Humphrey Polepole kuzungumza na vyombo vya habari leo Ijumaa saa tisa alasiri

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Mar 8, 2020
2,208
4,703
*Moderator: Kichwa cha habari kianze na Neno KAMARADA Humphrey Polepole tafadhali*

Usipange Kukosa
Mjulishe na Mwenzako

•Kila penye giza tunawasha umeme kupeleka nuru.. Na kila penye uongo na upotoshaji kunakuja kuusema ukweli bayana USKOSE!•

•Kura zote kwa @MagufuliJP
Kura zote kwa @DrHmwinyi
Kura zote kwa Wabunge na wawakilishi wa @ccm_tanzania
Kura zote kwa Madiwani wa CCM•
IMG_20201002_060031.jpg
 
Usipange Kukosa
Mjulishe na Mwenzako

•Kila penye giza tunawasha umeme kupeleka nuru.. Na kila penye uongo na upotoshaji kunakuja kuusema ukweli bayana USKOSE!•

•Kura zote kwa @MagufuliJP
Kura zote kwa @DrHmwinyi
Kura zote kwa Wabunge na wawakilishi wa @ccm_tanzania
Kura zote kwa Madiwani wa CCM• View attachment 1587662
Kila baada ya siku mbili anazungumza na waandishi amekwama wapi
 
Ngoja tujiandae kusikia muelekeo wa Taifa na sera makini
Usipange Kukosa
Mjulishe na Mwenzako

•Kila penye giza tunawasha umeme kupeleka nuru.. Na kila penye uongo na upotoshaji kunakuja kuusema ukweli bayana USKOSE!•

•Kura zote kwa @MagufuliJP
Kura zote kwa @DrHmwinyi
Kura zote kwa Wabunge na wawakilishi wa @ccm_tanzania
Kura zote kwa Madiwani wa CCM• View attachment 1587662
 
Usipange Kukosa
Mjulishe na Mwenzako

•Kila penye giza tunawasha umeme kupeleka nuru.. Na kila penye uongo na upotoshaji kunakuja kuusema ukweli bayana USKOSE!•

•Kura zote kwa @MagufuliJP
Kura zote kwa @DrHmwinyi
Kura zote kwa Wabunge na wawakilishi wa @ccm_tanzania
Kura zote kwa Madiwani wa CCM• View attachment 1587662
Tenaaaaaaaa???? 😂😂😂😂😂

Kuna shida gani huko Lumumba????😂😂😂
 
Usipange Kukosa
Mjulishe na Mwenzako

•Kila penye giza tunawasha umeme kupeleka nuru.. Na kila penye uongo na upotoshaji kunakuja kuusema ukweli bayana USKOSE!•

•Kura zote kwa @MagufuliJP
Kura zote kwa @DrHmwinyi
Kura zote kwa Wabunge na wawakilishi wa @ccm_tanzania
Kura zote kwa Madiwani wa CCM• View attachment 1587662
Huyu jamaa ndio anakujaga kuwavuruga wenzie kabisa, bora angeacha tu kufanya press
 
Usipange Kukosa
Mjulishe na Mwenzako

•Kila penye giza tunawasha umeme kupeleka nuru.. Na kila penye uongo na upotoshaji kunakuja kuusema ukweli bayana USKOSE!•

•Kura zote kwa @MagufuliJP
Kura zote kwa @DrHmwinyi
Kura zote kwa Wabunge na wawakilishi wa @ccm_tanzania
Kura zote kwa Madiwani wa CCM• View attachment 1587662
Acha misikule ikamsikilize msikule, hakuna jipya zaidi ya blabla
 
Huyo mbona kachakaa sana, halafu ni mtu ambaye umri wake haijulikani, ni mzee au ni kijana, it's not known.
 
Back
Top Bottom