Uchaguzi 2020 Wanachofanya CCM na Magufuli ni udhalilishaji kwa Watoto

Mzalendo2015

JF-Expert Member
Aug 14, 2012
6,697
9,048
Hayo yaliyofanywa na CCM Mbeya na Magufuli ni Uzalilishaji na Ukiukaji wa Haki ya Mtoto.

Angalia huyu mtoto anavozalilishwa mbele ya umati huu. Badala ya Mtoto kuwa darasani amekodishwa na Serikali ya CCM kumburudisha Magufuli na kuvutia umati kwene Kampeni.

Shame on you CCM.

 
Haina namna LAZIMA tkubali kuwa hapa ndipo tuliposfikishwa na serikali ya awamu ya 5 😢😢😢
 
Hayo yaliyofanywa na CCM Mbeya na Magufuli ni Uzalilishaji na Ukiukaji wa Haki ya Mtoto.
Angalia huyu mtoto anavozalilishwa mbele ya umati huu. Badala ya Mtoto kuwa darasani amekodishwa na Serikali ya CCM kumburudisha Magufuli na kuvutia umati kwene Kampeni!
Shame on you CCM.

Ni kosa kubwa sana hili.
 
Back
Top Bottom