Ukweli ni Kwamba Tanzania inawahitaji wote, Tundu Lissu na Magufuli. Mmoja akishinda mwingine awe PM

matunduizi

JF-Expert Member
Aug 20, 2018
6,586
15,369
Moja kwa moja kwenye mada...

Ukosoaji wa Lissu kwa Muda mfupi JPM kautekeleza na nchi imeenda.

Nchi nzima inajua licha ya mapungufu ya JPM ni Mtendaji hakuna aliyewahi kumfikia. Ila akiamua jambo wakati mwingine hata Sheria zinawekwa kando kwa maslahi mapana ya taifa. Lissu mjanja wa Sheria anaweza kusaidia kuruka viunzi tukaenda sawa na mabeberu bila kutupiga faini.

Lissu watu wengi wanaamini ni upinzani 100% Hivyo atavuta imani ya watu wengi kwa serikali yao.

Tanzania tunamtaka Mh Magufuli na Bado tunmtaka Lissu. Wote hawana shida kufanya KAZI kwa pamoja. Lissu amewahi kufanya KAZI na wanaCCM vificho kama Lowassa. JPM naye anafanya KAZI na Wapinzani vificho kama wakina Silinde, Mtatilo, Kafulila,slaa, (hawa siamini kama wanaweza kuwa CCM zaidi ya kutafuta fursa)

Linawezekana .
Mliangalie hilo wakuu wangu
 
Lissu hawezi kufanya kazi na mburula
 
SEMA SHIDA YA LISSU NI MOJA USHOGAA HAUPINGIII
 
na kama hujui Lisu anakadi ya CCM, kama ilivyo kuwa kwa DR. Slaa
 
Mzee kampeni kachemsha siku nane atakuwa mapumziko ameshindwa kumaliza kampeni
 
Yaani JPM atoke kuwa mkuu wa nchi, halafu awe Waziri mkuu! Abaki tu kuwa rais mstaafu aliyetumikia miaka mitano tu.

Niyeye2020
Hayo mambo ya kizamani Mkuu kutaka Sifa wakati taifa linahitaji uTUMISHI wako.

Putin alifanya sisi tunashindwa nin
 
Moja kwa moja kwenye mada...

Ukosoaji wa Lissu kwa Muda mfupi JPM kautekeleza na nchi imeenda.

Nchi nzima inajua licha ya mapungufu ya JPM ni Mtendaji hakuna aliyewahi kumfikia. Ila akiamua jambo wakati mwingine hata Sheria zinawekwa kando kwa maslahi mapana ya taifa. Lissu mjanja wa Sheria anaweza kusaidia kuruka viunzi tukaenda sawa na mabeberu bila kutupiga faini.

Lissu watu wengi wanaamini ni upinzani 100% Hivyo atavuta imani ya watu wengi kwa serikali yao.

Tanzania tunamtaka Mh Magufuli na Bado tunmtaka Lissu. Wote hawana shida kufanya KAZI kwa pamoja. Lissu amewahi kufanya KAZI na wanaCCM vificho kama Lowassa. JPM naye anafanya KAZI na Wapinzani vificho kama wakina Silinde, Mtatilo, Kafulila,slaa, (hawa siamini kama wanaweza kuwa CCM zaidi ya kutafuta fursa)

Linawezekana .
Mliangalie hilo wakuu wangu
Usitakatishe maneno kwa nchi ilipofikia Tanzania inamuhita Lissu tena kuliko kipindi chote
 
Moja kwa moja kwenye mada...

Ukosoaji wa Lissu kwa Muda mfupi JPM kautekeleza na nchi imeenda.

Nchi nzima inajua licha ya mapungufu ya JPM ni Mtendaji hakuna aliyewahi kumfikia. Ila akiamua jambo wakati mwingine hata Sheria zinawekwa kando kwa maslahi mapana ya taifa. Lissu mjanja wa Sheria anaweza kusaidia kuruka viunzi tukaenda sawa na mabeberu bila kutupiga faini.

Lissu watu wengi wanaamini ni upinzani 100% Hivyo atavuta imani ya watu wengi kwa serikali yao.

Tanzania tunamtaka Mh Magufuli na Bado tunmtaka Lissu. Wote hawana shida kufanya KAZI kwa pamoja. Lissu amewahi kufanya KAZI na wanaCCM vificho kama Lowassa. JPM naye anafanya KAZI na Wapinzani vificho kama wakina Silinde, Mtatilo, Kafulila,slaa, (hawa siamini kama wanaweza kuwa CCM zaidi ya kutafuta fursa)

Linawezekana .
Mliangalie hilo wakuu wangu
Magufuli Mzalendo, mpinga rushwa na ufisadi. Chama saccos, wapigaji wakala wa beberu, sio wazalendo walafi wa madaraka, wapenda ufisadi. Hawawezi pikika chungu kimoja. Lissu akae na Mbowe na kina Sugu ndio size yao.
 
na kama hujui Lisu anakadi ya CCM, kama ilivyo kuwa kwa DR. Slaa
Sitashangaa hata nikiambiwa ni TISS kwa maslahi Maana ya taifa.
Pia Kabla ya 1992 kulikuwa na kadi moja tu ya chama cha siasa. Na sijawahi kusikia kairudisha kama na yeye alikuwa nayo
 
SEMA SHIDA YA LISSU NI MOJA USHOGAA HAUPINGIII
images (78).jpeg

images (79).jpeg

Vijana wa Lumumba bana vichwani mna nywele tu au!
 
Back
Top Bottom