chama kilichotawala miaka takribani 60 bado kinakuja na ahadi za umeme, maji, huduma za afya, na barabara.

Yaani miaka 60 serikali ya CCM imeshindwa kupeleka huduma ya kueleweka ya maji vijijini na mijini.

Yaani miaka 60 serikali ya CCM imeshindwa kusambaza umeme mijini na vijijijni

Yaani miaka 60 serikali ya CCM imeshindwa kujenga vituo vya afya kwa kila kata mijini na vijijini

Yaani miaka 60 serikali ya CCM imeshindwa kuhakikisha barabara za mijini na vijijini zinapitika misimu yote

Yaani miaka 60 serikali ya CCM imeshindwa kuondoa maadui watatu: ujinga, maradhi, na umaskini.

Yaani miaka 60 serikali ya CCM inafanya ufisadi tu hakuna maendeleo na ustawi wa wananchi.

CCM oneni aibu, mnajifedhehesha sana na huyo Beberu wenu mweusi
Ccm ilifeli na itafeli na kamwe haitaweza kufanya cha maana hata iongoze miaka mingine 100
 
darubin ya mbao

JF-Expert Member
Aug 3, 2016
1,508
2,000
Mwalimu alisema maadui wakuu watatu wa taifa hili ni

ujinga

maradhi

na umaskini

Jambo la kushangaza ni kua hao maadui ndio umekua mtaji wa CCM kuendelea kubaki madarakani, hata ukiangalia majimbo yanayoongozwa na wabunge wa ccm kwa muda mrefu ndio yanaongoza kwa ujinga maradhi na umasikini
 
Pythagoras

JF-Expert Member
Feb 24, 2015
14,028
2,000
Bora tungebaki na wakoloni leo tungekuwa mbali sana
Wakoloni hadi leo kwa miaka 60 tungekuwa mbali.

Infact wapigania uhuru wa mwanzo nia yao haikuwa kutafuta uhuru bali kugombea madaraka tu.

Checki hawa wapigania uhuru kwenye nchi zao na jinsi walivyo wa hovyo

1. M7 na Militon then Idd amin
2. Mobutu seseko

3. Kenyata et al

4. Mugabe

N.k

Hata nyerere nae ni wale wale tu. Inagwa ananafuu
 
Babati

JF-Expert Member
Aug 7, 2014
42,675
2,000
Wakoloni hadi leo kwa miaka 60 tungekuwa mbali.

Infact wapigania uhuru wa mwanzo nia yao haikuwa kutafuta uhuru bali kuginbra madaraka tu.

Checki hawa wapigania uhuru kwenye nchi zao na jinsi walivyo wa hovyo

1. M7 na Militon then Idd amin
2. Mobutu seseko

3. Kenyata et al

4. Mugabe

N.k

Hata nyerere nae ni wale wale tu. Inagwa ananafuu
Umeongea ukweli tupu mkuu
 
Ne Mbwitu

JF-Expert Member
Aug 23, 2020
278
1,000
Ndio na itaendelea kuahidi population inaongezeka kila Siku na makazi mapya huanzishwa kila siku huduma hizo hutakiwa

Mleta mada akili huna
Unajibu kama unasuguliwa na Sugu. Mbona kuna vijijij tangu mwaka 1974 havina maji, umeme, wala zahanati. Unakuwa kama Beberu asiyeoga
 
Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
158,557
2,000
Tuseme ukweli ni aibu kwa chama kilichotawala miaka takribani 60 bado kinakuja na ahadi za umeme, maji, huduma za afya, na barabara.

Yaani miaka 60 serikali ya CCM imeshindwa kupeleka huduma ya kueleweka ya maji vijijini na mijini.

Yaani miaka 60 serikali ya CCM imeshindwa kusambaza umeme mijini na vijijijni

Yaani miaka 60 serikali ya CCM imeshindwa kujenga vituo vya afya kwa kila kata mijini na vijijini

Yaani miaka 60 serikali ya CCM imeshindwa kuhakikisha barabara za mijini na vijijini zinapitika misimu yote

Yaani miaka 60 serikali ya CCM imeshindwa kuondoa maadui watatu: ujinga, maradhi, na umaskini.

Yaani miaka 60 serikali ya CCM inafanya ufisadi tu hakuna maendeleo na ustawi wa wananchi.

CCM oneni aibu, mnajifedhehesha sana na huyo Beberu wenu mweusi
*TANGAZO*
Mh.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania jana tarehe 1/10/2020 amesitisha tozo kwa wajawazito wanaoshindwa kufuata taratibu zilizoweka za masuala yahusuyo Afya ya Uzazi ikiwemo kuchelewa kuwahi kliniki n.k.

Hivyo mnatakiwa kuachana na sheria hizo ndogondogo mlizojiwekea ngazi za vijiji na kata mpaka hapo mtakapopokea maelekezo mengine.

Barua rasmi inakuja.

*DMO MUFINDI DC*
 
Kiongozi mkuu2020

JF-Expert Member
Aug 8, 2020
1,531
2,000
Tuseme ukweli ni aibu kwa chama kilichotawala miaka takribani 60 bado kinakuja na ahadi za umeme, maji, huduma za afya, na barabara.

Yaani miaka 60 serikali ya CCM imeshindwa kupeleka huduma ya kueleweka ya maji vijijini na mijini.

Yaani miaka 60 serikali ya CCM imeshindwa kusambaza umeme mijini na vijijijni

Yaani miaka 60 serikali ya CCM imeshindwa kujenga vituo vya afya kwa kila kata mijini na vijijini

Yaani miaka 60 serikali ya CCM imeshindwa kuhakikisha barabara za mijini na vijijini zinapitika misimu yote

Yaani miaka 60 serikali ya CCM imeshindwa kuondoa maadui watatu: ujinga, maradhi, na umaskini.

Yaani miaka 60 serikali ya CCM inafanya ufisadi tu hakuna maendeleo na ustawi wa wananchi.

CCM oneni aibu, mnajifedhehesha sana na huyo Beberu wenu mweusi
AHADI ZA MAJI ZITAENDELEA HADI MILELE NA HATA UKIENDA ULAYA BADO AHADI HIZI ZINATOLEWA KWANI MAHITAJI YA MAJI YANAENDA SAMBAMBA NA MAENDEKEO YA WATU. KIPINDI TUNAPATA UHURU ANGALIA IDADI YA WATU NA MATUMIZI YA NAJI. LINGANISHA NA SASA AMBAPO KILA MTU BINAFSI ANAJENGA NYUMBA AMBAYO INAHITAJI NYUMBA YENYE VYOO VYA NDANI VINAVYOTUMIA MAJI. HIVYO KWA HALII HII SUALA LA UHITAJI WA MAJI NI ENDELEVU.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom