Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kama binadamu Mkapa alikuwa na udhaifu wa kuwa mbabe au ujivuni kiasi flani. Lakini kama kuna kiongozi ambaye ingekuwa mfumo wetu upo vizuri aliyekuwa na akili alikuwa Mkapa. Alijiamini kupita...
7 Reactions
25 Replies
3K Views
Tangu tumezaliwa, tumekua na sisi tukazaa, bado nawasikia tu hawa ccm wanazungumza habari za visima vya maji. Miaka sitini ya uhuru bado tunazungumza kuchimba visima? For real? Ni lini basi...
0 Reactions
3 Replies
969 Views
Kama ilivyo kazi ya Mungu kulilinda taifa lake alipendalo, mara nyingi huinua nabii wa kuliokoa taifa kwa wakati mwafaka. Hapa Tanzania Mungu aligundua tutakumbwa na janga la Corona akamwinua...
7 Reactions
6 Replies
2K Views
Lissu na Lowassa ki utendaji, ki maadili, ki makuzi na ki umri ni watu wawili tofauti kabisa, Lowassa ana uwezo wa ukwasi Lissu ana uwezo wa akili 'genius'. Lissu ni mwongeaji sio muoga, hana...
37 Reactions
72 Replies
8K Views
Naam, siku zinazidi kusonga na zimebaki siku 26 Watanzania tupige kura kuchagua madiwani, wabunge na Rais. Sio siku nyingi, japo pia sio chache. Kwa jinsi mambo yanavyokwenda kuna kila dalili kuwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Huu ni mwaka ambao tunaenda kushuhudia idadi ndogo ya wapiga kura. Kama ilivyokuwa idadi ndogo ya watu kujiandikisha kwenye daftari la kudumu la wapiga kura. Vyama vingi havifanyi kampeni...
2 Reactions
9 Replies
658 Views
Huu sasa umekuwa kama mwimbo kila siku msajili wa vyama vya siasa analalamika Chadema na ACT wazalendo kutaka kuungana kinyume cha sheria. Kwanini Dkt. Nyahoza asisubiri tu hivyo vyama viungane...
3 Reactions
31 Replies
3K Views
Kichwa cha uzi ni nukuu ya kauli ya jamaa yangu mmoja ambaye sasa hivi yupo likizo huko kijijini kwao mkoani Songwe. Jamaa yangu huyu ananitaarifu kuwa asubuhi ya leo alikuwa amejihimu mapema...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
You can't beg our votes for deals with crimes deu to your own politics interests ,why you sent police to assassinate little girl Akwilina this issue remained as remarkable .
4 Reactions
17 Replies
1K Views
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha NCCR-Mageuzi ndugu Yeremia Kulwa Maganja, jana Jumatano Septemba 30, 2020, alifanya mkutano kwenye Jimbo la Kigoma Kaskazini...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Sasa ni dhahiri kwamba hali ya wagombea wa CCM kuanzia ngazi ya urais hadi udiwani ni ngumu. Inasemekana huyu ni mgombea ubunge wa CCM jimbo la Lushoto Mjini Bosnia amekataliwa wazi wazi bila...
54 Reactions
169 Replies
21K Views
Nina maswali lukuki najiuliza kichwani mwangu nikiwa nimetulia. Kwamba ni haki na uhuru upi. Ni haki ipi na uhuru upi ambao viongozi wa upinzani wanatafuta. Habari za leo ndugu zangu na...
2 Reactions
57 Replies
3K Views
Wakuu kama taarifa inavyoelekeza hapo chini, Hakika haki ya roho isiyo na hatia inaenda kutendeka.
6 Reactions
129 Replies
13K Views
Habari wanajf, leo nipo hapa kuzungumzia baadhi ya wapiga kura wetu. Ni kweli ili tushinde uchaguzi tunahitaji wapiga kura wengi sana sana ila kuna baadhi inatubidi kuwakataa. Kwa nini tuwakubali...
2 Reactions
54 Replies
8K Views
Jana tarehe 01 Oktoba ilikuwa ni Siku ya Wazee duniani. Tumemsikia Magufuli kwenye Kampeni akiwalaghai Wazee na watanzania kwa ujumla wao ati Serikali yake ya CCM inawajali Wazee na inawalinda kwa...
2 Reactions
3 Replies
988 Views
Raha ya uchaguzi huu ni pamoja na tunavyoelimika. Mimi leo naelimisha jambo moja tu nalo ni kanuni mpya za uchaguzi wa mwaka huu. Kabla ya kuongelea kanuni hizo tujikumbushe siku ya kupiga kura...
20 Reactions
29 Replies
3K Views
Yusufu aliinuliwa kuwakomboa familia ya Yakobo na janga la njaa. Musa aliinuliwa kuwakomboa wana wa Israel kutoka ufalme wa Farao Daudi aliinuliwa kumwangusha Mfalme Sauli Daniel aliinuliwa...
22 Reactions
60 Replies
5K Views
Ukiwa kiongozi jitahidi Sana kutoongozwa na hisia au chuki. Watu wa Mpira wanajua jinsi ya kumfanya mpinzani awe na hasira ili akose utulivu mchezoni. Unamkumbuka beki kisiki Juma Nyoso au...
7 Reactions
42 Replies
4K Views
Mwenezi wa CCM komredi Polepole amesema chama chake kinataka kuona Tume ya Uchaguzi ikitenda haki na Ole wake Tundu Lissu kama hataitikia ama kukaidi wito wa tume. Chanzo: TBC My take: Huu ndio...
16 Reactions
191 Replies
22K Views
Nasikiliza mahubili ya Mchungaji Katunzi muda huu hapa Upendo Radio kipindi ambacho kilirekodiwa siku ya ibada juzi. Anasema Magufuli aritoa sadaka Corona ikatoweka kwahiyo atasimama na Magufuli...
1 Reactions
19 Replies
4K Views
Back
Top Bottom