Uchaguzi 2020 VIDEO: Wananchi walivyojitokeza kwa wingi Korogwe kumlaki Lissu wakiimba mkombozi amerudi

Wameanza figisu zao eti aripoti Polisi CCM huko Moshi.

Hatari sana hii kwa ustawi wa Demokrasia.

Wakiona mapokezi kama haya roho zinawauma sana ,wao wamefanya siasa miaka 5 ,lakini wapinzani ni mwezi 1 tu lakini kila tamko linatoka sasa.

Huku Sirro , Kule Mahera, mara Nyahoza, pembeni Polepole.

Kila Lugha itasemwa safari hii na bado okt 28 ni kuwamwaga tu hakuna namna.
 
Back
Top Bottom